Mke wangu sitaki amiliki simu janja kamwe

Mke wangu sitaki amiliki simu janja kamwe

Bora hivyo kuliko mtandao

Mkuu jalibu kuzama inbox kwa mtu wako lazima utaleta iz jf unataka kuhinyonga
Mimi siwezi hiyo biashara ya kuleta mambo yangu na mke wangu jf
Kama tumeshindwana tutaenda kwa wazee au viongozi wa dini au washaur wa mambo ya ndoa lakini kamwe siwezi leta nyuzi ya kuhusu ndoa yangu humu JamiiForums abadani.
 
Kwanini usilete Uzi JF...

Hata JF Kuna wazee na viongozi wa dini...

Tena unapata ushauri mzuri...

Watu hata hawakujui...
 
Kwanini usilete Uzi JF...

Hata JF Kuna wazee na viongozi wa dini...

Tena unapata ushauri mzuri...

Watu hata hawakujui...
Tofautisha kuwafata wazee na kiongoz wa dini akiwa pekeake
Na kuposti humu jf Kila mtu aone wahuni,wakurumbembe ,watashkuta, na Kila aina ya watu wataona unachopost kuhsu ndoa yako Sasa hapo utakua umeomba ushauri au utaonekana zuzwa.
 
Hahah ukiziba huku, wanavua kule 😂😂😂😂
Ile asubuhi unatoka unaenda kazini. Baada ya dk 20, jamaa linaingia kupiga mzigo.
Mazingira ya kuliwa mwanamke ni mengi sana, huwezi kumdhibiti. Ni yy mwanamke aamue kutulia tu
  • Ataenda sokoni/ dukani
  • Ataenda kwenye nyumba za ibada
  • Hapo unapoishi kuna majirani wanamtamani
  • Kuna masuala msiba, ataenda msibani ila atawahi kutoka akapigwe mashine
  • Kuna masuala ya harusi, huko ndiko balaa
  • Wewe mwenyewe unatoka asubuhi kurudi usiku, hapo ni masaa mangapi yupo mwenyewe?
  • Kuna siku, wewe mwanaume utasafiri kwenda kwenu au shughuli za kiuchumi.
  • Kuna siku mwanamke atasafiri ataenda kwao au kwa ndugu yoyote.
Mazingira ya kuliwa mwanamke ni mengi sana. Kama mwanaume kuyadhibiti ni sawa na kulinda bahari
 
Tofautisha kuwafata wazee na kiongoz wa dini akiwa pekeake
Na kuposti humu jf Kila mtu aone wahuni,wakurumbembe ,watashkuta, na Kila aina ya watu wataona unachopost kuhsu ndoa yako Sasa hapo utakua umeomba ushauri au utaonekana zuzwa.
Sio lazima ukiandika uvae uhusika...
 
Back
Top Bottom