Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

Bado ss hv kwa mfalme wa mataga alafu uhamie kwa Bia Yetu na USSR hao tutawabeba kwenye machela kabisa

Time will tell you.
#Maendeleo hayana vyama wala mipaka#
 
Huyu mama ni Dr MD tena wa watoto. Burundi kutakuwa na Covid sana tu.Kaipatia kwa wagonjwa wake na sijui kaambukiza wangapi.
 
Covid-19 is very fragile virus...nmecheka sana kwan Burundi hawana hosp ya maana?[emoji23] [emoji23]
 
Si li mume lake linasema hakuna Corona. Ngoja niachie hapa! Mungu ni mwema, anafundisha kwa vitendo!
 
Mbona akuje kung'ang'ania space na Wakenya? Akwende huko. Atibiwe nchi yake.
 
Sasa kirusi kimegonga ikulu na kumkuta mkewe rais, pona yao ni familia yenye hela imebidi aletwe Kenya apate huduma bora ambapo ndio nchi yenye hospitali za maana ukanda wote huu.

Jr[emoji769]
 
Hii corruption y Kenya pia inaniudhi. Wamekubali aje mgonjwa wa corona kuingia kwa hospitali zetu na kutunyang'anya space ya vitanda sisi Wakenya wazawa? Mgeni anakula chakula ya watoto wa nyumba. Hii ni upuuzi wa hali wa juu
 
Kwani Kunyaland wanatibu Corona?
 
Mwandishi wa huu uzi ni utopolo kama utopolo tu... [emoji706][emoji706]

Sent using OnePlus 6T Maclaren Edition
 
G Sam,
Kwa Chadema hii ni ajenda ya uchaguzi!

Huu ni ugonjwa, na mbaya zaidi hauchagui chama, kabila, rangi, kabila, uwezo wa mtu kiuchumi/kimamlaka, ubabe au unyonge nk.
Sasa linapo kuwa ugonjwa na ni jambo ambalo kila mwenye akili atapambana nalo bila kujali vigezo tajwa hapo juu, basi si vizuri kuendelea kufanya utani na jambo hili.

Wengi watasema wapinzani sana kuhusu hili gonjwa, lakini niwe mwazi tu kuwa - SIKU LITAKAPO KUKABILI WEWEAU FAMILIA YAKO, ndipo akili zitakurudia.
 
Nyinyi ni matapeli tu kwani Kunyaland wanatibu Corona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…