Si unaona ujuha huo, unafikiri kushusha bei ndiyo kufanya biashara zaidi, hapo tu umeshafeli.Nenda kafungue biashara karibu na Muha, Mkinga au Mpemba awe mshindani wako utakuja kuona jinsi hizo kanuni zenu uchwara zinavyofeli.
Mimi nimewahi kufungua duka niliuza vitu kwa bei pungufu ya ile ya jirani yangu (Muha) lakini watu walizikacha bidhaa zangu licha ya kuwa na lugha nzuri na kuwanyenyekea.
Sijajua unakusudia kufikisha ujumbe gani lakini inaonekana tunaongelea jambo moja kwa njia tofauti......Punguza fikra mbovu.
Kwa elimu sahihi, kwa fursa sahihi, kwakuwa sehemu wakati sahihi na kuangalia fursa za upenyo (Tax Aviation) kwenye sheria LAZIMA UTOBOE.
#YNWA
Mtaji unakuwa boss alianza Kwa kupata faida ya elfu Kwa siku taratibu inaongezekaElfu 5 kwa siku mara miaka 3 milioni 100 okey ndugu mchangiaji
Hebu kuwa muelewa.Si unaona ujuha huo, unafikiri kushusha bei ndiyo kufanya biashara zaidi, hapo tu umeshafeli.
Nakubaliana na alieandika juu hapo kuwa biashara ina nidhamu zake.
Kama hauna nidhamu kwenye kazi yako unayoifanya sasa hivi basi kwenye biashara ndiyo hautaziweza kabisa nidhamu zake.
Tatizo hapo ni kukosa ubunifu tu. Au mtaji wako ulikuwa mdogo na haukujuwa namna ya kuuendelezea, uliishiwa upepo mapema.Hebu kuwa muelewa.
Mimi sijashusha bei bali niliuza kwa bei pungufu compared to him.
Nilipiga hesabu niliona nikiuza kwa sh. kadhaa napata faida.
Cha ajabu wateja kwangu waliendelea kuwa wachache.
Mimi ni mtu ambaye naijua costomer care kwa kiwango ambacho hata darasa naweza kufungua kuwafundisha watu mbalimbali how to deal with costomer.
Sasa ikifikia biashara haina wateja na aina ya biashara yako si ya kutembeza au kuuzika mtandaoni tayari ni tatizo.
Acha ubishi basi. Wakinga hawafanyii biashara Njombe pekee. Wameitawala Karikakoo na Mwanjelwa.Usilete mifano ambayo haina uhalisia unapoleta facts zako zijadiliwe.
Njombe ni mkoa wa 7 kwa GDP per capita.
Huoni kuwa unatudanganya??
Mimi sibishani kama wewe unabishana endelea kubishana.Acha ubishi basi. Wakinga hawafanyii biashara Njombe pekee. Wameitawala Karikakoo na Mwanjelwa.
Nenda kafungue biashara karibu na Muha, Mkinga au Mpemba awe mshindani wako utakuja kuona jinsi hizo kanuni zenu uchwara zinavyofeli.
Mimi nimewahi kufungua duka niliuza vitu kwa bei pungufu ya ile ya jirani yangu (Muha) lakini watu walizikacha bidhaa zangu licha ya kuwa na lugha nzuri na kuwanyenyekea.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii inaitwa utajua hujuiHivi huu ushetani ni Africa tu au mpaka kwa kina Bill gate.
Kwamba Benzos kamtoa kafara baba ake au mama ake?
#YNWA
Wanabebwa kwa msingi wa uaminifu zaidi,makabila mengine hayana uaminifuBila kujali kabila yeyote mwenye Discipline ya kazi/biashara huwa anafanikiwa.
Ila kwa vile wakinga na wachagga huwa wanarithishana elimu ya nidhamu katika biashara kwa wingi zaidi ndio maana unaona wanafanikiwa zaidi.
Au Elon Musk amemtoa dingi [emoji23][emoji23]Hivi huu ushetani ni Africa tu au mpaka kwa kina Bill gate.
Kwamba Benzos kamtoa kafara baba ake au mama ake?
#YNWA
Wako Kama Ali Kiba au sio mzee?Kaka matajili wa ki kinga ni wengi shida ni huwa hawapendi kujulikana
Watakwambia Vunjabei muuza nguo hahah.Achana na orodha ya matajiri duniani nipe top ten ya matajiri wa bongo kama kuna mkinga au mchaga
Wazee wa mandondocha hao. Pesa za masharti ngumu sana.mkinga anaweza kuanza biashara ya kuuza maji ya kandoro tu, mtaji elfu 15.
Baada ya Mwaka unakuta anamiliki kiwanda Cha Maji Huko Boko mtaji milioni 50πππ π π
usiniulize kafikaje huko, hawa watu wana miujiza sana kwenye biashara na kamwe hawatoi siri