Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Wewe mjanja unafanya nini kwenye comments za majuha.

#MaendeleoHayanaChama
nayaelimisha kuwa hakuna miujiza duniani , ni watu matapeli yanavuna toka kwa wajinga lakii hamsikii....... majuha ni majuha
 
Wapumbavu haiwaishi...
Alikuwepo Zakaria, akaja Gwaji boy, sasa huyu kenge wa upako anaijiita mwakuposa...
Ni misukule tu ndio inavutwa kwenye huu upigaji, mimi na njaa yangu namuona ni kimelea cha umasikini....
 
Utawajua kwa majibu mepesi mepesi. Tapeli Mwamposa litaendela kuwavuna mapesa mpakaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Sawa sidi tumekubali shida yako nini?au kuna siku tulikuja kuomba hela kwako au msaada wowote.

Kuna baraka katika utoaji sadaka ni ibada.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hivi wanatoa sadaka? If so, kama level seat ni 60,000 na nilivyoona hapo ni kama Mkapa Stadium ipo full.

Just imagine kila mtu atoe walau 1,000 zidisha kwa watu 60,000...dadeq kweli mwenye nacho hupewa zaidi. A minimum of 60,000,000 Tsh.

Aliye nacho anazidi kuongezewa.
Kwenye sadaka ya kujimaliza watu wanatoa hadi laki 😂😂😂
 
Alah..ni takataka mbele ya Kristo Yesu.

Halafu acha kumwingiza huko kwenye dini ya waarabu tangulini wayahudi na waarabu wakawa ndugu.

#MaendeleoHayanaChama
Tafuta Bible ya kiarabu halafu naomba unijibu Mungu ambaye muumba wa mbingu na Ardhi na vilivyomo ameandikwa kwa jina gani ? kama haujui mwambie Stress Challenger akusaidie.

Unapotoa lugha zozote mbaya kusuhu Allah aliyetakasika ni Sawa na kumtukana anayekupa pumzi hata mimi siwezi kufurahi mtu amtukane
ne Mwenyezi Mungu kwa lugha yeyote eti kisa hajataja Allah wakati yeye alivyotaja Mungu kamkusudia Mola mlezi wa viumbe vyote..

Vilevile hata kwa Yesu(amani iwe juu yake) siwezi kufurahia akitukanwa kisa hajatajwa kea kutumia Issa wakati anavyosema Yesu anakusudia mwana wa Mariamu..
 
Huna lolote..get a job.

Kama unamtambua kristo mbona hamfuati maamlisho yake..tambua kuwa kristo ndio njia ya kweli na uzima..hakuna atakaye fika kwa baba bila kupitia kristo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tafuta Bible ya kiarabu halafu naomba unijibu Mungu ambaye muumba wa mbingu na Ardhi na vilivyomo ameandikwa kwa jina gani ? kama haujui mwambie Stress Challenger akusaidie.

Unapotoa lugha zozote mbaya kusuhu Allah aliyetakasika ni Sawa na kumtukana anayekupa pumzi hata mimi siwezi kufurahi mtu amtukane
ne Mwenyezi Mungu kwa lugha yeyote eti kisa hajataja Allah wakati yeye alivyotaja Mungu kamkusudia Mola mlezi wa viumbe vyote..

Vilevile hata kwa Yesu(amani iwe juu yake) siwezi kufurahia akitukanwa kisa hajatajwa kea kutumia Issa wakati anavyosema Yesu anakusudia mwana wa Mariamu..
Hilo Yesu kuwa ndio issa ni lugha gani mkuu? Mbona habari ya Issa ni tofauti na habari za Yesu katika Biblia? Mbona Yesu kwa kiarabu sio Issa? Issa huyo aliyezaliwa chini ya mtende huku maryam akila tende muddy (59) mme wa bi. Aisha(6) amemtoa wapi? Nijuavyo kiarabu Mungu sio "allah" huyo "allah" ni mungu wa wakoresh aliyekuwa anaabudiwa na baba na babu zake muddy naye ni kile kitu kilichoanguka toka juu(Matendo ya mitume 19) yaani kimondo na ndio lile jiwe jeusi mnalilichunguliaga pale kwenye "kaaba" kule Makka.
 
Acha ujinga! Amekutapeli ww?
Utawajua wanaotapeliwa na kwa vile vichwa vyao ni wazi, hakuna brain to think majibu ndiyo kama hayo yako!
Peleka kopo la heineken na shilingi laki tano atalifanyia muujiza na kugeuka kuwa Basi la Yuthong uondokane na shida!
mavichwa yenu yako hivi
1671338574005.png
 
Tafuta Bible ya kiarabu halafu naomba unijibu Mungu ambaye muumba wa mbingu na Ardhi na vilivyomo ameandikwa kwa jina gani ? kama haujui mwambie Stress Challenger akusaidie.

Unapotoa lugha zozote mbaya kusuhu Allah aliyetakasika ni Sawa na kumtukana anayekupa pumzi hata mimi siwezi kufurahi mtu amtukane
ne Mwenyezi Mungu kwa lugha yeyote eti kisa hajataja Allah wakati yeye alivyotaja Mungu kamkusudia Mola mlezi wa viumbe vyote..

Vilevile hata kwa Yesu(amani iwe juu yake) siwezi kufurahia akitukanwa kisa hajatajwa kea kutumia Issa wakati anavyosema Yesu anakusudia mwana wa Mariamu..
Tafuta biblia ya kiarabu halafu uniambie kama YESU wetu ameandikwa ama anaitwa Issa? Nyinyi ni watu wa ajabu sana na dini yenu ya kuiga. Biblia takatifu kwa Kiarabu Mungu wa Kweli kipenzi chetu anaitwa YASU siyo Issa wa mudi.

YESU AKBAR YESUU AKBAAAAARRRRR

mgen @msomali8
 
See the difference..tatizo la wavaakobazi wana inferiority complex..wanalazimisha 6 kuwa 9.

Jesus is life.

#MaendeleoHayanaChama
Screenshot_20221218-070453_Gallery.jpg
 
Poleni na uchovu

Ivi kuna mtu mwingine anae weza jaza uwanja wa taifa ukitoa simba na yanga wanaweza kujaza uwanja

Hila huyu mtu kajua kuwateka wa tanzania hila sikuizi watu wanapenda miujiza haya

Na hapo bado njee kuna watu wanasubili kuingia tutegemee nini?

View attachment 2449376
Huyu ni star wa kweli kawashinda wakina Diamond, zuchi, Mario
 
Back
Top Bottom