Mke wangu tangu abebe ujauzito hana hisia za kimapenzi. Nateseka sana

Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Mimi Vaileth wangu nimemla shoo siku moja mpaka leo hanipi shoo na anamimba anasema yangu ubishi vita, hanisumbui ila tukionana anadeka anaomba buku buku jero hataki zaidi ya hapo na hanitafuti kwenye simu,

Sijui nimademu wote waliosoma sociology ndio wako hivi
 
Fanya mazoezi acha kuendekeza ujinga ,nenda uwanjan cheza mpira ,kimbia Sana mwili utarudi home umechoka ni kula na kulala usingizi mzitoo
Yaani mtu kutaka kumchakata mke wake ni kuendekeza ujinga, nyie ndio mnaleta uphilipino kwenye suala la minyanduano
Mpelekee moto mpaka siku ya kujifungua
 
Mliambiwa na Mtume Mhamad muoe wake wanne badala yake mkajifanya wakristo wakubwa kuliko hata Ibrahimu na Suleiman.

Haya Sasa,Hangaika na hako ka mke wako kamoja tuone katakufikisha wapi.
 
Wakuu nimiezi mi4 tangu mke wangu abebe ujauzito kitu kinachofanya mke wangu kuwa mgumu Sana pale linapokuja suala la kushiriki tendo la ndoa (minyaduano).
Mi mke wangu alivyo beba mimba tu, aisee hata ukitaka umkiss anakua mkali balaa, baada ya kuona hivyo nikaanza na kuruka na vikina Neema, kwangu, Gumba, Nshoma, Nsamaka, Somoe n.k mpaka alivyo jifungua aisee ndio nikapunguza. Alafu sasa hvyo vidanga nilikuwa nikiviwasha bao moja tu mbōō yangu yenye nchi 2 inalala naanguka chini kama bata aliye kitupa.
 
Muone mtaalam wa kina mama
 
Pole.

Huo ndio ukubwa.

Na uaanaume wako utaonekana hapo sasa


Kipindi cha mpito utashangaa baadae anaweza kukung'ang'ania ukawa unakimbia wewe
Dah! Umenifanya nifikirie mbali aisee, kuna mama mmoja huku kwetu mme wake huwa anakimbia kimbia mara aende huku mara aende kule sisi hatukujua kumbe mke wake ni mashine ya kazi na huwa inachepuka balaa na kila anae chepuka nae anatoka nduki na boxer mkononi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kumbe yule mama anataka ukiingia kwenye 18 zake umpige show hata masaa 10 nani show mwanzo mwisho hakuna kupumzika jamaa aka run [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama junior wangu ile mimba ilinipenda sana wivu iliongezeka kwangu nikichelewa kurud cm ishapigwa. Nikirud anataka nimchezee tumbo bhs tu ndo anaskia raha ukishuka kwa bibi yuko chapachapa yaani ni nmaa sana
 
Hebu acha kuomba ushauri wa kitoto, yan mwanamke aninyime k alaf niendelee kuvumilia upumbavu wake kwa kisngzio cha mimba !!! Wanawake kibao chepuka acha kuomba ushauri utakuja kuambiwa hata mbake kwa nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…