Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Usiogope mi nina akili timamu, ukiona mwanamke amefikia kutiwa kibao ujue amevuka mipaka. Hana adabu kabisa. Mi napenda mtu ambaye tunasikilizana. Ukimweleza hili sio zuri usifanye hivi inanikwaza anaelewa.
Unajua im very cool...ila kama unajua mtu cool akichafukwa inakuaje then hutakuwa na wasiwasi. Mara nyingi wanawake wanaodundwa wantengenezaga mazingira hayo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] aise hao miili yao huwa inawasha washa kama wanawake wakikurya.
 
Mwanaume akifanyiwa hivi anakabidhi hadi pumbu, limbwata liko mikononi mwetu wanawake hatujui tu, nadhani nimemrithi bi mkubwa wako
Sema kweli!? Sema mwanaume anayejitambua

Mwingine utafanya hayo na bado akuone zuzu fulani hivi
 
kusema ukweli hilo kundi namba mbili ndo walojaa hapa mjini,ukipata hilo kundi namba moja yani fasta weka ndani mazima
Hata huyo namba 1 anaeza kua anakuigizia....ke wa hapa mjini 🙆 uwe makini unaeza igiziwa ukajua namba 1 ukioa unakuta☻2
Alafu mie nakuja kukucheka😁😁😁
 
nimepitia vipigo, madhara yake ni makubwa jaribu adhabu mbadala sio kumpiga mke, asipoelewa achana nae tu
 
Sema kweli!? Sema mwanaume anayejitambua

Mwingine utafanya hayo na bado akuone zuzu fulani hivi
Ni kweli na hapo ndo huwa tunaangukia no 2

Ila wapo wanaume wakipewa adabu atakupenda mpaka ushangae
 
Reactions: Luv
Mkuu nimesoma hizo taratibu/tamaduni ulizokuzwa nazo, nimekuelewa, wengi tuliokulia mikoani tunakuzwa hivyo

Hasa watoto wa kike/wanawake

Ila trust me Kuna baadhi ya wanaume vichomi, nimesoma pale juu nikakupita kimya kimya

Nimefika hapa Tena.......

Kuna jambooooo......

Kwetu mume/baba vile tunamtreat ni kwa heshima ya Hali ya juu, na hazoeleki (hatuleti mazoea kwamba ifike sehemu umuache ajifanyie, hata Kama una kichanga) tunaambiwa kabisa mtoto wa kwanza mumeo, kichanga amewakuta


Hehehehhehehehe, Kaka Kuna wanaume usiombe , Hadi unajiuliza Nini hii? Nakosea wapi? Nini sifanyi?

Mwisho unahitimisha, au alinioa kwa bahati mbaya!!!????
 
nimepitia vipigo, madhara yake ni makubwa jaribu adhabu mbadala sio kumpiga mke, asipoelewa achana nae tu
Huyo aliokuwa anakupiga na level ya adabu na hekima ulionayo atakua yeye ndo alikuwa na shida. Mi sioni sababu ya kumuadhibu mtu ambaye anajua kusema samahani...hana kauli chafu kinywani mwake. Hatutakaa kufika huko afterall nimejifunza ku control temper yangu sikuhizi. Najizuia sana kufanya hivyo.
 
That means marrying a wrong guy, kuna wanaume hawana shukurani by nature tu! Ni perfectionists wao hawakosei ila mwanamke ndio anakosea. Hamna zuri utafanya akusifie its like upo upo tu katika maisha yake. I have an ex anateseka na mtu wa namna hio ni vilio tu akirudi kwao mzee anamtimua arudi kwa mumewe 🤣🤣🤣! Hatukuachana kwa ubaya anakumbuka how good i was to her ila ndio hivyo wakati ni ukuta na kuna decisions in life ziko complex ila unatakiwa u deal na consequences za maamuzi yako.

Ukiwa na mtu wa hivyo unaweza juta kuolewa hata kama unakaa kwenye hekalu hapo masaki, uwani zimepaki range rover, porsche na G wagon!

Mi pia nakuelewa sana...ila wanaume loyal tunapataga shida sana kupata wanawake wa calibre zetu.
 
Endelea kupunguza kabisa hadi iwe zero
 

Nope!!!

Me wa mikoani ila naishi Dar,hii town kuoga maji hayachemshwi may be ingekuwa hivyo angefanya wife maana kitu kinachoitwa jiko sijawahi kuwasha nikiwa naye,kufua nguo sijawahi kufua akiwepo labda amesafiri na namshukuru Mungu wife anaijua mipaka yake.

