Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

ikifie hatua kila mtu akubali corona ipo na itaendelea kuwepo.
Ili mambo mengine yafanyike haiwezekani kila siku tukaimba Wimbo mmoja CORONA corona.
tuna mambo mengi ya kufanya baada ya corona.
Wamekufa 52,asilimia kubwa Ni viongozi wa mashirika mbalimbali na wakuu wa KANU
 
Sasa kirusi kimegonga ikulu na kumkuta mkewe rais, pona yao ni familia yenye hela imebidi aletwe Kenya apate huduma bora ambapo ndio nchi yenye hospitali za maana ukanda wote huu.

Jr[emoji769]

Hujaongeza na zako???
 
Angemleta bongo apige nyungu chap mixer na malimao tangawizi kinguu saum na pilipili kichaaa fasta na kugeuza zake akiwa mzima..
 
Burundi nchi ya ajabu ajabu..Wanafuata mwenendo wa magufuli lakini wana sahau kujifukiza, kula malimao n.k t.
Hivi hata Ku kopi pesti ni shida kwa mijitu hii.
 
Hii corruption y Kenya pia inaniudhi. Wamekubali aje mgonjwa wa corona kuingia kwa hospitali zetu na kutunyang'anya space ya vitanda sisi Wakenya wazawa? Mgeni anakula chakula ya watoto wa nyumba. Hii ni upuuzi wa hali wa juu

Hii nadhani walipigiana simu kwenye level ya ikulu kwa ikulu, ndio maana huwa nawaambia hawa makajamba waimba mapambio, hii dunia ina wenyewe, wao hawana jeuri ya kujitia lockdown chattle huku mshiko ukiwafuata huko....
 
Wameangalia vigezo gani? Mbona havijawekwa wazi kwa kila nchi?
Ungesoma hiyo article hingeniuliza swali la kijinga kama hi'i. But I won't criticize you more cause I understand your background.
 
Ndo uyo apo anahitaji nyungu kwanza.
 
Ungesoma hiyo article hingeniuliza swali la kijinga kama hi'i. But I won't criticize you more cause I understand your background.
Sasa wewe ni kiazi kwelikweli kama si absurd...Hayo maelezo tu yameandikwa hatuoni data zozote kuwa included.Nilitegemea wangetuwekea vigezo kama vile;Number of qualified professionals kwa nchi husika au no of beds au vyovyote vile ili tuone Kenya kawaje mbele ya Egypt.
Sasa soma maelezo ya kila nchi hapo uone.Wameeleza nini cha kuweza kulinganisha?
Hii itakuwa imeandikwa na wapenda misifa wa kaskazini kwetu.
 
Nyie waKenya mna matatizo sana. ni kama akili zimewaishia
 
Tuache utani kumbe kila mtu anaogopa kifo, hata madictator.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…