Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

Sasa hapo ndo mnapo anzia kukosea kwa kujikuta nyie bora ila kuharisia wajinga wajinga wanaongezeka katika jamii yenu
k/koo ni ya wachagga kwa 90% naanza na mahotel
chelse hotel,lumuba na uhuru-macha
keys hotel-ndesamburo
royal valentino,aggrey street-massawe tumbo
akubu hotel mmarangu
rising sun hotel-kimbori
hong kong hotel masasi street -chuwa
kings palace hotel,rikk hotel,ar na anamilki nite club mtaa wa livingstone
tropical hotel-alyoce ngowi
florida hotel gerezani-mlingi
diamond tiffany hotel- mr kiria
durban hotel na butterfly hoteel
mrina hotel mtaa wa udoe,mrina halls,hardware,mrina bar nanyumba za kutosha tip top
cate hotels,auto parts ABC mabasi ya mikoani,
cate hotel moro
emilly hotel
valley view ya godliving makundi
ELECTRONICS
Manufacturer and supplier

rising eletronics-alyoce mkibosho
homebase electronics- ford mushi kibosho masoka
mr uk eletronics mchagga
hometech mchagga
SUPPLIER AND DISTRIBUTORS ELECTRONICS
LAMPARD ELETRONICS jengo la simba fransis mushi
mashariki power eletronics aggrey kifaru wa kibosho uchau
msimbazi eletronis
micheal eletronics hawa wapo wengi list is endlesss
john kessy agent wa boss hisense bosch na rim
congo electronics
city sounds music
jambo musics
MAGOROFA k/koo
kwa emma gerezani gorofa tano na biashara ya jumla ya vinywaji agent wa breweries ilala
primi mushi (wakiga wote wa kariaako wakiungana hawawezi kumfikia)gorofa zaidi ya 20 na matawi yote ya akiba bank yako kwenye nyumba zake k/koo ni mfanybiashara mkubwa wa kitenge tanzania na congo ana gorofa tanga na arusha gorofa moja ya narungombe ndio wakinga wote wananzia kupanga frame wakiingia k/koo
alyoce kimbori zaidi ya gorofa 10 dar na mwanza
bosco chuwa gorofa zaid ya 7 arusha na k/koo
yohana kweka zaid gorofa 5
masai kuringe/kuringe halls moshi wa boro kibosho zaid ya gorofa 20 ndio mwenye red stone moshi na gorofa arusha
masumbuo zaid ya gorofa 5
koka mbunge wa kibaha gorofa 5 ikiweo mrieny tower jagwani street ako catering,viwanda na makampuni ya zaidi ya ishirini
mzee temba gorofa 3
chuwa mchikichi na livingstone zaid y agorofa 10 kaoa mchina
mariam tower lindi na shaurimoyo street
mbokomu tower gerezani na zaid ya nyumba 5 na biashara chuma jumla
house of bolt na nyumba zaidi ya 3 mr mariwa muuzaji wa bolt jumla na kiwanda cha bolt
thomas lyimo zaid gorofa3 uhru na msimbaz mgahawa,muhimbili na akiba
herman woiso magorofa na woiso origina products viwanda
el shaddai pazia carpert mashuka nk mmachame
saba berings magorofa na spare parts na hardware agent wa king long motor cycle
hai agency spare parts
okinawa pharmacy -massao
frank knows nguo
saroi mushi viatu vya kike agent na magorofa k/koo saroi bar mabibo saroi bar kimara mwishi njia kingongo
masumbuo chuwa aluminam n magorofa k/koo na kibo social hall kimara
mama chuwa gorofa na kitenge
mjapan bar tip top mjapan complex tegeta na hardware k/koo
mtoto wa thomas lyimo agent wa rangi gerezan
mwalimu hardware biashara ya chuma
kidia automobile parts kidia one buses,kidia one hotel dodoma
BAR
saba saba bar
Angel garden -diwani wa tabata zamani patrick assenga
kwa emma gerezani
msimbazi gorofan jerome mushi
ddc k/koo wakina mmasy majiko na vyakula
new vunjo bar mmnazi mmoja
mango garden kipata street
safar bar na safari jewellers hugo hotel moshi kimara resort kimara hugo kisima
front line chuwa
suwata bar shule ya uhuru maimu
congo bar
VIPODOZI
Kavishe agent mkubwa wa perfume na oil zote dawa za nywele duka lake liko kwenye nyumba ya koka floor yote ya kwanza mrieny tower
massawe zaid ya duka 10
HARD WARE
Ndewedo kacheli maduka ya sanitry ware
mwalimu hardware biashara ya chuma na rangi za chuma na magari nyumba k/koo na daladala
kwa shayo cooling system zote a/c na parts zake east african brothers engineerin owner ina tenda ya kusupply a/c na kuservice crdb nchi nzim nmb bot na ofis nying za kimataifa
kimaro tiles, marble na mgodi wa kokoto ruvu macrusher ya kutosha ana tenda sgr na mwendokas kusupply kokoto na mchaga
innocence minde plumbing busness jumla
billions paints ni kiwanda cha mmchame kiko jkt mbuyuni
dm paints cha mmarangu kiko kimar mbezi
kiwanda cha gpsum powder,gysum bord whitecememt kimaro kipo njia ya kusini .kwembeplastics cha lema kinatengeneza pvc pipise na vifaa vya plastic ni ndugu yake hillary shoo wa hill water busnee patner
mbokomu chuma
ANDO ROOFING mabati,vigae,villa house,aluminiam marble coating nk kiko tegeta ni cha Ando maimu ndugu yake maimu wa NIDA vitambulisho
FEHDA
MOHAMMED LEMA, mokha cargo duka kubwa la wakala wa fedha clearing na forward na wakala awa fani za dekla kiwanda cha mabata mwanza
arusha cargo
GNM Cargo Bosco chuwa
madekela cargo
mangi cargo
rangi za nyumba mtoto wa kike wa thomas lyimo agentmkubwa
HOSPITAL
dr maro kariakoo dispensary
st bernard hospital
frontline dispensary
 
