Mkenya aliyekamatwa na dawa za kulevya Vietnam kunyongwa Machi 17, 2025

Mkenya aliyekamatwa na dawa za kulevya Vietnam kunyongwa Machi 17, 2025

Bora kuliko kuishi maskini tena omba omba ..Hamna alichopoteza She was trying to earn a living...
 
ikiwa atanyongwa basi atakuwa amekufa kishujaa, si yeye pekee bali wengi tunatamani kutafuta maisha nje na mipaka ya Africa. Huyo John nae atabaki na huzuni siku zote mana alimfanya punda margareth asijue amebeba nini.
Ingekuwepo mikataba ya kubadilishana wafungwa kati ya kenya na Vietnam huenda ingemnusuru na kifo lakini ndo hivo tena hakuna
 
Unachukulia kirahisi kwa sbb vile si mtu ana kuhusu. Ukiachilia makosa yake issue ya kunyongwa ni issue nyingine hasa kwa sbb ina invlove kutoa uhai!!
Mjomba Kila kitu duniani ni rahisi tu,amepitia njia yake imemfikisha panapostahili.Ukikaa karibu na hospitali ya mwananyamala ukawaona wale mateja wanavyoteseka na wanavyofanana na wadudu utaona Hilo jambo ni rahisi tu.
 
Alijaribu kuishi kwa kutaka kuharibu maisha ya wengine. Pole yake!
 
Duh!Bora William ruto aingilie kati kumsaidia kama alivyoingilia kati kikwete Kwa mwanaye ridhiwani alipokamatwa na madawa kule china mwaka 2013 kama sikosei Kwa mujibu wa watanzania wengi walisema Hivyo.
 
Back
Top Bottom