hahahaha kabishi ila katamu hatari.Mkeo ni kama mbilimbi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha kabishi ila katamu hatari.Mkeo ni kama mbilimbi
.............Yah mkuu nilichoandika wala sijakosea ila sijasema hanitengei chakula mezani au hanikaribishi na hata asiponikaribisha unadhani kwenye ndoa ni kitu cha kufuatilia hiki,utafuatilia mangapi na utahoji mangapi?kama amepika vizuri chakula na umekikuta mezani kimekamilika kuna haja gani tena kuulizana mbona hujanikaribisha?na huko kuhoji hoji sana vitu vidogo vidogo ndiko mnapokuta mmezusha vurugu zisizo na kichwa wala miguu unless uniambie unatafuta sababu za kumuacha maana maisha ya ndoa ni continuous viapo ni kuishi milele na kuvumiliana.Mkuu, mke hakutengei maji ya kuoga na hakupakulii chakula/ hakutengei chakuka mezani na kukukaribisha halafu unasema UMEOA??
Au sijakuelewa mkuu??
Tushirikishe rafiki
Ndiyo ivyo mkuu,binadamu wote kila mmoja anakichaa chake........Ujue kuna muda huwa najitafakari tabia zangu nimekuja kujua kweli inawezekana nina kichaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna tarehe naweza kuwa mpole sana mpaka ukafurahi kuna tarehe ni hatarii hakuna jema atakalo fanya,sifanyi kusudi hii hali huwa inatokea tu baada ya kufanya utopolo ndio nashtuka kwanini nilikuwa mkali hivyo
🤣🤣🤣 Tabia ni kama ngoziWewe unatakiwa uishi na mimi,nitakubadilisha na kuwa kundi namba moja.
Unacheka nini[emoji23][emoji23][emoji4]
Mkuu, sawa nimekuelewa, ila hapo kwa wazazi wangu umekosea..............Yah mkuu nilichoandika wala sijakosea ila sijasema hanitengei chakula mezani au hanikaribishi na hata asiponikaribisha unadhani kwenye ndoa ni kitu cha kufuatilia hiki,utafuatilia mangapi na utahoji mangapi?kama amepika vizuri chakula na umekikuta mezani kimekamilika kuna haja gani tena kuulizana mbona hujanikaribisha?na huko kuhoji hoji sana vitu vidogo vidogo ndiko mnapokuta mmezusha vurugu zisizo na kichwa wala miguu unless uniambie unatafuta sababu za kumuacha maana maisha ya ndoa ni continuous viapo ni kuishi milele na kuvumiliana.
Falsafa yangu nayoiishi ktk ndoa yangu ni “sikuowa mke aje kunitumikia” bali kuwa msaidizi wangu pamoja na kuendeleza kizazi changu,nimesema mwanzo akifanya yote hayo ila family ilipoongezeka hayo hanifanyii na nilielewa wala sijawhi kuhoji niliona tu mwenyewe siku za weekend nikiwa home hiyo battle ya watoto humo ndani hakukaliki na kama mimi kukaa na watoto nusu saa tu siwezi yeye anakaa nao kutwa nzima itakuwaje?maana hawaelekezeki kirahisi.iko hivi;nina watoto mmoja 6 aged na mwengine mwaka 1/10,muda ninaoingia home kutoka job ni saa 20:00 usiku nikifika namkuta wife amemsimamia huyu mkubwa ili ale akalale kesho aamkie shule (bahati mbaya ni mtundu mno) akiachiwa upenyo ale mwenyewe chakula utakikuta kwenye basin la vyombo vichafu hakijaguswa hata kidogo.niambie wewe kama baba,utamwambia mkeo aache kumsimamia mtoto akakuandalie maji ya kuoga?je kabla hujamuowa hukuwa unaoga wewe,aliyekuwa anakuandalia maji ni nani?
