Mke wangu wa kwanza baada kuona naingiza pesa nyingi alijazwa upepo tuaachane ili apate pesa kirahisi

Hata babycare haibebi mimba
 
Mapenz hayataki akili ila kimazingira yanataka akili, mfano jamaangu anasema ana wanawake wawili mmoja msomi, mwingine average, msomi kichomi, huyu average muelewa, msomi inaweza pita days hakuna kol hakuna sms, huyu average asipopigiwa simu anacomplain, yan ambae hajasoma anajua communication ni nini kwenye mapenz and all that, hii kitu imemchanganya jamaa, msomi income ipo juu ila wote hawaombi ela ovyo ovyo, yan inapokuja swala la wanawake kufanya mambo yako wanavyofanyaga wana equalize yan alosoma na aloishia darasa la saba b, hata uwe profesa janabi unajua ule nini kwakweli. Anyways baada ya kumshayri jamaa akaapa kuwa haji kumbembeleza mtu wala kumconvince mtu kwa nguvu kubwa , yanga imrongoza naomba niendelee kuangalia mpira
 
Msiwege mnaoa.

Eti akaambulia milioni 40. Milioni 40 unaiona ndogo mkuu? Hata kama una hela yani mwanamke anachukua milioni 40 yako kwa sababu gani?
Kuna ile hoja kwamba sheria inamlipa mwanamke kwa juhudi zake alizoweka kwenye mahusiano(kuzaa na kulea, kutunza nyumba, kutofanya kazi kwa wengine ili wahudumie ndoa)

Lakini sasa unajiuliza hivyo vitu ke anafanya kumnufaisha nani si karidhia mwenyewe?

Halafu ni kwamba mnagawana 50/50 bila shauri au kuna vigezo kama muda mliodumu, watoto, mmeachana vipi... eti Mgeni wa Jiji DR Mambo Jambo
 
Naam! NDOA NI ULAGHAI, UNYONYAJI KWA MWANAUME, UMASIKINI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa huyu si ndiyo mke bora sasa anayetakiwa umzingatie!

Halafu si kila mwanamke ana mawazo ya talaka na mgawanyo wa mali.

Pamoja na kuwa tayari umekwisha jifunza kutokana na changamoto ya ndoa yako ya kwanza, kuna jambo laweza kukukuta bila wewe kutarajia na mkeo huyo akashindwa kunufuaika na chochote na kupoteza haki zake kwa kutokuelewa uhalisi wa umiliki wako wa vitu ama mali.

Je wafahamu kuna kifo cha ghafla?

Umejipangaje na hilo?
 
Sheria zote za dunia ni katili dhidi ya Wanaume,sio Ulaya sio Afrika.usipo gawana mali atakudedisha kwa sumu.

Inauma sana,una sota na jua,mvua matusi mahangaiko yote halafu Mwanamke anatafuta namna ya kubaki na vyote hivyo.
Sometime,tukiwaona akina Elon Musk,Jeff bezo,Bilget Dangote hawana wanawake tusiwaone wajinga
 
Bora huyo wa mwanzo
 
Sacrifices must be made, ila ntacheki utaratibu kama naweza kuacha will kimya kimya
 
Ngoja niipitie nitatia neno..
Ni Sheria ya Ndoa "The marriage Ordinance"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…