ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kilimanjaro na KigomaNaomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba, kilimanjaro, iringa, morogoro kuna ardhi tu lazima itakuwepo iliyojaliwa TASTE.
PitikuUje RUVUMA, maboga, viazi vitamu, matembele, togwa, ulanzi, komoni, na vingine vingi.
Tabora ni kitovu cha vitamu.Utapata muhogo,viazi vitamu,mahindi,mpunga,karanga,njugu,kunde,mbaazi,dengu,maharage,mbogamboga za asili kama mrenda,uyoga,nsansa n.k.Upande wa matunda mwitu unapata ntalali,nfulu,mbula,Ndati, ntonga,nsalasi,magogonti,zambalau n.k.Upande wa matunda ya kawaida unapata embe Bolibo,embe dodo,embe sindano,embe kunguni,Pera,papai ni.k.Naomba kujua experience yako kwenye vitu vya kula kula me nilionaga dodoma labda ndo ardhi yake Safi Sana kuanzia karanga na Nyanya na Viazi na mboga za majani za dodoma ni bora zaidi. Yaani viwe ambavyo vya asili kabisa sio vya Madawa Madawa mengi. Mkoa gani una hiyo ardhi sijafika bukoba, kilimanjaro, iringa, morogoro kuna ardhi tu lazima itakuwepo iliyojaliwa TASTE.
Mkuu komoni ni pombe?Uje RUVUMA, maboga, viazi vitamu, matembele, togwa, ulanzi, komoni, na vingine vingi.
mmmmh!Pitiku
Libonongo
Chikandi
Mfusulela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ni kitu kimoja bossTogwa, ulanzi, komoni
Dodoma wanalima mazao yote kuanzia kupanda hadi kuvuna hawatumii mbolea za kisasa wala madawa ya kilimo....Ardhi yao imebarikiwa sana.Imagine hadi Mahindi wanapanda na kuvuna hawalazimiki kuweka mbolea wala matuta.mmhh saivi kuna kitu gani icho utalima na ukavuna pasi kutia haya madawa makali makali ya viwandani? labda ndizi sijui[emoji2369]
Uduguu hiyo chikandi ndio chikanda? Hiko km sausage?Pitiku
Libonongo
Chikandi
Mfusulela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyanda za Juu Kusini mazao karibia yote lazima utumie mbolea za kisasa tena zinawekwa marambili kuna ya mara ya kwanza alafu kuna ya mara ya pili wanaiita "booster".Ni mazao machache sana ambayo unaweza kuvuna bila kuweka mbolea mfano Alizeti,KarangaNjoo Kanda ya Nyanda za Juu Kusini