Mkinga sio mtu wa kushindana nae kwenye Biashara!

Bila kujali kabila yeyote mwenye Discipline ya kazi/biashara huwa anafanikiwa.


Ila kwa vile wakinga na wachagga huwa wanarithishana elimu ya nidhamu katika biashara kwa wingi zaidi ndio maana unaona wanafanikiwa zaidi.
Usi sahau backup wakinga wakiwa mjini uwa Wana acha miti wakiyumba izauzwa kuja kuendelezea biashara.
 
Kuna watu wanatoka mikoa ya mbali wanaenda kufanya biashara njombe kwa wakinga na wanafanikiwa!,binafsi najua kuwa uchawi upo lakini siamini katika uchawi,mfano umekuja dukani kwangu unahitaji kununua pasi ya umeme halafu mimi sina je utanunua sufuria la kumchemshia maji kisa mimi nauzia uchawi badala ya pasi ya umeme!?
 
Acha kutudanganya mkuu.

Kuna viwanda vingapi vya maji vya wakinga.

Na tupe takwimu za utajiri kwa mkoa wa Iringa?? Ni ya ngapi kitaifa??

Kwenye orodha ya matajiri hapa Tanzania , wakinga ni wangapi?? Hakuna.

Stori za kuvuta muda tu hizi.
Je biashara zao huwa zidumu

Maana naona wanakataga upepo

Mapema,anaibuka mwingine

Ova
 
Unacho takiwa ni uwe na pesa haijalishi utazipataje ila cha msingi uwe nazo, ikiwezekana Kama Kuna bro wako kakaa ki ree ree hapo nyumbani we chinja tu 10 muishi kwa raha.
 

Ukikaa na Matajiri wenye viwanda Kama waarabu na wahindi mfano Shabiby ukimwambia Wakinga haelewi unazungumzia nini.
Yeye anajua Wachaga na Wapemba.

Wajinga bado safari Yao ni ndefu Sana.

Wapo level ya Waha wa kigoma Ila Kwa Wachagga bado Sana. Tena Sana.
 
Wa Tanzania hatujui utajiri nini na Nani no tajiri Yani ukiwa mchuuzi unaitwa tajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho.

Kujimwambafai tu. Hamna lolote. Nioneshe kiwanda kimoja tu cha mkinga kinachotengeneza bidhaa maarufu inayouzika hapa Africa Mashariki. Hakuna.
Wazawa wengi ni wachuuzi wa bidhaa tu na siyo matajiri maana hatu zalishi bidhaa hatumiliki viwanda mfano viwanda vya saruji, nondo, rangi, mabati, viyoo, vifaa vya umeme, migodi , juice, sabuni, nguo.kwaiyo Sisi wa Tanzainia kwenye uchumi bado wanyonge uchumi wa nchi umeshikwa na wachina wahindi na waarabu. Sisi wazawa tumebakia kuwa wachuuzi wa bidhaa tu ndiyo akili yetu ilipo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…