Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
loliondo ni sehemu ambayo umeme haukatiki, unajua hilo?Mkoa wa Arusha unasifika pale mjini, lakini wilaya zake ni maskini mno, Ukisikia Arusha wala usitishike kabisa, shangai mkoa huu kuwa chini kwa kipato cha watu wake wakazidiwa hadi na Ruvuma.
Wilaya zilizopo mkoa wa Arusha zina hali mbaya, Wilaya kama ya Ngorongoro ambapo wakazi wake wakuu ni kabila dogo la Wasonjo makao makuu panaitwa Loliondo, huko kuna hali mbaya, hakuna barabara ya lami, hakuna umeme gridi ya Taifa, maji ni shida, watu wake hawana Elimu na ni maskini, mimba za utotoni zimejaa huko.
Wilaya zingine kama Monduli, Longido, Meru hakuna chochote cha maana, watu wa kule wengi ni wafugaji lakin bado wanaamini katika sifa za kuwa na mifugo mingi na sio kufanya maendeleo.
Ukitoa pale Arusha mjini na kidogo Karatu, wilaya nyingine hizo hali sio shwari kabisa.
Mtafute mtu ambaye hajawahi kutembelea Arusha, mfunike macho halafu akifika Tengeru mfungue kitambaa aende weeee mpaka barabara ya Dodoma, mptitishe kwenye mashamba ya kahawa, ukifika uwanja wa ndege wa kisongo mrudishe mjini weee mpaka chekeleni.wasukuma bana eti Kahama imeipiga chini Arusha nyeyenye View attachment 2093722
[emoji23][emoji23][emoji23]Sometimes kuna mada unaziangalia unawaza kama alieleta na wanaomuunga mkono wanatumia kushabu au la.
Kama kusema wakazi wakuu wa Ngorongoro ni Wasonjo inathibitisha haujui unalolisema.
Japo kuna vitu haviko sawa lakini sio kwa Arusha tu ni tatizo la nchi nzima hata Dar mjini kati nenda hapo Magomeni tu ni kubaya kinyama.
Sasa sijui kwanini wengi mnapenda kui single out Arusha. Nadhani ni witu umewajaa.
Nimekaa sana Arushamkuu unaongea ukiwa na uhakika hivyo vitu umeviona machoni pako au unaleta stori za vijiweni
Arusha hakuna Aridhi ndiyo maana inakuwa na Bei kubwaAcheni upuuzi uwez kufananisha arusha na mikoa ya kipuuzi puuzi pale arusha kupata kiwanja mfno moshono 20*20 huna milion ishirini hujakah hapo achilia mbali gomba estate na burka ndugu Kama huna 40 milion hupati kiwanja
Sas ruvuma huko sijui songea milion mbili tu unapata kiwanja Tena mjini kbsa hzo ishu uwez kuta Arusha babu
Ukienda namtumbo kiwanja laki tano unapata kbsa na hati juu
sasa sehemu kama uswahilini na kwa mrombo nyumba za tupo umezionea wapi wakati ukijenga nyumba bila msingi imara inaweka ufaNimekaa sana Arusha
Ww hujui Arusha njoo na barabara inayokwenda Uswahilini ukivuka kiwanda Cha A to Z unaanza kuona nyumba za udongosasa sehemu kama uswahilini na kwa mrombo nyumba za tupo umezionea wapi wakati ukijenga nyumba bila msingi imara inaweka ufa
Comment ya hovyo kuwahi kutokea hapa JF. Geita ni kijiji kilichochangamka.Mtafute mtu ambaye hajawahi kutembelea Arusha, mfunike macho halafu akifika Tengeru mfungue kitambaa aende weeee mpaka barabara ya Dodoma, mptitishe kwenye mashamba ya kahawa, ukifika uwanja wa ndege wa kisongo mrudishe mjini weee mpaka chekeleni. Halafu mfunike macho mpitishe barabara moja tu aingie Geita akitokea Katoro kuelekea Mwanza. Haki ya nani kijani atakayoikuta Geita na majengo yanayoshushwa atakwambia Geita ndo Arusha.
Afisa tabibu;Mkoa wa Arusha unasifika pale mjini, lakini wilaya zake ni maskini mno, Ukisikia Arusha wala usitishike kabisa, shangai mkoa huu kuwa chini kwa kipato cha watu wake wakazidiwa hadi na Ruvuma.
