Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,265
- 2,252
Aliyekwambia tumewekeza kwenye elimu tu ni nani, fungua ubongo wewe acha kutumia sufuria kichwani.Wewe haujui! Kusema kweli kwenye elimu mmewekeza sana ila ujue maisha sio shule tu! Hapo ndipo sukumaland inapowapiga fimbo! Chukulia wafanya biashara wa madini,Maduka mengi ukanda huo wa ziwa na kilimo pamoja na ufugaji ni wasukuma na wanyambo kwa mifugo! Sasa kama unapambana na mtu multask kama wasukuma utawaweza lini? Kama shule wasukuma wengi pia wamesoma na wanaendelea kusoma!
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app