Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Yeah kufa ni kufa but usiwe sababu , let nature take it courseKufa ni kufa ..Hata kunyongwa ni kifo ni kama ajai tu ya basi.
Yeah kufa ni kufa but usiwe sababu , let nature take it courseKufa ni kufa ..Hata kunyongwa ni kifo ni kama ajai tu ya basi.
Ukifa haujapoteza kitu🤣Yeah kufa ni kufa but usiwe sababu , let nature take it course
Hiyo geresha mzigo ni wa kwake. Wenzetu hawacheki na kimaTulishaambiwa kuwa tusipokee vifurushi kwa watu tusiowajua tukiwa Airport.
Pole yake
Hahah not alwaysUkifa haujapoteza kitu🤣
Kumbeeeee.Hiyo geresha mzigo ni wa kwake. Wenzetu hawacheki na kima
Mie sielewagi hii kitu alafu marekani nasikia unachagua unataka kula niniSasa anakula chakula cha mwisho kwa ajili ya nn?
Sidhani kama hata hamu ya kula ataipata.
Kwahiyo watu ni mwendo wa kitanzi pekee!??Vietnam hawana lethal injection
Alikuwa anafahamu kbsa maana alipewa Ksh 168,000 kama malipo ya swali( instalment)Mkuu ukiniuliza mimi nitabaki kusema kuwa alikuwa anafahamu, kwa sababu huwezi kupewa mzigo tu uingie nao ugenini bila kuukagua! Anafahamu na waliompa vyema kabsa.
Hapo Mungu hausiki! Ni mtu Mpumbavu pekee ambaye anaweza kupoteza muda wake kumuombea neema drug transporter akwepe kifo wakati anaua wenzie kwa drugsAlikuwa anafahamu kbsa maana alipewa Ksh 168,000 kama malipo ya swali( instalment)
Huyu akiomba msamaha kwa mungu, ni moja kwa moja mbinguni. Ila wewe ambae hujawahi kuua mtu, wewe ni wa motoni manake unaweza kufa ghafla bila kutubu..!Hapo Mungu hausiki! Ni mtu Mpumbavu pekee ambaye anaweza kupoteza muda wake kumuombea neema drug transporter akwepe kifo wakati anaua wenzie kwa drugs
Kama milioni mbili za kitanzania upuuziAlikuwa anafahamu kbsa maana alipewa Ksh 168,000 kama malipo ya swali( instalment)
Kwahiyo ni heri uvushe madawa ya kulevya ukaharibu vijana ila usipigwe na sheria ukikamatwa!?Huyu akiomba msamaha kwa mungu, ni moja kwa moja mbinguni. Ila wewe ambae hujawahi kuua mtu, wewe ni wa motoni manake unaweza kufa ghafla bila kutubu..!
Ngozi nyeusi huwa wanadhani tuna expectional 😃 sheria za nchi zipewe heshima yake! Ni sawa na mtu eti amefanya mauaji ya watu zaidi ya 50 halafu apewe hukumu ya kifo cha hanging kisha watu waanze kuomba asemehewe!?Kama haupo kwenye makundi ya kihalifu kama yakuza and the likes asia sio sehemu salama kupita kama punda
Na familia yake inajua kuwa Binti yao alikuwa na michezo hii!Kama milioni mbili za kitanzania upuuzi
HajanyongwaMargaret Nduta Macharia (37), raia wa Kenya aliyekamatwa mwaka 2023 nchini Vietnam na dawa za kulevya kilogramu mbili za Cocaine, anatarajiwa kunyongwa hadi kufa kesho Jumatatu Machi 17, 2025.
Kwa mujibu wa tovuti ya Daily Nation, Margaret aliyepewa hukumu hiyo Machi 6, 2025 alisema alipewa mzigo huo wa dawa za kulevya na mwanaume kutoka Kenya aliyemtaja kwa jina moja la John.
Pia, taarifa hiyo inaeleza kuwa alifanikiwa kupita katika viwanja vitatu vya ndege bila kukamatwa, kabla ya kugundulika Vietnam. Viwanja hivyo ni; Jomo Kenyatta (Kenya), Bole (Ethiopia) na Hamad (Qatar).
Hata hivyo, Margaret akijitetea mahakamani nchini Vietnam alidai hakufahamu kama mzigo ule ulikuwa ni dawa za kulevya.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Vietnam, Margaret atakula chakula chake cha mwisho kesho saa 1:30 usiku na kisha kunyongwa saa 2:30 za usiku. View attachment 3272728
haha majaluo mapumbav sanaa...sijui maana hayafanyi tohara ama nnKuna jaluo mmoja huko Kenya anasema anyongwe tu kwa sababu huyo mwanamke eti ni mkikuyu, duh.
Umenikumbusha siku moja airport moja hivi siitaji jina,jamaa nikaona kanichngamkia ghafla,ohh Arsenal mwenzangu kisa nimevaa Tshirt ya Arsenal,mara ohh inaonekana mzee wewe damudamu na Arsenal,ghafla ananiambia naomba msaada wako,kuna yule jamaa mwenye shati ya njano anakaribia kuingia kwenye ndege kasahau huu mzigo wake naomba umchukulie ukifika Dar umpatie maana simu yake imezima chaji,nikamwabia No my friend hiyo kazi sifanyi,jamaa akajikata taratiibu...Tulishaambiwa kuwa tusipokee vifurushi kwa watu tusiowajua tukiwa Airport.
Pole yake