Wilaya zilizopo mkoa wa Arusha zina hali mbaya, Wilaya kama ya Ngorongoro ambapo wakazi wake wakuu ni kabila dogo la Wasonjo makao makuu panaitwa Loliondo, huko kuna hali mbaya, hakuna barabara ya lami, hakuna umeme gridi ya Taifa, maji ni shida, watu wake hawana Elimu na ni maskini, mimba za utotoni zimejaa huko.
Wilaya zingine kama Monduli, Longido, Meru hakuna chochote cha maana, watu wa kule wengi ni wafugaji lakin bado wanaamini katika sifa za kuwa na mifugo mingi na sio kufanya maendeleo.
Ukitoa pale Arusha mjini na kidogo Karatu, wilaya nyingine hizo hali sio shwari kabisa.
Unauzwa mkuu na wenye chuki zaoDuh,nilikua sijui.
Minavyosikia Arusha inaitwa Geneva nikajua ni neema kumbe njaa tupu.
Yes
Kilimanjaro imeipita Arusha kwa wananchi wake kuwa na vipato vikubwa, na mkoa ambao vijiji vyake vingi vimepigwa lami na Kuna makazi Bora huwezi fananisha uko ambako Kuna shida ya laana, maji shida kila kitu ni shidaAfisa tabibu;
Ngoja nikufungue macho kiranga;
1. Wasonjo ni kabila dogo mno linaloishi vijiji vichache mno huko Loliondo.
Kwa uchache wao huwezi kuifanya Ngorongoro yote kuwa maskini.
Wasonjo ni kweli wako nyuma mno, si ajabu kumkuta binti mbichi wa 15-20 miaka akitembea kifua wazi yaani matiti nje na amefunika tako na uke pekee...hiyo ni mila zao na wanafurahia kuwa hivyo.
2. Pili kabila lingine kubwa Ngorongoro ni wamaasai...hawa sifa zake zinajulikana duniani kote.
Masai sio maskini isipokuwa life style yao ndivyo ilivyo...mwenye ng'ombe zaidi ya 1,000 huwezi kumlinganisha na mkwere mlima mihogo Pwani.
3. Karatu watu sio duni, hao ni wakulima wakubwa sana tu...japo fukara nao wapo.
4. Monduli..hii pia ni Wilaya ya wafugaji walewale sawa na Ngorongoro.
5. Meru.
Wakazi wake ni wa Meru, asili yao inalandana na Wachaga hasa Wamachame, hili kabila ni wapambani sana.
Ni miongoni mwa makabila yanayojali sana makazi bora mno.
Kijana wa kimeru hawezi kuoa bila kujenga nyumba yake ya kisasa.
Meru ndilo eneo la ukanda wa kijani...mazingira bora kabisa kuishi...
Pitia...Tengeru, Usa river hadi Kikatiti wakazi wake sio haba kabisa..isipokuwa ukanda wa chini ya usariver na chini ya kikatiti ukitokea mlimani, huko kuna ukame na ndiko makabila duni toka mikoa ya Dodoma, Singida na kwingineko huishi.
Nb: nimetembea nchi nzima...wilaya kwa wilaya...Arusha ni bora sana Kilimanjaro kuliko mikoa mingi hali ni tete.
Tunayaangalia mambo kwa wastani na sio kwa kijiji kimoja au kata.
Mhhhh!Mtafute mtu ambaye hajawahi kutembelea Arusha, mfunike macho halafu akifika Tengeru mfungue kitambaa aende weeee mpaka barabara ya Dodoma, mptitishe kwenye mashamba ya kahawa, ukifika uwanja wa ndege wa kisongo mrudishe mjini weee mpaka chekeleni.
Halafu mfunike macho mpitishe barabara moja tu aingie Geita akitokea Katoro kuelekea Mwanza. Haki ya nani kijani atakayoikuta Geita na majengo yanayoshushwa atakwambia Geita ndo Arusha.
Hata kama ni bei kubwa wauze hayo mashamba ya kahawa na migomba watu wajenge makaz na mji uonekane.Arusha hakuna Aridhi ndiyo maana inakuwa na Bei kubwa
Tatizo la Arusha jiji ni kwamba wako kama hawako kabisa...jiji linajengwa kiholela sana na hakuna anayejali.Mkuu inamaana miaka 5 inatosha Karatu au Kahama kuipiku Arusha kama zikipewa attention?
Hivi mkuu umeshakwenda pale Halmashauri ya jiji wakakuonyesha mipango ya mji kama Bondeni City nk
umeongea kimhemuko kuliko uhalisia, hivi katika interval ya 5 years unalinganisha growth ya Arusha na Nyakanazi? wadanganye ambao hawajafika huko Nyakanazi wala Arusha!!Katoro, Runzewe, Nyakanazi,