Baada ya hapo aje kwa huyu mdogo naye amuogeshe kisha aanze kumpa chakula na huyu akiwa analishwa anataka azunguke nyumba nzima hatulii sehemu moja,muda huo ndo nimeshaoga na mimi nipo dinning nataka kula na pale mezani zana zote wezeshi za mimi kuendelea zipo unataka kuniambia nisijipakulie chakula nile ila niite kwa sauti ya mamlaka “wewe mwanamke njoo unipakulie chakula”,well ataweza kutii but vipi mtoto akipaliwa chakula kule aliko umeshafikiria hasara zake?au kuniandalia nguo asubuhi,huo muda wa kufanya hivyo sasa hana tena muda huo anautumia kwa mtoto ili awahi shule yani nilichoandika pale juu ni kitu nakiishi na nimekishuhudia na mke wangu kuweka house girl hataki nilihoji akanipa sababu zake,ukweli hazikuwa na mashiko ila ikabidi nielewe kiutu uzima maana mama mwenye nyumba ameshasema ning'ang'anizane naye kwa faida gani?na naridhika na maisha tunayoishi!
Maisha ya ndoa siyo bongo movie yanataka hekima na busara ukitaka kuamini kama baba na mama yako wapo pamoja mpaka sasa chunguza je bado mama anampelekea mzee maji bafuni?zile ni longolongo tu za uchanga wa penzi wala usizizingatie sana life likishakolea mbona utajikuta upo ndani ya ndoa ila unaishi as if upo kwenye u-bachelor na ukiwa mwelewa hakuna siku utapishana hovyo kauli na mkeo.
Blaza una ndoa nzuri, umeweza kuishi naye kwa akili.Namba mbili wapo wengi balaaa
Nilivyooa ndo nikathibitisha ukweli wa kuwa mwanamke hakosei ukitaka Vita na mkeo wewe mwambie kakosea sehemu flani...
Wife bwana chochote unachomwambia ameteleza ujue lazima atakirudisha kwako mpk saivi imebidi uwe utani tu
Mke maji ya kunywa ulikumbuka kuchemsha? mtu mwenyewe hata nikichemsha hunywi.[emoji3][emoji3]
Nimerudi zangu home saa 7mchana badala ya saa 9/10 niliyozoea kurudi.Mke chakula tyr?Mke :Bado,mtu mwenyewe wewe hutabiriki unarud sa ngap nilichelewa kidogo kupika.
Mke umesahau kumpigia mama ulisema utaongea nae leo?wewe huyo hujanikumbusha...[emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi:mke punguza sauti ya TV Kuna kazi inachanganya nahitaji umakini kdg,wewe hata ukiwa free hupendi niangalie movies za kikorea...
Mke chumvi leo imezidi kdg wewe huyo unakuja kunipigisha story wakati napika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeamka zangu asubuh najiandaa kwenda kwenye mishe nikaanzisha story mke umeamka tyr?mbona mapema?Wewe huyo unazunguka zunguka chumbani mpk usingizi umekata
Juzi kadondosha grass ya maji mi nikageuka tu nikamuangalia nikampa pole nikasikia wewe huyo unaniangalia sanaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maskini hata hajui keshazoea mi saivi akiboronga namwambia sio kosa lako mi Mimi huyo nimesababisha,anachekaaaa balaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ahahaha wewe unaweza mpiga hadi kung fu!!Uongo sio mzuri, kundi namba 1 Kama wapo atakuwa na hitlafu kwenye ubongo wake. Namba mbili ndio mpango mzima. Tumebaka hii thread mtusamehe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] siko namba mbili mimi weweHamna nmefurahi ivi kujitanabaisha
Hujivungi
Haaaaa unajikataa tena[emoji4][emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji1787] siko namba mbili mimi wewe
Mimi mwenyewe sijielewi niko wapi [emoji125][emoji125][emoji125]Haaaaa unajikataa tena[emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Mimi mwenyewe sijielewi niko wapi [emoji125][emoji125][emoji125]
Namuomba mdogo wako(wakike), natumai mmetoka chungu kimoja.Niko namba 1 hapo ila ndo mpaka unikojo...... ukichelewa naswitch no 2 hii hata Mi mwenyewe najiogopaga sometimes
Lakini kwa ujumla maisha yangu ya mahusiano asilimia nyingi naishi kwenye moja,
Weeeeee....😅😅
Unazingua sana mkuu, utengewe maji, upakuliwe chakula? Huna mikono mkuu?Mkuu, mke hakutengei maji ya kuoga na hakupakulii chakula/ hakutengei chakuka mezani na kukukaribisha halafu unasema UMEOA??
Au sijakuelewa mkuu??