Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe na singo maza wako wote mmekosea.
Tukianza na wewe ni kweli unahudumia mtoto, ila hukupaswa kubadilisha ubini bila kukaa na mwenzio mkakubaliana. ULIKOSEA KUFANYA MAAMUZI PEKE YAKO.
Tuje kwa singo maza wako, HAJIHESHIMU NA HAKUHESHIMU, ni kweli ulimkwaza na kumkosea ila ilitakiwa akwambie bila kutumia maneno makali kama "zaa wa kwako"
Kumuacha inawezekana ni sahihi au sio sahihi, hayo majibu yake yanatia mashaka.
Kusomesha mtoto na kufanya kila kitu, FANYA KAMA UNAMLEA YATIMA NA USITARAJIE LOLOTE, UKISHINDWA KUFANYA HIVYO NI BORA UACHE KABISA MAANA UTAUMIA ZAIDI YA HAPO.
Ni mimi singo maza mstaafu.
Rudi Kasome Thread Inayosema Kuoa Single Mother Ni Kunywa Soda Iliyofunguliwa
Hii ndio point kubwa ya kumfaa muhitaji.Mmmh!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila mwamba ulikua kasi mno, hilo jambo ilitakiwa ushauriane nae kwanza akubali kubadili ukoo wa mtoto kwa maslahi mapana mfano ungemwambia ili uweze kumwandalia bima ya afya, anufaike na urithi pia akue akijisikia ni ndugu na wazaliwa wa hapo kwako kwakua wote watatumia jina moja.
Nikweli jamaa kakosea ila ilikuwa ni mambo yakuelekezana tu, huyo single mother angemwambia mwenzake kistaarabu tu kuliko maneno ya kashfa.Braza upo vyema kichwani kweli ama ni Afande Swila ndio anaandika hapa? Unampiga chini kisa kakuambia ukweli utachukuaje jina la kwako ukampe mtoto wa mwanaume mwenzio? Ningekuwa mimi ndio ingekuwa fursa ya kuacha mpaka kutoa huduma na kumlipia ada huyo Kelvin. Zaa wa kwako.
Yaani umenena kama mawazo yangu, alafu mleta uzi bado hajampiga chini huyo single mother ila anahitaji ushauri, kwa mimi naweza sema ampotezee huyo single mother atafute kabinti kabichiii waanze nako maisha overAu una jina baya mkuu, halina swagg.
Manake sisi wanawake hatuishiwi vioja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Just kidding.
That is just a dumb woman. Angeweza kuongea fresh na wewe na ukamuelewa bila drama za kukutupia maneno ya ovyo.
PIGA CHINI HUYOONatarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi.
Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe) madaftari full mkoba jina nimeandika Kelvin Ngwengwe.
Bhana eeh, mama yake alivyoona madaftari amechana chana, kumuuliza kisa nini mbona umechana madaftari ya mtoto?? Jibu alilonipa limeniacha hoi.
Namnukuu "Huyu mtoto baba yake yupo hai kwanini usitumie jina la ubini wa baba yake mzazi badala yake umetumia jina la ubini wa kwenu! Zaa mtoto wako umuite jina la kwenu"
Maamuzi niliyochukua ni kumpiga chini tu
Sasa mkuu shida ni moja nataka kumpiga chini huyu mwanamke ila kila nikimuangalia huyu mtoto roho inaniuma sana sababu huyu mtoto nimemlea tangu akiwa na mwaka mmoja (1) na anajua kabisa mimi ndio baba yake mzazi.Mimi Nashauri hivi;
jamaa usimuache mwanamke unaempenda kwasababu ya UBINI wa baba yao.
Kuchana madaftari, hakumaanishi kwamba demu anampenda jamaa aliyezaa nae.
Upendo unanguvu ya kuvuka mipaka ya ukomo mliojiwekea ktk kutoa huduma kwa wanajamii wenu.
Namaanisha, Upendo wako usiwe na mipaka.
Hata ndugu wa huyo mtoto wanaweza kuja kumsalimu kijana wao wakipenda.
Kubadili jina ama ubini wa mtoto kuna taratibu zake, japo si vizuri kubadili ubini wa mtoto kama baba wa kumzaa yupo hai au anajulikana na jamii inayo wazunguka.
Siku moja, atajua kwamba wewe si baba yake mzazi, ataonyeshwa mahali ukoo wake upo,,,,,,, hakika itakusumbua sana.
KIROHO,,,,,,,, ikiwa zitatokea changamoto za kiroho,,,,, mambo ya mizimu na matambiko,,,,,,,,mambo ya kiimani, hakika utapata shida mpaka utakapo mrudisha ktk ukoo wake halisi.
USIMUACHE MDADA,,,,,,,,,, MPENDE NA MUHUDUMIE MWANAE PASIPO KUBADILI JINA LAKE LA UBINI.
Sasa wewe, obviously mama mwenye mtoto mwaka mmoja, jua baba take hayupo mbali.Sasa mkuu shida ni moja nataka kumpiga chini huyu mwanamke ila kila nikimuangalia huyu mtoto roho inaniuma sana sababu huyu mtoto nimemlea tangu akiwa na mwaka mmoja (1) na anajua kabisa mimi ndio baba yake mzazi.
Mama yake ni kichwa panzi katika kipindi chote iko cha miaka 4 hataki kuzaa mpaka nimuoe.
Dogo upstairs yupo vizuri sana Naona nikimpiga chini mama yake huyu dogo ataharibikiwa sana
Huna mbegu za kumzalisha mtoto wa kumwita ubini wako? Acha ubinafsi uliopindukia.
Piga chini ndio. Mwanamke amefanya maamuzi sahihi kabisa. Wanaume wapo tuu.... Tena wa kutosha kwa wanawake wanaojielewa.