Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kwa uto ilikuwa ndo kama wanacheza CAF champion finaleNabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi.
Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia sisi Yanga.
Uto inakuwaje kila anayeshauri kwenu anakuwa mbaya. Hii ni hulka ya kipumbavu. Jana nilimlaumu Okrah na technical bench na kuwapa ushauri. Tate Mkuu akanilaumu nisiwalaumu wachezaji.Umekunywa chai?
Kuna mda unaweza kubali maoni na kuna mda una ona mtu anaongea pumba kabisa.Uto inakuwaje kila anayeshauri kwenu anakuwa mbaya. Hii ni hulka ya kipumbavu. Jana nilimlaumu Okrah na technical bench na kuwapa ushauri. Tate Mkuu akanilaumu nisiwalaumu wachezaji.
Tukiweka ushabiki pembeni Yanga ina shida,haina uhakika wa kutoboa kimataifa. Kilichobaki ni kuiombea Simba ifike nusu ili nafasi 4 ziendelee kuwepo
Hatutaki ushauri wakeUto inakuwaje kila anayeshauri kwenu anakuwa mbaya. Hii ni hulka ya kipumbavu. Jana nilimlaumu Okrah na technical bench na kuwapa ushauri. Tate Mkuu akanilaumu nisiwalaumu wachezaji.
Tukiweka ushabiki pembeni Yanga ina shida,haina uhakika wa kutoboa kimataifa. Kilichobaki ni kuiombea Simba ifike nusu ili nafasi 4 ziendelee kuwepo
Wewe ni kilaza kwenye mpira kuna mda team inashuka form utamlaumu coach? Liverpool kwa sasa utasema Klop ni mbovu au unaongea ili kufurahisha gengeUto inakuwaje kila anayeshauri kwenu anakuwa mbaya. Hii ni hulka ya kipumbavu. Jana nilimlaumu Okrah na technical bench na kuwapa ushauri. Tate Mkuu akanilaumu nisiwalaumu wachezaji.
Tukiweka ushabiki pembeni Yanga ina shida,haina uhakika wa kutoboa kimataifa. Kilichobaki ni kuiombea Simba ifike nusu ili nafasi 4 ziendelee kuwepo
Uyo ni mbumbumbu eti anajiifanya anatoa ushauri kwa yanga, uoni ata art yake imekaa kimikia mikia, badala ya kuishauri timu yake analeta uchawi wake hapaWewe ni kilaza kwenye mpira kuna mda team inashuka form utamlaumu coach? Liverpool kwa sasa utasema Klop ni mbovu au unaongea ili kufurahisha genge
Nawewe una amini hayo?Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi.
Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia sisi Yanga.
Wacha kujifanya ww ni mwalimu wa Yanga. Komaa na makoloUto inakuwaje kila anayeshauri kwenu anakuwa mbaya. Hii ni hulka ya kipumbavu. Jana nilimlaumu Okrah na technical bench na kuwapa ushauri. Tate Mkuu akanilaumu nisiwalaumu wachezaji.
Tukiweka ushabiki pembeni Yanga ina shida,haina uhakika wa kutoboa kimataifa. Kilichobaki ni kuiombea Simba ifike nusu ili nafasi 4 ziendelee kuwepo
Waambie wakacheze mpira uvunguni mwa vitanda vya GSM. Ila kwa vile wanacheza hadharani, tutawajadili tuWacha kujifanya ww ni mwalimu wa Yanga. Komaa na makolo
-DejanIngizo la...
Bangala kama beki limeharibu timu.
Morison.
Kisinda.
Bigirimana.
Kukosa Back up ya mayere.
Kukosa Beki 4.
Hatuwezi kuwa na Mashabiki Machizi halafu Wenye akili tukae kimya. Wenzio Jana wameanzisha nyuzi za kumlaumu Okrah utadhani huwa wanakwenda mazoezini kumsikiliza kocha anaelekeza nini kwenye matukio ambayo kipa mpinzani anaonekana kutoka golini.Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi.
Pale hamna kocha. Acha tu niseme ukweli na wachezaji wenyewe akina Kisinda? Jana tumshukuru Aishi Manula alielewa somo. Ilikuwa mikia watufunge mbwa hawa. Basi tu wakati mwingine uzoefu fulani unatusaidia sisi Yanga.
Msipende kutafuta sababu Nabi ana mechi 43 hajafungwa kwenye ligi nyie mbona hamna shukrani na kufikiri?Nabi ashukuru tu wanachama, viongozi wa club na wa serikalini wanamsaidia kupata ushindi.