Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Bila shida yoyote anaujaza, sio kama huyo hadi aweke na kwaya za wakata mauno
Ok, sasa tumeelewana hajawahi ujaza ila mashindano ya quran yanayoratibiwa na kamati za kitaifa na kimataifa ndio yanaujaza uwanja ila sio Kishki anaujaza. Naomba sasa ufute na ukanushe kauli yako kuwa "Kishki anaujaza uwanja"
 
Daaah! Una kichwa kigumu wewe, kwahiyo huyo mwamposa kila kitu kaandaa yeye bila kamati?
 
Tunapokea Kibali cha Upako hapa mkuu.

Kumtaja kristo sio jambo rahisi.

Utajuaje mtu anayemtaja kristo ni tapeli na mungo?

Dini ni imani mfano yeye akimtaja kristo ,sisi tunaamini hivyo hata kama yeye kichwani anaamini kristo wake wa duniani.
Utajua kwa kusoma maandiko kwani yapo wazi.
 
Bwana Yesu alikuwa anapokea pesa/mali kutoka kwa wahitaji/wafuasi wake?
 
hapa ndipo unaona akili za mwafrika mavi matope1 Yamejazana na akili ndogo mavi. haya majuha Ukiyaambia kuwa kila mtu aje na kopo litageuka kubwa Scania bus yataleta!
 
Bwana Yesu alikuwa anapokea pesa/mali kutoka kwa wahitaji/wafuasi wake?
JF ina watu wajinga sana, wanabishana kwenye vitu wasivyovijua. Ona huyu

Bwana alitoa maagizo kwa wana wa Israeli wote kutoa malimbuko katika mazao yao, yaani kupeleka sehemu ya kwanza ya mavuno yao nyumbani kwa Mungu, kuonesha shukrani zao mbele za Mungu kwa kupewa mazao.
 
hapa ndipo unaona akili za mwafrika mavi matope1 Yamejazana na akili ndogo mavi. haya majuha Ukiyaambia kuwa kila mtu aje na kopo litageuka kubwa Scania bus yataleta!
Kama inakuuma sana anzisha na wewe movement yako kuwakomboa hao unao ona wajinga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Nabii anavuka na chake usiku wa leo[emoji38]. Utani pembeni, wakuu nendeni ukamsifu na kumtukuza Mungu ila kwa upande wa sadaka nashauri mkatoe kwa wahitaji zaidi kama walemavu, watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu, wagonjwa n.k

Msiache pesa zenu hapo watu wakavuka nazo. Ibada ni bure kabisa ndugu zangu[emoji1545][emoji1545]
 
Kama inakuuma sana anzisha na wewe movement yako kuwakomboa hao unao ona wajinga.

#MaendeleoHayanaChama
of what use to me, acha yaliwe hela majuha including you of course, seem you are staunch believer of Mwamposa the tapeli!
 
Hii ni ishara tosha kuwa sisi watanzania tunatembea na mizigo ya matatizo na dhiki katika maisha yetu. Iwe ajira, ndoa, maisha duni, afya na maradhi.

Yaani sisi watanzania tunaishi katika dimbwi la dhiki, ndio maana watu kama hawa wataendelea kupata wafuasi na kupiga pesa ndefu..

All in all, kama unaenda huko na mambo yako yanafanikiwa, good for you
 
Hivi wanatoa sadaka? If so, kama level seat ni 60,000 na nilivyoona hapo ni kama Mkapa Stadium ipo full.

Just imagine kila mtu atoe walau 1,000 zidisha kwa watu 60,000...dadeq kweli mwenye nacho hupewa zaidi. A minimum of 60,000,000 Tsh.

Aliye nacho anazidi kuongezewa.
 
Kujaza uwanja wa Mkapa bila promo ni kipaji! Haya mengine tutatofautiana lakini Mwamposa ameweza jambo ambalo timu za mpira maarufu huingia gharama kubwa ya promo na uwanja wanashindwa kuufanya kuwa full!

Hongera Mwamposa kwa hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…