Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Kawateka akina mama na akina dada saaana
Wengi wana matatizo ya kukosa waume, ajira, wagumba, wagonjwa na wenye matatizo kwenye ndoa zao

Hapo Mwamposa anajizolea mahela kwa ujinga wao...

Wao wanaondoka kwenye madaladala yeye anaondoka na Mviete mkali tena akiwa na mabodigadi wa kutosha
 
Na hata hivyo gvt haiwez kuajiki wahitimu wote wanao maliza chuo wengine wanaenda palebwana phd kabisa
 
Poa tu cha muhimu ananipa utelezi wenye upako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na akijaa na mafuta na maji ya mwamposa,mafuta tumia baada ya kukauka utelezi wkt unamkulaa na maji tumiaa wkt unapampu mashinee kwa nyapu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hii ni mechi ya imani kwa mwanadamu na Mungu lazima wajae na umeme haukatiki, ila kesho ni mechi ya warabu wa ulaya na wazungu umeme ni amri na si ombi lazime fyuuuuuuu Giza Nene.
Tumeona wakina Yesu wakitumia mishumaa afu tena dry dry bila mic na gospel linapenya hata ukae mbali

Huyu anachokifanya ni kutukomoa tu wapenda soka hii shuhuli alikuwa anaimalizia home tena kimya kimya

Serikali imefanya kosa kumpa airtime
 
Na

hiyo show yake haina mzamin ujue 😂😂
 
Naona hapa yuko live sijui chanel gani hii

Ila Serikali haiko serious, imetukatia umeme kwenye mechi muhimu halafu inakuja kuruhusu unit zipotee kirahisi namna hii?
Akili yako ndogo sana.

#MaendeleoHayanaChama
 
Usishangaee na leo akatoa kafaraa yakuuwa watu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] MUNGU asaidie lisitokee
 
Tumeona wakina Yesu wakitumia mishumaa afu tena dry dry bila mic na gospel linapenya hata ukae mbali

Huyu anachokifanya ni kutukomoa tu wapenda soka hii shuhuli alikuwa anaimalizia home tena kimya kimya

Serikali imefanya kosa kumpa airtime
Jamaa anapesa sana na anazilipa chanel zikimpa airtime
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] na akijaa na mafuta na maji ya mwamposa,mafuta tumia baada ya kukauka utelezi wkt unamkulaa na maji tumiaa wkt unapampu mashinee kwa nyapu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣 nimekukubali mzee baba huku futa la upako pembeni na maji yetu ya Canadian. Pepo tunaiona ilee, gegedo lenye baraka zote
 
Wengi wana matatizo ya kukosa waume, ajira, wagumba, wagonjwa na wenye matatizo kwenye ndoa zao

Hapo Mwamposa anajizolea mahela kwa ujinga wao...

Wao wanaondoka kwenye madaladala yeye anaondoka na Mviete mkali tena akiwa na mabodigadi wa kutosha
Shida iko wapi..?ulitaka tuwe wote akina mwamposa??

#MaendeleoHayanaChama
 
Akili yako ndogo sana.

#MaendeleoHayanaChama
Unajua mechi ngapi muhimu umeme ulikuwa wakusuasua?

Huwezi amini tulifikiria pengine tukifika hatua ya robo fainali hii zahma itakoma lakini wapi

Juzi mpaka kwenye mechi ya nusu fainali France na Morrocco bado kuna maeneo walikosa mechi hiyo kwasababu ya umeme

Leo hii huoo kwa Mkapa unawaka utafikiri sio huu uliokuwa unakatika (ambao unaweza kukatika na tena kesho kwenye playoff)
 
Back
Top Bottom