Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Tunapokea Kibali cha Upako hapa mkuu.

Kumtaja kristo sio jambo rahisi.

Utajuaje mtu anayemtaja kristo ni tapeli na mungo?

Dini ni imani mfano yeye akimtaja kristo ,sisi tunaamini hivyo hata kama yeye kichwani anaamini kristo wake wa duniani.
 
"vuka na chako"
Jamaa anawaambia kabisa wapambane wavuke na chao mkononi sasa akaona awajaribu kama wamemuelewa hapo alipo yupo surprised kwamba kumbe hawakumuelewa wamemletea tena awatunzie.

Mwamposa alitegemea hakuna angekuja ila ajabu wamekuja,slogan Vuka Na Chako kiimani inaweza kuwa na maana gani tofauti na hiyo?
 
anaenda kuomba anataka avuke na wewe mkuu hadi 2023
 
Na ukiona mkeo ameanza kuwasikiliza hawa jamaa kama mali zako uliziandika randomly kwa mtiririko wa kifamilia kaa chini tulia ziandikie vizuri maana muda wowote mnaweza kugawana vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…