Mkenya aliyekamatwa na dawa za kulevya Vietnam kunyongwa Machi 17, 2025

Huyu akiomba msamaha kwa mungu, ni moja kwa moja mbinguni. Ila wewe ambae hujawahi kuua mtu, wewe ni wa motoni manake unaweza kufa ghafla bila kutubu..!
Kwahiyo ni heri uvushe madawa ya kulevya ukaharibu vijana ila usipigwe na sheria ukikamatwa!?
 
Kama haupo kwenye makundi ya kihalifu kama yakuza and the likes asia sio sehemu salama kupita kama punda
Ngozi nyeusi huwa wanadhani tuna expectional 😃 sheria za nchi zipewe heshima yake! Ni sawa na mtu eti amefanya mauaji ya watu zaidi ya 50 halafu apewe hukumu ya kifo cha hanging kisha watu waanze kuomba asemehewe!?
 
Inavyoonekana huyo dada huenda akaachiliwa huru kufuatia juhudi kubwa za kidiplomasia zinazoendelea kati ya Kenya na Vietnam.

Lakini pia sambamba na hilo, unyongaji wa watu sio suluhisho la kumaliza makosa kwani ingekuwa hivyo mataifa yanayoongoza duniani kwa kunyonga watu kama Saudi Arabia, Iran, Pakistan na China leo hii zisingekuwa na watu wa kunyonga lakini cha ajabu ndio kwanza wanaongezeka kila uchao.

Hali ngumu ya kimaisha duniani ni kichocheo kikuu kinachosababisha hizi "capital offences" kutokea lakini serikali duniani zimeshindwa kabisa kupambana na hiki chanzo.

 
Hajanyongwa
 
Tulishaambiwa kuwa tusipokee vifurushi kwa watu tusiowajua tukiwa Airport.
Pole yake
Umenikumbusha siku moja airport moja hivi siitaji jina,jamaa nikaona kanichngamkia ghafla,ohh Arsenal mwenzangu kisa nimevaa Tshirt ya Arsenal,mara ohh inaonekana mzee wewe damudamu na Arsenal,ghafla ananiambia naomba msaada wako,kuna yule jamaa mwenye shati ya njano anakaribia kuingia kwenye ndege kasahau huu mzigo wake naomba umchukulie ukifika Dar umpatie maana simu yake imezima chaji,nikamwabia No my friend hiyo kazi sifanyi,jamaa akajikata taratiibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…