The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Black man ukienda airport za nje unakaguliwa mara kumi kumi kwa sababu ya wapumbavu kama hawa
Ruto ameingilia kati...Any update...?
Hawa watu wajinga sana hapa east africawanajitoa ufahamu na usikute John ndo anafanikisha hilo
Lethal injection 💉Hivi anayongwa au anachomwa sindano🤔
Basi ndio hivyo hajanyongwasawaa.ila kwa taarifa za mwanzo ni 20:30
Margaret Nduta Macharia (37), raia wa Kenya aliyekamatwa mwaka 2023 nchini Vietnam na dawa za kulevya kilogramu mbili za Cocaine, anatarajiwa kunyongwa hadi kufa kesho Jumatatu Machi 17, 2025.
Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Nation, Margaret aliyepewa hukumu hiyo Machi 6, 2025 alisema alipewa mzigo huo wa dawa za kulevya na mwanaume kutoka Kenya aliyemtaja kwa jina moja la John.
Pia, taarifa hiyo inaeleza kuwa alifanikiwa kupita katika viwanja vitatu vya ndege bila kukamatwa, kabla ya kugundulika Vietnam. Viwanja hivyo ni; Jomo Kenyatta (Kenya), Bole (Ethiopia) na Hamad (Qatar).
Hata hivyo, Margaret akijitetea mahakamani nchini Vietnam alidai hakufahamu kama mzigo ule ulikuwa ni dawa za kulevya.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Vietnam, Margaret atakula chakula chake cha mwisho kesho saa 1:30 usiku na kisha kunyongwa saa 2:30 za usiku. View attachment 3272728
Wakenya wenzake wanamtetea sana kama vile kaonewa,yule dada analikuwa anajua alichobeba kwenye begiBlack man ukienda airport za nje unakaguliwa mara kumi kumi kwa sababu ya wapumbavu kama hawa
Utajiri una principles, hiyo kauli imewaponza wengi, waliopita na wanaokujaget rich or die trying.
kufa tajiri au kufa ukiwa unajaribu kua tajiri ni sawa tu
Well usimdanganye amepoteza uhai, intentionaly , no corners here. Si kwamba i dont respect hustles, nilipita pia, but i knew what type of risk to take legalyBora kuliko kuishi maskini tena omba omba ..Hamna alichopoteza She was trying to earn a living...
Vietnam hawana lethal injectionLethal injection 💉
Angalau kaepuka dharau , kiufupi hamna alichopoteza, kama ni kuwepo duniani ni zao la wazazi wake ...Wazazi ndiyo wamepoteza sio yeye .Well usimdanganye amepoteza uhai, intentionaly , no corners here. Si kwamba i dont respect hustles, nilipita pia, but i knew what type of risk to take legaly
Kuna mstari mwembamba sana kwenye haya mambo
Jesus christ man uko serious kweli? Do you single gift to human kind ni uhai? Hauzwi wala kununulika by any cost. Unajua how valuable is it?Angalau kaepuka dharau , kiufupi hamna alichopoteza, kama ni kuwepo duniani ni zao la wazazi wake ...Wazazi ndiyo wamepoteza sio yeye .
Wakanyongwe badala yakeWakenya wenzake wanamtetea sana kama vile kaonewa,yule dada analikuwa anajua alichobeba kwenye begi
Unapambana ili uende wapi ? Mwisho wa siku unakufa tu hamna jinsi ...Bora kufa kuliko dunia ni useless ,tena starehe ya muda mfupi hamna kitu utazikwa nacho.Jesus christ man uko serious kweli? Do you single gift to human kind ni uhai? Hauzwi wala kununulika by any cost. Unajua how valuable is it?
Wangapi wanadharaulika bado wanapambana? They gave their all na hawaja trade uhai wao for once?
Kudharaulika ni part of life, haswa katika utafutaji, but dharau will never equal uhai hata siku moja
Kufa when its time, si kwa kujitakia. Kuna massive differenceUnapambana ili uende wapi ? Mwisho wa siku unakufa tu hamna jinsi ...Bora kufa kuliko dunia ni useless ,tena starehe ya muda mfupi hamna kitu utazikwa nacho.
Ukiishi kwa tabu ni mateso zaidi.
Duh afadhaliRuto ameingilia kati...
Wameahirisha hadi June..
Kufa ni kufa ..Hata kunyongwa ni kifo ni kama ajai tu ya basi.Kufa when its time, si kwa kujitakia. Kuna massive difference