Mke wangu wa kwanza baada kuona naingiza pesa nyingi alijazwa upepo tuaachane ili apate pesa kirahisi

Mke wangu wa kwanza baada kuona naingiza pesa nyingi alijazwa upepo tuaachane ili apate pesa kirahisi

Wapo wanawake wa hivo! Wenye huruma! Huyo ndo mke wako.
Kuna hawa mabinti wa kisambaa huwa wana kahuruma sana.sasa sijui wako ni wa huko🤣
 
Na hivi viswahili vitarafa vyenu, vinaua sana maneno yenye heshima na kuyafanya yakose maana.

Shangazi (dadake baba) tulivyomnyenyekea na kumheshimu zamani, sasa 'Mashangazi' linatumika mbadala wa 'mashangingi'!

Shangazi Og tumwiteje kwa jina lenye hadhi yake?
Aunt
 
kuna kipindi kifupi hapo nyuma upepo wa fedha ulinipitia, niliwahi kuwa na biashara naingiza almost milioni 6 kila mwezi, nilishaiacha baada ya ushindani kujaa sokoni kiasi kwamba hata laki 5 kwa mwezi kuipata ilianza kuwa ngumu, 2020 niliachana na aliewahi kuwa mke wangu, sababu ikiwa pesa zilimchanganya sana + entitlement ya kuona anaweza kutumia pesa kivyovyote bila kuhojiwa, nilipoanza kutia mkazo yakaanza malumbano, yani hata nikimuachia elf 30 kwa siku analalamika haimtoshi !! yeye anataka kuishi maisha ya kibongo muvi na ya kuspend kwa kushindana ama kutaka kusifiwa na wenzake, akajazwa upepo wa kishenzi kwamba tuachane, ilikuwa hivyo na aliambulia milioni 40, gari moja, kiwanja, n.k. >> Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali

Kwa sasa nipo na mwanamke mwengine natumia mbinu nyingine kuishi nae hata akiniona na pesa apunguze tamaa ya kukimbilia mahakamani kunipiga pasu kwa pasu (mahakama zina upendeleo wa hali ya juu sana kwa wanawake)

So far so good i cant complain,, Ni kwamba huwa namwambia nina madeni niliyowekea bond nyumba, kiwanja, magari, mashamba, n.k. lengo ni yeye kujua kwamba hata akipata hizo mali ajue hataweza kuzimiliki,

Ila kuna muda hii mbinu huwa ina backfire mfano kawahi kuniambia auze shamba lake la urithi huko kwao anishaidie kupunguza marejesho, ananiombea sana kwa kitu ambacho hakipo, Nikimnunulia kitu kizuri huwa inabidi nimbembeleze sana akipoke, nadhani hata nikifa leo anaweza asifuatilie mali ila najitahidi kuweka mkakati aje kujua kwamba sidaiwi endapo nikipata kifo cha ghafla. n.k.

Advantage nazopata nadhani ni Loyalty ya yeye kuweza kuishi nami huku akijua hata tukiachana anaweza asiambulie hata sahani, Kwa upande wa sex wala sina nachomdai nadhani ni sehemu ambayo labda kaiona aitumie kunitolea mawazo ya madeni, mara nyingi huniomba pesa za vitu muhimu tu, She is very supportive na huwa ananipa peace of mind
Kifupi ni kama uko gerezani!
Kwanini ndoa ikutese hivyo!?
#KATAANDOA
 
Sasa una solve financial issues . Akitokewa na rich guy akampa pesa ataliwa na Kuleta magonjwa ndani . Abit pointless . She will go after money soon or later
if she was after the money she would have bounced sooner than later, i might just hsve to call her ma ride or die,
 
kuna kipindi kifupi hapo nyuma upepo wa fedha ulinipitia, niliwahi kuwa na biashara naingiza almost milioni 6 faida kila mwezi, nilishaiacha baada ya ushindani kujaa sokoni kiasi kwamba hata laki 5 kwa mwezi kuipata ilianza kuwa ngumu, 2020 niliachana na aliewahi kuwa mke wangu, sababu ikiwa pesa zilimchanganya sana + entitlement ya kuona anaweza kutumia pesa kivyovyote bila kuhojiwa, nilipoanza kutia mkazo yakaanza malumbano, yani hata nikimuachia elf 30 kwa siku analalamika haimtoshi !! yeye anataka kuishi maisha ya kibongo muvi na ya kuspend kwa kushindana ama kutaka kusifiwa na wenzake, akajazwa upepo wa kishenzi kwamba tuachane, ilikuwa hivyo na aliambulia milioni 40, gari moja, kiwanja, n.k. >> Jinsi jinamizi la mafanikio kiuchumi lilivyomfanya mke wangu kuwa kiburi, jeuri na hatimae ndoa kuvunjika kisa tamaa ya mali

Kwa sasa nipo na mwanamke mwengine natumia mbinu nyingine kuishi nae hata akiniona na pesa apunguze tamaa ya kukimbilia mahakamani kunipiga pasu kwa pasu (mahakama zina upendeleo wa hali ya juu sana kwa wanawake)

So far so good i cant complain,, Ni kwamba huwa namwambia nina madeni niliyowekea bond nyumba, kiwanja, magari, mashamba, n.k. lengo ni yeye kujua kwamba hata akipata hizo mali ajue hataweza kuzimiliki,

Ila kuna muda hii mbinu huwa ina backfire mfano kawahi kuniambia auze shamba lake la urithi huko kwao anishaidie kupunguza marejesho, ananiombea sana kwa kitu ambacho hakipo, Nikimnunulia kitu kizuri huwa inabidi nimbembeleze sana akipoke, nadhani hata nikifa leo anaweza asifuatilie mali ila najitahidi kuweka mkakati aje kujua kwamba sidaiwi endapo nikipata kifo cha ghafla. n.k.

Advantage nazopata nadhani ni Loyalty ya yeye kuweza kuishi nami huku akijua hata tukiachana anaweza asiambulie hata sahani, Kwa upande wa sex wala sina nachomdai nadhani ni sehemu ambayo labda kaiona aitumie kunitolea mawazo ya madeni, mara nyingi huniomba pesa za vitu muhimu tu, She is very supportive na huwa ananipa peace of mind

UIslam ni mwema sana. Mali yako ni yako na ya mkeo ni ya mkeo.
 
inaelekea hata mahakamani hujawahi kwenda wewe, kesi waislam zipo huko hasa wasomi.

ni Zanzibar Pekee mambo yanaishia baraza hayafikii mahakamani
Anayekataa kuhukumiwa Kiislaam kwa mambo ya familia. Huyo kajitoa katika Uislam.

Uislam ni mwema sana.
 
if she was after the money she would have bounced sooner than later, i might just hsve to call her ma ride or die,
problems comes when u least expect it. she probably bounce a few times. tena you have a side child. amna kitu kipya. she won't even have regrets.
 
Aisee kumbe haya matukio yako Real.

Najuaga ni stori za mitaani tu.

Hivi kweli inaweza kunitokea na Mimi kwa Mke wangu?

I dont Think so
Mkuu inategemea mira na tamaduni ya huyo mke wako, mfano wanawake wakizanzibar wao wakiachika wana rudi kwao kuishi na hawa dai kugawana mali.
 
Back
Top Bottom