Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Poleni na uchovu

Ivi kuna mtu mwingine anae weza jaza uwanja wa taifa ukitoa simba na yanga wanaweza kujaza uwanja

Hila huyu mtu kajua kuwateka wa tanzania hila sikuizi watu wanapenda miujiza haya

Na hapo bado njee kuna watu wanasubili kuingia tutegemee nini?
Na hata akiweka kiingilio wataajazana tu

Mwamposa ni real

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hapo uwanjani kuna mtu nimemla leo na ameenda kwa Mwamposa. Sasa najiuliza ameenda kutubu au kushangaa.
 
Hajulikani huyo mwamposa nipo hp nje kuna madada poa kibao,tunakula neno + utelezi bure.
 
Back
Top Bottom