Mkenya aliyekamatwa na dawa za kulevya Vietnam kunyongwa Machi 17, 2025

Cha kushangaza ni kwamba huyu anaweza kwenda mbinguni na sisi wote tusiende! Kumbuka yeye anaijua saa yake ya kifo so ana muda wa kutosha kujiandaa kiroho kuliko sisi.
Acha utani wako, Ngombe hanenepi siku ya mnada hata ukimlisha gunia zima la majani ya Ngombe!!
 
Je kama kaonewa kwa sababu ya ushamba ni kosa lake? Kwa mfano, yeye ni mara ya kwanza kusafiri kwa ndege, pia ni mara ya kwanza kuhaidiwa kazi za huko aendako. Fikiria huyo mtu anayetumia ushamba wake kuweka madawa kwenye begi lake. INAFIKIRISHA SANA, MUNGU AWE NDIYE HAKIMU SIKU ZOTE.
 
Aisee, pole sana mkuu.
Yaani ulikuwa unaingia kwenye mfumo mazima.
Hiv hawa watu hawana hata huruma jamani?
Ulishtukia mapema.
 
Unachukulia kirahisi kwa sbb vile si mtu ana kuhusu. Ukiachilia makosa yake issue ya kunyongwa ni issue nyingine hasa kwa sbb ina ina-involve kutoa uhai!!
Dawa za kulevya haziinvolve kutoa UHAI...!? Nimeuliza kwanza hata neno involve sijui maana yake 😎
 
Unaambiea Nduta ni mzoefu wa Safari za nje ya Kenya, ameshawahi kwenda Saudia zaidi ya mara tatu.
 
Unachukulia kirahisi kwa sbb vile si mtu ana kuhusu. Ukiachilia makosa yake issue ya kunyongwa ni issue nyingine hasa kwa sbb ina ina-involve kutoa uhai!!
Hayo madawa pia yalikuwa yanaenda kunyonga watu,
 
hii inaitwa the last supper, get rich or dying trying. ndio basi tena, anaondoka km utani vile. nenda salama ukatushikie viwanja vya mjini mjini huko kwa sir God, mpe hai ukifika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…