Mke wangu wa kwanza baada kuona naingiza pesa nyingi alijazwa upepo tuaachane ili apate pesa kirahisi

Wapo wanawake wa hivo! Wenye huruma! Huyo ndo mke wako.
Kuna hawa mabinti wa kisambaa huwa wana kahuruma sana.sasa sijui wako ni wa huko🀣
 
Aunt
 
Kifupi ni kama uko gerezani!
Kwanini ndoa ikutese hivyo!?
#KATAANDOA
 
Mbona kama ni mahusiano yanayoendeshwa na uongo!
Ndoa zote huendeshwa kwa uongo, kama si mwanamke kudanganya basi mwanaume atadanganya au wote watadanganyana!
#NDOANIUTAPELI #KATAANDOA
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΏ umeshinda...ila njombe baridi hakuna...kuna upepo
Hahaha soon Naweza kuja kulima Huko nasikia Viazi na vitunguu na parachichi zinapatinana kwa udongo wa huko
 
Sasa una solve financial issues . Akitokewa na rich guy akampa pesa ataliwa na Kuleta magonjwa ndani . Abit pointless . She will go after money soon or later
if she was after the money she would have bounced sooner than later, i might just hsve to call her ma ride or die,
 

UIslam ni mwema sana. Mali yako ni yako na ya mkeo ni ya mkeo.
 
inaelekea hata mahakamani hujawahi kwenda wewe, kesi waislam zipo huko hasa wasomi.

ni Zanzibar Pekee mambo yanaishia baraza hayafikii mahakamani
Anayekataa kuhukumiwa Kiislaam kwa mambo ya familia. Huyo kajitoa katika Uislam.

Uislam ni mwema sana.
 
if she was after the money she would have bounced sooner than later, i might just hsve to call her ma ride or die,
problems comes when u least expect it. she probably bounce a few times. tena you have a side child. amna kitu kipya. she won't even have regrets.
 
Aisee kumbe haya matukio yako Real.

Najuaga ni stori za mitaani tu.

Hivi kweli inaweza kunitokea na Mimi kwa Mke wangu?

I dont Think so
Mkuu inategemea mira na tamaduni ya huyo mke wako, mfano wanawake wakizanzibar wao wakiachika wana rudi kwao kuishi na hawa dai kugawana mali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…