Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,135
- 4,306
Ndio. Baba mzazi atalipa ada. Nani alikwambia ujipendekeze kulipa na kununua madaftari kwa gia ya kubadilisha ubini wa mtoto.Acha niendelee na mambo yangu ya kitoto,ada ya shule na vitu vyote vya msingi alipie baba yake mzazi
Endelea na ratiba zako huku ukineemesha mbegu za uzazi upate mtoto wa kumwita ubini wako huko mbele ya safari.