Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Somo refu Sana... Nakushauri fuatilia masomo ya mtumishi mmoja anaitwa Katekela, yuko U tube alikuwa huko walioko hao.... A najua mambo mengi Sana ya ulimwengu wa roho na tricky wanazotumia kuteka watu wengi wa mungu

Sawa naona ni refunkweli ni part 14 hapo. Naona pia inahitajika 4500$ mtumish afanikishe safari ya Nairobi [emoji16]
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Niliweka nadhiri ya kusoma kitabu cha ZABURI
zaburi ina masomo 150 nilisoma na kutafakari asubh na usiku mpk kumaliza nilitumia miezi mitatu.....sikupata majibu ya maombi yangu..

Jinsi ilivyo kua ngumu kwa mtu kama mimi kwenda kusali makanisa kilokole na wokovu.....

Dada angu mmoja rafik wa brother angu alikuaga ananambia mara kwa mara Am 4 real twende kwa mwamposa....

In short nilikaa na kujitafakari sana siku moja miaka mingi sana iliyo pita nikaenda kwa mwamposa

For sure kama una mtu kwenu mwenye tatizo au jambo lolote jaribu kwenda pale hata kama hauna imani...

Ninashuhudia nimeshuhudia matendo makuu ya MUNGU kupitia arise & shine...

Utakuja hapa nakuahid utakuja kutupa ushuhuda......
 
Ila dhambi hamtaki kuacha.
Muujiza mkuu mbele za Mungu ni binadamu kuacha dhambi.
Haya mambo mengine hata wabudha, waislamu, Wakristo na waganga huvifanya
 
Acha watu wafunguliwe,nchi inahitaji sana maombi hii
 
Twendeni kwa mwamposia jamani sadaka sio lazima mi nilienda mara moja in my lifetime hope nitaenda tena nilienjoy sana upako wa pale nilijihisi mwili una vibrate, kuna jambo niliomba naona limetick, wazazi waligombana sana kiasi kwamba kutishiana kuudhuriana, wakapelekana polisi, ila niake da mahsusi kuwaombea nami maana mi ndo mkubwa na ndo middle man ktk ugomvi wao maana baba atanilalamikia na mama nae atanilalamikia kuhusu mwenzie,

Saiv wameelewana hadi wanakaa pamoja kama hakuna. Kilichotokea, bado kimoja mzee kuwa na stable economy,
 
Watu walikanyaga mafuta usiku je ni kweli? Na wengine eti wameanguka na kuumia au kufa je ni kweli?
 
Acha uzishi wewe, uliuliza dini zao kwa kila aliyeingia pale? Kumbuka hatuzungumzii dini za walioingia Bali kujaa uwanja
Sio udini Kishki ni nani? Mimi mkristo sijui,tuanzie hapo
 
Ila dhambi hamtaki kuacha.
Muujiza mkuu mbele za Mungu ni binadamu kuacha dhambi.
Haya mambo mengine hata wabudha, waislamu, Wakristo na waganga huvifanya
Habar yako bwana sandali Ali....
"ila dhambi hamtaki kuacha"
Napata ukakasi na hii kauli yako.....

Hakuna Alie mtakatifu ila ni mwenyezi MUNGU pekee....

Kuanza kunyooshea watu vidole kua wanadhambi nazani sio sahihi....

Hata yesu kristo aliwai kuwa ambia kama unajiona hauna dhambi hata Moja uwe wa kwanza kurusha jiwe....Kwa yule mwanamke....wote walinywea

So tusijifanye kuingilia utukufu wa MUNGU Kwa kujifanya wakamilifu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…