Mkuu umri wako siujui ila kwa vyovyote vile mama yako ni aina ya wale wamama wa 60s so kimalezi huwezi kumfananisha kwa namna yoyote na hawa kina Esther na Mwajuma mnaokutana nao huko mavyuoni wakiwa na smartphone mikononi leo utegemee kuishi naye kama mama yako alivyokuwa anaishi na baba yako,never na ikiwa akilini mwako umejijengea picha hii kwa hawa wanawake wa siku hizi i swear jiandae kuzeeka ukiwa bachelor au ukiwa na familia isiyoelewa kama inaenda mbele au inarudi nyuma.sometimes hata wanaume huwa hatuelewi tunataka nini hasa,maana kizazi hiki wengi wenu mnataka na wake zenu watoke wakatafute kula ya familia sasa najiuliza huyu mke anatakiwa naye awahi kazini,so aamke aandae nguo zake,nguo zako (sitaiweka hii ya kuandaa chai alioakiifanya mama maana vijana siku hizi tume-advance chai tunanywea makazini) kisha mbio akaoge kisha tena akupelekee wewe maji bafuni wakati huo wewe umekaa tu...kweli mkuu hii inakuingia akilini?!!

Na itabidi aamke saa 9 ili hayo yote ayafanye kumbuka jana alirudi usiku amechoka akakuandalia kila kitu maji ya kuoga yakiwepo na unyumba usiku ulimuomba akakupa au hakukupa mimi sijui yaani kiufupi hapa inakuwa ni vurugu tu unaishi na mateka,haya uniambie ktk zunguka yako yoote umewahi ona ktk kizazi hiki wa kufanya hayo?usijilishe upepo ndoa ni reality tegemea lolote likiwa baya tafuta namna yakufanya liwe zuri likiwa zuri shukuru maisha yaende.u know,hata wakati sijaowa nilikuwa na mitazamo hii hii ila nilipoingia haraka sana nature ikani-select nikakuta kumbe sivyo nilivyokuwa nawaza,utashangaa nimeowa na miaka 27 tu kijana bado ila ubongo ukakaza ukaelewa mabadiliko yote hatua kwa hatua na sasa nimetulia maisha yanaenda.

Na siku hizi kuna kitu kinaitwa feminist sijui feni nini kimeingia hiki kwa mawazo yenu haya tegeemeni kuteseka sana na hawa wanawake,zama hizi hayupo mwanamke atakubali kuanzia mwaka wa kwanza wa ndoa yenu mpaka wa kumi,yeye aweke mtoto chini akupelekee maji bafuni kisa ni mumewe huku umekaa tu,yaani umejinyooshea miguu usubiri maji yaende bafuni nakwambia hayupo na usitegemee kukutana naye hata ukienda kumuokota huko kijijini ndani ndani ipo siku tu atakutaka ujihudumie mwenyewe na utajihudumia!
 
We jamaa unanisema wallah tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na hii ndio sababu kubwa mama aliweza kumfanyia baba hayo mambo na zaidi. Kama angekua anapurukushana na foleni za kuamka saa kumi na kurudi saa tatu usiku nina uhakika baadhi ya mambo hapo asingeweza kuyafanya sababu ya uchovu wa kazi, watoto na mambo kama hayo.

Kwahiyo kama upo Dar unataka mwanamke mwenye kipato na bado akufanyie hayo ambayo mama alifanya kwa baba kwa kizazi hiki sio rahisi.
 
Dictator kama dictator[emoji119]
 
q
Kuna kitu kinaitwa Empathy, if you mean that then hakuna tatizo maana kwa kila binadamu aliyekamilika na mwenye afya nzuri ya akili lazima atakuwa nacho.

Unasaidia tu kwa kuguswa, ila sio kwamba usipofanya zitaanza kelele. Maana wanawake wa kibongo wapo vizuri sana, kuna jamaa jana alikuwa analalamika kuwa anamsaidia mkewe kazi mwishowe mke kamgeuzia kibao. Hii haikubaliki!
 
Kwahio ushauri nichukue mwanamke ambaye hana kipato sio? Ndio nitakula mema ya nchi 🤣🤣🤣,?

Tatizo wanawake wa mjini hawataki kukaa ndani sikuhizi hata kama utampa kila kitu. Anataka nae atoke akajishughulishe 😁
 
Hata kama akiwa anajishughulisha asiwe yule strong woman anayetaka kupanda vyeo kila mwaka yani mtu aliyeko goal oriented kihivyo. Wanawake wengi wa hivyo wapo very competitive hadi majumbani utaishia kumpiga atakushtaki utafungwa
Kwahio ushauri nichukue mwanamke ambaye hana kipato sio? Ndio nitakula mema ya nchi [emoji1787][emoji1787][emoji1787],?

Tatizo wanawake wa mjini hawataki kukaa ndani sikuhizi hata kama utampa kila kitu. Anataka nae atoke akajishughulishe [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…