ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba, kilimanjaro, iringa, morogoro kuna ardhi tu lazima itakuwepo iliyojaliwa TASTE.