wansawa
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 857
- 857
Hujui kesho yako ikoje na usihitimishe hukumu kabla ya Mungu kuhukumu. Imani na ukabila si vitu vya kuvitolea hitimisho maana hujui Mila ya eneo husika na imani ya eneo husika ni vyema uka kaa kimya ili uone hitimisho.wacha wakanyage hayo mafuta safari wafe hata 400 akili iwakae sawa