Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

Wakinga wa zamani ndio walikua mabahiri kujenga ama kununua magari mazuri ilikua mwiko kwao..sahii wamekuja vijana wanajua kutumia hela... Wa sasa hawa wana enjoy maisha vizuri tuu...

Na ukweli ndio huo wengi ni washirikina sanaa...

Pia wakinga hawana tabia ya kulithisha mali ndio maana akifa baba na utajiri umekufa yaani hawanaga muendelezo na utajiri wao unasiri nzito...

Sent from my TECNO CD7 using JamiiForums mobile app
 
Nenda kafungue biashara karibu na Muha, Mkinga au Mpemba awe mshindani wako utakuja kuona jinsi hizo kanuni zenu uchwara zinavyofeli.
Mimi nimewahi kufungua duka niliuza vitu kwa bei pungufu ya ile ya jirani yangu (Muha) lakini watu walizikacha bidhaa zangu licha ya kuwa na lugha nzuri na kuwanyenyekea.
Si unaona ujuha huo, unafikiri kushusha bei ndiyo kufanya biashara zaidi, hapo tu umeshafeli.

Nakubaliana na alieandika juu hapo kuwa biashara ina nidhamu zake.

Kama hauna nidhamu kwenye kazi yako unayoifanya sasa hivi basi kwenye biashara ndiyo hautaziweza kabisa nidhamu zake.
 
Punguza fikra mbovu.
Kwa elimu sahihi, kwa fursa sahihi, kwakuwa sehemu wakati sahihi na kuangalia fursa za upenyo (Tax Aviation) kwenye sheria LAZIMA UTOBOE.

#YNWA
Sijajua unakusudia kufikisha ujumbe gani lakini inaonekana tunaongelea jambo moja kwa njia tofauti......

Mzizi wa mada ni mafanikio(utajiri) na kwenye hayo mafanikio kila mmoja anatumia njia zake.....wapo wanaoamini katika juhudi, maarifa na kutumia fursa lakini pia wapo wanaotumia njia zingine ambazo kwa jicho la kiimani zinaonekana ni za kishetani........lakini wote wakiwa na dhumuni moja kupata utajiri

Nilochojaribu kuelezea ni mambo yanayotokea kwenye jamii na sio fikra zangu juu ya jambo hilo......
 
Si unaona ujuha huo, unafikiri kushusha bei ndiyo kufanya biashara zaidi, hapo tu umeshafeli.

Nakubaliana na alieandika juu hapo kuwa biashara ina nidhamu zake.

Kama hauna nidhamu kwenye kazi yako unayoifanya sasa hivi basi kwenye biashara ndiyo hautaziweza kabisa nidhamu zake.
Hebu kuwa muelewa.
Mimi sijashusha bei bali niliuza kwa bei pungufu compared to him.
Nilipiga hesabu niliona nikiuza kwa sh. kadhaa napata faida.
Cha ajabu wateja kwangu waliendelea kuwa wachache.
Mimi ni mtu ambaye naijua costomer care kwa kiwango ambacho hata darasa naweza kufungua kuwafundisha watu mbalimbali how to deal with costomer.
Sasa ikifikia biashara haina wateja na aina ya biashara yako si ya kutembeza au kuuzika mtandaoni tayari ni tatizo.
 
Tatizo hapo ni kukosa ubunifu tu. Au mtaji wako ulikuwa mdogo na haukujuwa namna ya kuuendelezea, uliishiwa upepo mapema.

Kuna watu wanakwenda kufungua biashara hukohuko kwao Wakinga na wanafanikiwa.

Kukosa ubunifu kwenu sasa hivi mtaanza kuuhusisha ushirikina. Ingekuwa ushirikina ndio ufanyao kazi tungewaona ma bill gates wakikinga. Ni ujinga tu.
 
Nenda kafungue biashara karibu na Muha, Mkinga au Mpemba awe mshindani wako utakuja kuona jinsi hizo kanuni zenu uchwara zinavyofeli.
Mimi nimewahi kufungua duka niliuza vitu kwa bei pungufu ya ile ya jirani yangu (Muha) lakini watu walizikacha bidhaa zangu licha ya kuwa na lugha nzuri na kuwanyenyekea.

Una maana Muha alikupiga na kitu kizito kichwani pamoja na customer care nzuri bado wateja ukakosa
 
Bila kujali kabila yeyote mwenye Discipline ya kazi/biashara huwa anafanikiwa.

Ila kwa vile wakinga na wachagga huwa wanarithishana elimu ya nidhamu katika biashara kwa wingi zaidi ndio maana unaona wanafanikiwa zaidi.
Wanabebwa kwa msingi wa uaminifu zaidi,makabila mengine hayana uaminifu
 
mkinga anaweza kuanza biashara ya kuuza maji ya kandoro tu, mtaji elfu 15.

Baada ya Mwaka unakuta anamiliki kiwanda Cha Maji Huko Boko mtaji milioni 50😂😂😅😅😅

usiniulize kafikaje huko, hawa watu wana miujiza sana kwenye biashara na kamwe hawatoi siri
Wazee wa mandondocha hao. Pesa za masharti ngumu sana.
 
Back
Top Bottom