Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

Mkoa wa CHATO wazaa mgogoro wa kiutawala, kikabila na kielimu

Wakubali tu wajenge chuo kikuu bukoba,stend bora,soko la kimataifa,barabara za manispaa ziboreshwe,Barabara ya Kanazi-izimbya na kanazi- kyaka hapo hata wakitaka wachukue tu Ngara na Biharamulo ila Mleba ibaki Kagera ile ni alama ya Mhaya
Waacheni wawape mkoa wao hao watus na wahatu, siku wakiigeuka nchi, ndiyo watatia akili.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hamna pakulala bado mnaishi maporini kama wanyama, mtajifananishaje na intellectual people from Buhaya, wanao ogopesha nchi na utawala wake.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app ideas
Hahahha mapori tupo,shuleni tupo,mjini tupo tena tunawakimbiza vibaya! Tatizo lenu ubaguzi unawasumbua sana! Sasa hivi lazima uwe flexible ili uvune fursa sio kuendeleza primitive idea za Buhaya! Buhaya haitawasaidia kama hamtajiona watanzania!
 
Hahahha mapori tupo,shuleni tupo,mjini tupo tena tunawakimbiza vibaya! Tatizo lenu ubaguzi unawasumbua sana! Sasa hivi lazima uwe flexible ili uvune fursa sio kuendeleza primitive idea za Buhaya! Buhaya haitawasaidia kama hamtajiona watanzania badala ya kujiona Buhaya!
Hamna anayaleta mambo ya buhaya ndugu, Sisi tumeshajua hila za serikali za kutaka madini yasiwe sehemu ya mkoa wa kagera, kama kawaida yao wanataka waendelee kutubinya, hatutakuwa tayari kwa hilo. Shukrun Sana mlibebwa na JPM hata kwenye ufaulu, kwahiyo msitegemee tena hiyo kutokea, pambanane kwanza nyinyi kwa kagera bado Sana.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Wajichanganye waone, miaka yote Serikali imeitelekeza Kagera kama vile sio sehemu ya Tanzania, kama wanataka kututenga tutadai mamlaka yetu mbeleni huko. Kagera ndiyo mkoa dume tu Tanzania nzima, mkoa umepigana na kila aina ya majanga Ila bado umesimama na unawatetemesha watawala.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Hahaha mtadai mamlaka kamili kutoka wapi? Kumbe ndo mnavyodanganyana upuuzi! Nyinyi mlibahatika kusoma mapema kwa ujinga wenu hamkutumia hiyo fursa kujiimarisha kiuchumi, leo hii Kagera ingekuwa mkoa mkubwa sana hapa Tanzania kuzidi hata mwanza! Ila kwa bahati mbaya mnaanza kudai kujengewa vitu vya msingi wakati kila mkoa umetoa macho kupata fursa hizo! Muwe wakweli mlichemsha sana jirani zangu!
 
Kyamuyorwa na Buligi ni sukumaland kwa sasa. Sasa hivi tumeshapeleka watu wetu na ng'ombe zao Karagwe. Biharamulo tulishachukua na kuwa sukumaland. Nusu ya Ngara tumejaa. Sasa utasemaje sasa kuhusu hili kabila kuu ?
Hahahha mapori tupo,shuleni tupo,mjini tupo tena tunawakimbiza vibaya! Tatizo lenu ubaguzi unawasumbua sana! Sasa hivi lazima uwe flexible ili uvune fursa sio kuendeleza primitive idea za Buhaya! Buhaya haitawasaidia kama hamtajiona watanzania badala ya kujiona Buhaya!
 
Sukumaland ilishaiacha Kagera mbali sana kw kila kitu. Usijitekenye na kucheka mwenyewe
Hamna anayaleta mambo ya buhaya ndugu, Sisi tumeshajua hila za serikali za kutaka madini yasiwe sehemu ya mkoa wa kagera, kama kawaida yao wanataka waendelee kutubinya, hatutakuwa tayari kwa hilo. Shukrun Sana mlibebwa na JPM hata kwenye ufaulu, kwahiyo msitegemee tena hiyo kutokea, pambanane kwanza nyinyi kwa kagera bado Sana.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Idd Amin aliwakomesha shukuruni watanzania tulikaa imara tukawakomboa
Tena washukuru sana watu walichanga michango kusaidia ukombozi wao leo wanadai serkali inawatenga! Akili nyingi za darasani lakini za maisha zero!
 
Hahaha mtadai mamlaka kamili kutoka wapi? Kumbe ndo mnavyodanganyana upuuzi! Nyinyi mlibahatika kusoma mapema kwa ujinga wenu hamkutumia hiyo fursa kujiimarisha kiuchumi, leo hii Kagera ingekuwa mkoa mkubwa sana hapa Tanzania kuzidi hata mwanza! Ila kwa bahati mbaya mnaanza kudai kujengewa vitu vya msingi wakati kila mkoa umetoa macho kupata fursa hizo! Muwe wakweli mlichemsha sana jirani zangu!
Hujuhi chochote kuhusu KAGERA, kaiulize serikali yako. Iliyotuharibia kila kitu, wakiogopa tutajitenga na kupindua serikali, ndiyo maana mpaka leo imetutenga.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Nyinyi wahaya vilaza sana! Si kila siku mnajisifu mnamaprofesa wengi? Yaani mnakuja kuzidiwa na miji midogo kama kahama na geita? Yaani kusema kweli mnasikitisha sana mlipaswa muwe kama wenzenu wa kilimanjaro ila sasa habari yenu ishaisha huo ukanda miaka ya nyuma mliutawala, Wasukuma sasa hivi wananunua maeneo yenu na wanacontrol uchumi angalia mfano Katoro kwenda mpaka muleba! Hata mabasi kwenda huko bukoba mengi ni ya wasukuma! Popesni sana!
We jamaa mpuuzi huwezi kulinganisha msukuma na muhaya, wasukuma mna bado mna safari ndefu kufikia mafanikio ya Wahaya
 
Nendeni uganda! Mkijitenga tunawatandika mpaka mnyoke hata jeshini hampo wa kutosha!
Tutaenda kuomba msaada wa kijeshi kokote kwa sababu tuna uwezo wa kuwa na bandari ya kwetu ambayo itakuwa inahudumia Rwanda, Burundi na Congo, tumezungukwa na nchi tatu, kwahiyo tutawazibia mihanya yote ya kiuchumi kwenye nchi ya Rwanda, Burundi na Uganda, wasomi wapo wa kutosha kuhusu hilo hatuna shida[emoji23]

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Imeiacha kwa lipi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Wewe haujui! Kusema kweli kwenye elimu mmewekeza sana ila ujue maisha sio shule tu! Hapo ndipo sukumaland inapowapiga fimbo! Chukulia wafanya biashara wa madini,Maduka mengi ukanda huo wa ziwa na kilimo pamoja na ufugaji ni wasukuma na wanyambo kwa mifugo! Sasa kama unapambana na mtu multask kama wasukuma utawaweza lini? Kama shule wasukuma wengi pia wamesoma na wanaendelea kusoma!
 
We jamaa mpuuzi huwezi kulinganisha msukuma na muhaya, wasukuma mna bado mna safari ndefu kufikia mafanikio ya Wahaya
Mafanikio yepi kaka? Uwe mkweli! Wahaya wenye maisha mazuri ni wale tu walio soma tena zamani! Ila wasukuma wenye maisha mazuri unawapata wakulima, wafugaji na wafanya biashara!
 
Back
Top Bottom