Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 6,236
- 10,774
Kwa Vietnam wanajua hizo janjajanja ndo maana kwao death penalty ni kitu pekee kukomesha hili jamboMore risk more money, ingekuwa Africa angetoa hela yakaisha
Kwa Vietnam wanajua hizo janjajanja ndo maana kwao death penalty ni kitu pekee kukomesha hili jamboMore risk more money, ingekuwa Africa angetoa hela yakaisha
Mkuu ukiniuliza mimi nitabaki kusema kuwa alikuwa anafahamu, kwa sababu huwezi kupewa mzigo tu uingie nao ugenini bila kuukagua! Anafahamu na waliompa vyema kabsa.Wengine wanasema alikuwa anajua wengine mara alikuwa hajui kwaiyo ni mchanganyiko🤔
Mbele ya sheria hakuna mchanganyiko boy. Umekamatwa then prove kuwa hauko guilty mbele ya mahakama against ushahidi uliotolewa bhasi. Mpaka sasa utetezi wake ni kulia na kusema alikuwa hajui kwenye bag kuna nini which doesn't prove her innocence.Wengine wanasema alikuwa anajua wengine mara alikuwa hajui kwaiyo ni mchanganyiko🤔
Ananyongwa dakika chache zijazo baada ya kula chakula anachokipenda.Any update...?
Hivi anayongwa au anachomwa sindano🤔Ananyongwa dakika chache zijazo baada ya kula chakula anachokipenda.
Kisheria yote ni kunyongwa au kwa lugha rahisi kupokonywa haki ya kuishi kisheria.Hivi anayongwa au anachomwa sindano🤔
Leta huo mtiririkoHuko kwenye social media wakenya wanatumia nguvu nyingi kumtete huyo dada,ukifuatilia mtiririko mzima wa safari yake anahusika na huo mzigo
Ni kweli kabsa! Unapewa vipi mzigo na mtu uingie nao bila kujua kuna nini ndani? Tena ndani ya nchi kama Vietnam!?Huko kwenye social media wakenya wanatumia nguvu nyingi kumtete huyo dada,ukifuatilia mtiririko mzima wa safari yake anahusika na huo mzigo
saa hauna?umeambiwa saa 20:30Vp ameshadedishwa?
Ruto si aliingilia kati kumtetea, kuna taarifa bbc wametoa kua haijulikani kama kadedishwa au lah.saa hauna?umeambiwa saa 20:30
Sawa mjinga.saa hauna?umeambiwa saa 20:30
Ndiomana upekuzi juu ya luggages zetu huwa wa hali ya juu na umakini huongezeka tofauti na wanavyofanyiwa ngozi nyeupeHawa ndo ufanya waafrika tusiaminike nje wanatuona wote ni wabeba madawa
wanajitoa ufahamu na usikute John ndo anafanikisha hiloHuko kwenye social media wakenya wanatumia nguvu nyingi kumtete huyo dada,ukifuatilia mtiririko mzima wa safari yake anahusika na huo mzigo
sawaa.ila kwa taarifa za mwanzo ni 20:30Ruto si aliingilia kati kumtetea, kuna taarifa bbc wametoa kua haijulikani kama kadedishwa au lah.