Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Poleni na uchovu

Ivi kuna mtu mwingine anae weza jaza uwanja wa taifa ukitoa simba na yanga wanaweza kujaza uwanja

Hila huyu mtu kajua kuwateka wa tanzania hila sikuizi watu wanapenda miujiza haya

Na hapo bado njee kuna watu wanasubili kuingia tutegemee nini?
Sema izi mambo bhana kila mtu na angke yake... Yan me ndo napata taarifa kwamba kuna hii mambo apa.

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
 
Basi hapo utakuta mechi ya playoff kesho umeme unakatika

Yani kwenye vile vitu muhimu lazima umeme ukatike
Hii ni mechi ya imani kwa mwanadamu na Mungu lazima wajae na umeme haukatiki, ila kesho ni mechi ya warabu wa ulaya na wazungu umeme ni amri na si ombi lazime fyuuuuuuu Giza Nene.
 
Kuna demu wangu mmoja leo tu jioni nimetoka kumuonga kaenda hapo. Nimeumia pesa yangu ya kuonga itaenda kwa huyu mzee wa upako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]km umeonga 30 dem anaenda kutoa vuka na chako 20 ,ten anabaki nalo kwa ajili ya matumiz yake,yaan mwamposa anakula 20 safiiiii kupitiaa jasho lako na dem wako ..


Krb taifa...
 
Back
Top Bottom