Mkoa wa Arusha una wilaya masikini sana

Kuna kitu hapa nimegain...!watu wanaoitetea arusha wamepanic sana bila hoja..au tafiti.sababu tafiti upingwa na tafiti.
Kwa lugha nyingine wamepigwa panapouma-wamepewa ukweli mtupu. Hapo lazima wapanika na kutukana hovyo hovyo badala ya kutoa hoja na picha halisi za watu wao kiuchumi.
 
Mleta mada uko sahihi kabisa nyuma ya keyboard. Tuwapongeze wengine walioendelea na tuwazomee Arusha walioko nyuma kimaendeleo. Huu ndio ukweriii! Kwanza hii Arusha iko Kenya, kwa nn wanataka kujilinganisha na majiji ya dona kantri Tanzania?
 
Wadanganye wasiopajua huko,katoro ni kijiji kikubwa kilichochangamka kibiashara ila sijui hata kamakuna tofauti na manzese,runzewe na nyakanazi bado sana japo kuna mishe na mzunguko
 
Unajisahaulisha kuwa Wilaya ya Arumeru iko Arusha? Na hizo wilaya za Longido na Meru umezipata Arusha ipi?
Je unajua kuwa Karatu siyo Wilaya?
Na huo umasikini umetumia kigezo gani kuhitimisha na umelinganisha na wilaya za mkoa upi?
 
Wadanganye wasiopajua huko,katoro ni kijiji kikubwa kilichochangamka kibiashara ila sijui hata kamakuna tofauti na manzese,runzewe na nyakanazi bado sana japo kuna mishe na mzunguko
Uko na akili fupi sana wewe kama mavi ya mbilikimo, kwani mji unaanzaje? Kariakoo miaka ya 60 ama 70 si ilikua kijiji kikubwa kilichochangamka, leo Kariakoo ni kijiji tena?

Miaka 10 iliyopita Katoro ilikuaje na sasa ikoje? Miaka 20 iliyopita Kahama ilikuaje kabla ya kuanza uzalishaji wa Buzwaji, leo miaka 20 baadae unaona kahama ilivyo?

Unasema umetembelea, niambie mijo inayokua kwa kasi hapa Tanzania, sasa kama inakua kwa kasi, miaka 20 ijayo itakua wapi?

Arusha miaka 20 iliyopita na sasa haina tofauti, Arusha ni ile ile miaka na miaka pamoja na potentials zote ambazo serikali imeipa lakini wapi. Katoro itaipita tu.
 
Arusha sipajui siwezi kuiongelea ,katoro ni kijiji tu we kenge tuliza mshono,katoro inatanuka sawa ila hakuna mitaa wala mipanho miji bi vichochoro tu,kariakoo ilikuwa imepoa ila ilikuwa imepimwa tangu enzi za mjerumani,katoro ni manzese tu
 
Sasa Arusha hupajui unabinasha na mimi wewe mavi. Mimi hii nchi nimefika wilaya zote na majimbo yote ya uchaguzi, na hii ni kazi naifanya kila mwaka kwa miaka 20 iliyopita, hii nchi naijua vizuri.

Sasa kwa kukusaidia, Arusha hakuna mipango mji ni kama katoro tu, nchi hii ni sehemu chache sana zenye mipango miji inayoeleweka. Arusha imejengwa hovyo tu kama miji mingine.
 
Tindiga and hadzabe nao
 
Nyakanazi Tena? Mwendo umezimaliza. pumzika kwa Amani
 
umeongea kimhemuko kuliko uhalisia, hivi katika interval ya 5 years unalinganisha growth ya Arusha na Nyakanazi? wadanganye ambao hawajafika huko Nyakanazi wala Arusha!!
Arusha imefikia hapo kwasababu ya sera mbovu za CCM ilipaswa kuwa jiji la kielelezo la kitalii
 
Tafuta ngawira Arifu,achana kuhangaika na kuijadili Chuga. Machalii wa chuga ni wachakarikaji kinoma. Baada ya kazi muda kama huu,utawakuta wanakata kiu. Kawaulize TBL na TRA ni mkoa gani wa pili baada ya Dsm kuchangia kwenye pato la taifa.
 
Unaifananidhaje Arusha na walinda mpunga?
 
Hata kama sijafika ndio ulinganishe arusha na katoro au nyakanazi kweli ,unafananisha kichuguu na mlima,mi pia nimevuruga sana kanda ya ziwa naijua sana,bwanga chato buseresele biharamulo,ngara,karagwe,kibondo ,katoro ni manzese tu
 
Mfano wa mikoa iliyoendelea kwa kipimo cha mleta mada ni MBEYA. Ukienda Mbeya mjini moto[emoji91], Chunya moto[emoji91], Mbarali moto[emoji91], Rungwe[emoji91], Kyela[emoji91] yaani wilaya zote raia wake wana maisha. Hakuna wilaya yenye extreme poverty Mbeya.
 
Hata kama sijafika ndio ulinganishe arusha na katoro au nyakanazi kweli ,unafananisha kichuguu na mlima,mi pia nimevuruga sana kanda ya ziwa naijua sana,bwanga chato buseresele biharamulo,ngara,karagwe,kibondo ,katoro ni manzese tu
Kuna watu wanasemaga katoro inaizidi Geita mjini??? Kwa sababu ya biashara ya mitumba[emoji28][emoji28]
 
Kuna watu wanasemaga katoro inaizidi Geita mjini??? Kwa sababu ya biashara ya mitumba[emoji28][emoji28]
Wajinga hao,katoro ni mji wa kibiashara mishe nyingi ila ni vurugu tu hakuna miundombinu mji umeachwa ujikuze wenyewe kama manzese japo hela ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…