nayaelimisha kuwa hakuna miujiza duniani , ni watu matapeli yanavuna toka kwa wajinga lakii hamsikii....... majuha ni majuhaWewe mjanja unafanya nini kwenye comments za majuha.
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nayaelimisha kuwa hakuna miujiza duniani , ni watu matapeli yanavuna toka kwa wajinga lakii hamsikii....... majuha ni majuhaWewe mjanja unafanya nini kwenye comments za majuha.
#MaendeleoHayanaChama
Sawa sidi tumekubali shida yako nini?au kuna siku tulikuja kuomba hela kwako au msaada wowote.Utawajua kwa majibu mepesi mepesi. Tapeli Mwamposa litaendela kuwavuna mapesa mpakaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kama uchawi upo na kristo yupo..anatenda miujiza kupitia watu wake.nayaelimisha kuwa hakuna miujiza duniani , ni watu matapeli yanavuna toka kwa wajinga lakii hamsikii....... majuha ni majuha
Kwenye sadaka ya kujimaliza watu wanatoa hadi laki 😂😂😂Hivi wanatoa sadaka? If so, kama level seat ni 60,000 na nilivyoona hapo ni kama Mkapa Stadium ipo full.
Just imagine kila mtu atoe walau 1,000 zidisha kwa watu 60,000...dadeq kweli mwenye nacho hupewa zaidi. A minimum of 60,000,000 Tsh.
Aliye nacho anazidi kuongezewa.
Tunachokijua: mtu avuke na chake(pesa)"vuka na chako"
Yeye ndio kanitsha mimi sasa mimi sijamtisha hapDogo acha vitisho
Tafuta Bible ya kiarabu halafu naomba unijibu Mungu ambaye muumba wa mbingu na Ardhi na vilivyomo ameandikwa kwa jina gani ? kama haujui mwambie Stress Challenger akusaidie.Alah..ni takataka mbele ya Kristo Yesu.
Halafu acha kumwingiza huko kwenye dini ya waarabu tangulini wayahudi na waarabu wakawa ndugu.
#MaendeleoHayanaChama
Huna lolote..get a job.Tafuta Bible ya kiarabu halafu naomba unijibu Mungu ambaye muumba wa mbingu na Ardhi na vilivyomo ameandikwa kwa jina gani ? kama haujui mwambie Stress Challenger akusaidie.
Unapotoa lugha zozote mbaya kusuhu Allah aliyetakasika ni Sawa na kumtukana anayekupa pumzi hata mimi siwezi kufurahi mtu amtukane
ne Mwenyezi Mungu kwa lugha yeyote eti kisa hajataja Allah wakati yeye alivyotaja Mungu kamkusudia Mola mlezi wa viumbe vyote..
Vilevile hata kwa Yesu(amani iwe juu yake) siwezi kufurahia akitukanwa kisa hajatajwa kea kutumia Issa wakati anavyosema Yesu anakusudia mwana wa Mariamu..
Hilo Yesu kuwa ndio issa ni lugha gani mkuu? Mbona habari ya Issa ni tofauti na habari za Yesu katika Biblia? Mbona Yesu kwa kiarabu sio Issa? Issa huyo aliyezaliwa chini ya mtende huku maryam akila tende muddy (59) mme wa bi. Aisha(6) amemtoa wapi? Nijuavyo kiarabu Mungu sio "allah" huyo "allah" ni mungu wa wakoresh aliyekuwa anaabudiwa na baba na babu zake muddy naye ni kile kitu kilichoanguka toka juu(Matendo ya mitume 19) yaani kimondo na ndio lile jiwe jeusi mnalilichunguliaga pale kwenye "kaaba" kule Makka.Tafuta Bible ya kiarabu halafu naomba unijibu Mungu ambaye muumba wa mbingu na Ardhi na vilivyomo ameandikwa kwa jina gani ? kama haujui mwambie Stress Challenger akusaidie.
Unapotoa lugha zozote mbaya kusuhu Allah aliyetakasika ni Sawa na kumtukana anayekupa pumzi hata mimi siwezi kufurahi mtu amtukane
ne Mwenyezi Mungu kwa lugha yeyote eti kisa hajataja Allah wakati yeye alivyotaja Mungu kamkusudia Mola mlezi wa viumbe vyote..
Vilevile hata kwa Yesu(amani iwe juu yake) siwezi kufurahia akitukanwa kisa hajatajwa kea kutumia Issa wakati anavyosema Yesu anakusudia mwana wa Mariamu..
Acha ujinga! Amekutapeli ww?Utawajua kwa majibu mepesi mepesi. Tapeli Mwamposa litaendela kuwavuna mapesa mpakaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Utawajua wanaotapeliwa na kwa vile vichwa vyao ni wazi, hakuna brain to think majibu ndiyo kama hayo yako!Acha ujinga! Amekutapeli ww?
Vuka na chako🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jamaa leo atapiga pesa ndefu sana
Tafuta biblia ya kiarabu halafu uniambie kama YESU wetu ameandikwa ama anaitwa Issa? Nyinyi ni watu wa ajabu sana na dini yenu ya kuiga. Biblia takatifu kwa Kiarabu Mungu wa Kweli kipenzi chetu anaitwa YASU siyo Issa wa mudi.Tafuta Bible ya kiarabu halafu naomba unijibu Mungu ambaye muumba wa mbingu na Ardhi na vilivyomo ameandikwa kwa jina gani ? kama haujui mwambie Stress Challenger akusaidie.
Unapotoa lugha zozote mbaya kusuhu Allah aliyetakasika ni Sawa na kumtukana anayekupa pumzi hata mimi siwezi kufurahi mtu amtukane
ne Mwenyezi Mungu kwa lugha yeyote eti kisa hajataja Allah wakati yeye alivyotaja Mungu kamkusudia Mola mlezi wa viumbe vyote..
Vilevile hata kwa Yesu(amani iwe juu yake) siwezi kufurahia akitukanwa kisa hajatajwa kea kutumia Issa wakati anavyosema Yesu anakusudia mwana wa Mariamu..
See the difference..tatizo la wavaakobazi wana inferiority complex..wanalazimisha 6 kuwa 9.Tafuta biblia ya kiarabu halafu uniambie kama YESU wetu ameandikwa ama anaitwa Issa? Nyinyi ni watu wa ajabu sana na dini yenu ya kuiga. Biblia takatifu kwa Kiarabu Mungu wa Kweli kipenzi chetu anaitwa YASU siyo Issa wa mudi.
YESU AKBAR YESUU AKBAAAAARRRRR
mgen @msomali8
Kiingilio bei gani ?Jamaa leo atapiga pesa ndefu sana
Huyu ni star wa kweli kawashinda wakina Diamond, zuchi, MarioPoleni na uchovu
Ivi kuna mtu mwingine anae weza jaza uwanja wa taifa ukitoa simba na yanga wanaweza kujaza uwanja
Hila huyu mtu kajua kuwateka wa tanzania hila sikuizi watu wanapenda miujiza haya
Na hapo bado njee kuna watu wanasubili kuingia tutegemee nini?
View attachment 2449376