Mkimwacha Nabi bila msaada na hawa wachezaji wetu hata mechi za ndani sisi Yanga hatutoboi

Sisi ni unbeaten ya mchongo. Tunapokutana na watu ambao hatujawaambia wamwache mayele afunge,marefa wa kutubeba na ushirikina tunakuwa na wakati mgumu sana kushinda
 
Bei ya kununua makolo ni sh ngapi? Maana nao wanaunga mkono juhudi ya kuendeleza unbeaten kwa kujiuza kwa Yanga
 
Back
Top Bottom