Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Mmm kwanini nao wasipange siku tofauti? Kazi ipo !
Hilo tamasha ni umoja wa vyuo Karistimatiki Katoliki hufanyika kila mwaka maarufu kama usiku wa sifa! Huko pia uwanja wa uhuru kumejaa wana vyuo! Kutakuwa na misa itayoongozwa na Askofu mkuu then usiku wa sifa unaanza. Ni tamasha kubwa sana .... nafikiria hali itakuwaje pale ...
 
Inshort..ngapi ngapi huko?

Maana kuna bifu kubwa sana kwenye haya madhehebu.
Hilo la Kanisa Katoliki ni tamasha la kila mwaka huandaliwa na umoja wa vyuo Karistimatiki Katoliki! Hivyo asilimia kubwa ni wanachuo wa vyuo mbalimbali lakini idadi yao huwa ni kubwa sana. Sasa nafahamu stage na sound wanayofunga huwa si kitoto alafu Mwaposa nae amefunga! Hatari!
 
Natoa vibali nao mmm [emoji3] wana lao jambo si bure.
 
Duh!
 

Jamaa kajitahidi kuujaza uwanja wa mkapa sio issue ndogo. Anahitaji pongezi kwa Hilo.
 

Sema Mwamposa aangalie Hawa watoa ushuhuda, ipo siku watamuharibia.
 

Nadhani watu wamechoka. Serikali imeshindwa kutimiza ahadi zake na Maisha ni magumu. Mwamposa amekuwa Kama kimbilio.
 
Daaah Watanzania bana😂😂Wenye akili tupo wachache sana unajua ugumu wa maisha nao unachangia huwez kukuta mtu na pesa zake yupo hapo,,,Aiseee jamaa anaijipigia ela balaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…