Napenda kuchukua nafasi hii kufunga mjadala huu. Na kusema naunga hoja mkono kwa 100%.
Asante
Ndugu wajumbe
 
Wabongo hatujui tajiri anakuwaje Yani wachuuzi wakufata bidhaa China nao wanasifiwa matajiri ninavyo jua Mimi tajiri lazima awe ana kampun inayo simamia mfano viwanda sasa matajiri wetu wakiswahili wanafata nguo na viatua na Vifaa vya electronic ambavyo ni fake ndiyo wanajisifu matajir au wanabiashara za bar na maduka ya kuuuza vifaa used vya magar. nao wanaingizwa kwenye group la matajiri, inatakiwa wabongo tuondoke kwenye uchuuzi nchi isiye dampo la bidhaa kutoka nje lazima wazawa tujenge viwanda tiles, cement, sukari, matairi, maziwa , sabuni, mafuta, rangi, nondo mabati misumari, mabomba nk hivi vyote nilivyo vitaja hakuna hata mzawa anayemiliki, halafu wadau wanataja sijui wachaga na wakinga eti ni matajir ni fedhea Sanaa kuwasifia wachuuzi kuwa ni matajiri.
 
Mkuu umetaja wachuuzi na Mahoteli yote ambayo beberu anaweza kulala wanao miliki ni mabeberu
 
Wenzako wanamiliki biashara za Ndege nimekutajia wewe unazungumzia biashara za nguo ambazo hata watu wa real estate wanawapiga bao.

Vunja Bei huyo yupo kundi la Mamilionea hajafika hata level ya bilionea Mkuu[emoji1][emoji1]
Kampuni gani za ndege nikafanye booking ni fast jet, Fly Emirates, Qutar ?
 
Anaweka 5000 kwa siku
5000×30(mwezi)=150000
150000×12(mwaka)=1800000
1800000×3(miaka)=5400000
Hiyo mil 100 inakujaje kwa kusave 5k per day?
 
Tupe mfano hai?
 
Wachuuzi hawasaidii kutengeneza ajira nchini kwasababu bidhaa zao wana agiza nje huko ndiko wanawatengenexea ajira!!
 
Broo umejuaje mbona umeandiak ishu zote
 
Wanavyo lakini bado Sana kuwafikia Wachaga tukisema tutaje hapa utabaki mdomo wazi.

Wakinga wanajitahidi wakaze buti mpaka 2050 huko watakuwa wamewafikia Wachaga, maana Wachaga wa sasa kidogo wamepoa sio kama wa zamani

Nilikua nataka ukiri hilo Wachaga Wa Sasa binafsi naona wamekalia pombe na ubabe usio na tija kizazi cha hawa wazee kikiisha wachaga kibiashara watakua kawaida sana hao wakinga na waha watatakeover amini
 
100% agreed
 
Discipline , Discipline , Discipline.
Huo ndo ukweli....

Nakumbuka 2013 tulikuwa na washikaji tukawa tunafanya utani kidogo.

Kwamba tukiamua kuweka 50,000 kila wiki; mpaka 2018 tunaweza kwenda kuangalia World Cup in Russia.

Hesabu zake 50,000 x 52 x 5 = 13,000,000; tungepata ticket go and return; ticket za mechi hata 3; na hela nzuri tu ya kula na kulala.

Lakini hakuna aliyefanya, 2018 ilikuja na ikaondoka; leo 2022 World Cup imefika na hakuna lolote.

The point is; mtu akiwa na nidhamu na subira; miaka 10 inamtosha kufanya mabadiliko makubwa, lakini tunataka kila kitu leo leo.
 

Tatizo hawatakuelewa Kwa sababu hawafanyi biashara, hakuna mfanyabiashara mkubwa yeyote ambaye atawachukulia poa Wachaga.

Makabila mengine ni lazima tujitahidi angalau tuchangamke.

Top Leader yeye anakalia ubishi wa vijiweni tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…