Mkimwacha Nabi bila msaada na hawa wachezaji wetu hata mechi za ndani sisi Yanga hatutoboi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi.

Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia sisi Yanga.
 
Kwa uto ilikuwa ndo kama wanacheza CAF champion finale
 
Umekunywa chai?
Uto inakuwaje kila anayeshauri kwenu anakuwa mbaya. Hii ni hulka ya kipumbavu. Jana nilimlaumu Okrah na technical bench na kuwapa ushauri. Tate Mkuu akanilaumu nisiwalaumu wachezaji.
Tukiweka ushabiki pembeni Yanga ina shida,haina uhakika wa kutoboa kimataifa. Kilichobaki ni kuiombea Simba ifike nusu ili nafasi 4 ziendelee kuwepo
 
Kuna mda unaweza kubali maoni na kuna mda una ona mtu anaongea pumba kabisa.

Leo tunalalmika Nabi hana mbinu lakini msimu uloisha kila mtu alimsifu na kuna baadhi ya mechi alioosekana na tukawa tunamponda kaze kua hana mbinu.

Lazima tuelewe kua kuna mda kocha anazidiwa mbinu na mshindani wake sio kila mda atafanikiwa kimbinu.
Sasa tuache unafiki.
 
Uto inakuwaje kila anayeshauri kwenu anakuwa mbaya. Hii ni hulka ya kipumbavu. Jana nilimlaumu Okrah na technical bench na kuwapa ushauri. Tate Mkuu akanilaumu nisiwalaumu wachezaji.
Tukiweka ushabiki pembeni Yanga ina shida,haina uhakika wa kutoboa kimataifa. Kilichobaki ni kuiombea Simba ifike nusu ili nafasi 4 ziendelee kuwepo
Hatutaki ushauri wake
 
Wewe ni kilaza kwenye mpira kuna mda team inashuka form utamlaumu coach? Liverpool kwa sasa utasema Klop ni mbovu au unaongea ili kufurahisha genge
 
Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi.

Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia sisi Yanga.
Nawewe una amini hayo?
 
Kisinda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hv yanga mna nini lakini????
 
Uto inakuwaje kila anayeshauri kwenu anakuwa mbaya. Hii ni hulka ya kipumbavu. Jana nilimlaumu Okrah na technical bench na kuwapa ushauri. Tate Mkuu akanilaumu nisiwalaumu wachezaji.
Tukiweka ushabiki pembeni Yanga ina shida,haina uhakika wa kutoboa kimataifa. Kilichobaki ni kuiombea Simba ifike nusu ili nafasi 4 ziendelee kuwepo
Wacha kujifanya ww ni mwalimu wa Yanga. Komaa na makolo
 
Unatia dole matakoni mwako halafu unaramba,. Mwisho unachanganyikiwa na kuandika Mambo yasiyoeleweka.
 
Ingizo la...

Bangala kama beki limeharibu timu.
Morison.
Kisinda.
Bigirimana.
Kukosa Back up ya mayere.
Kukosa Beki 4.
 
Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi.

Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia sisi Yanga.
Hatuwezi kuwa na Mashabiki Machizi halafu Wenye akili tukae kimya. Wenzio Jana wameanzisha nyuzi za kumlaumu Okrah utadhani huwa wanakwenda mazoezini kumsikiliza kocha anaelekeza nini kwenye matukio ambayo kipa mpinzani anaonekana kutoka golini.
 
Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi.

Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia sisi Yanga.
Msipende kutafuta sababu Nabi ana mechi 43 hajafungwa kwenye ligi nyie mbona hamna shukrani na kufikiri?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom