Mkoa wa Iringa utolewe Nyanda za Juu Kusini na kupelekwa Kanda ya Kati iwe Pamoja na Dodoma na Singida

Walitoa Manyara ,Kanda ya Kaskazini itabakiwa na Mikoa ipi? Maana Tanga kiuhalisia inatakiwa kuwa Pwani ila inalazimishiwa kuwa Kanda ya Kaskazini.

Manyara iachwe Kanda ya Kaskazini ndiko wanafanana kijamii.
btw, arusha, k'njaro, na manyara ni kaskazini mashariki, na sio kaskazini.......

mwanza, mara na kagera ndio kaskazini kwa tanzania
 
Hoja nyingi zinazotolewa humu kuhusu hizi Kanda (Kijamii,kiutamaduni,kimazingira) zinaiweka Tabora Kanda ya ziwa zaidi kuliko iliko sasa.

Mchawi jiografia tu.
 
Leo ndio nimejua kuwa Mbeya inapakana na Tabora
 
Hoja nyingi zinazotolewa humu kuhusu hizi Kanda (Kijamii,kiutamaduni,kimazingira) zinaiweka Tabora Kanda ya ziwa zaidi kuliko iliko sasa.

Mchawi jiografia tu.
Kanda ya Ziwa Kiaje Mzee? Kwanza hata Shinyanga haikutakiwa kuwa Lake Zone
 
Tafuta kwanini eneo lile la Iringa,Ruvuma,Mbeya pamoja na Rukwa iliitwa nyanya za juu kusini.

Open main menu

Search

Southern Highlands, Tanzania​


Article Talk

The Southern Highlands is a highland region in southwestern Tanzania, at the northern end of Lake Malawi. The highlands include portions of Mbeya, Njombe, Rukwa, Ruvuma, and Songwe regions, bordering Malawi, Mozambique, and Zambia.[1] Mbeya is the largest city in the highlands.


GeographyEdit

The highlands comprise a group of plateaus and volcanic mountains, including the Mbeya Mountains, Poroto Mountains, Kipengere Range, Mount Rungwe, Kitulo Plateau, Umalila Mountains, and Matengo Highlands. The Ufipa Plateau extends northwest, between Lake Tanganyika and Lake Rukwa.[2] The eastern and western branches of the East African Rift converge in the highlands, and the Western Rift continues south as the valley of Lake Malawi. To the northeast, the Makambako Gap separates the Southern Highlands from the Eastern Arc Mountains.[3]

Lake Ngozi in the Poroto Mountains.
Mt. Rungwe (2,960 metres), and Mtorwe (2961 m) in the Kipengere Range, are the highest peaks in the highlands. Other peaks include Chaluhangi (2933 m) and Ishinga (2688 m) in the Kipengere Range, Ngozi (2621 m) in the Poroto Mountains, and Mbeya (2826 m), Loloza (2656 m), and Pungulomo (2273 m) in the Mbeya Mountains.[4]
The northern and eastern slopes of the Mbeya Mountains and the eastern portion of the Ufipa Plateau drain into the closed basin of Lake Rukwa. The Great Ruaha River, a tributary of the Rufiji River, drains the eastern slopes of the Mbeya and Kipengere mountains.
Rivers flowing into Lake Malawi drain the southern portion of the highlands. The Songwe River drains the western and southern Umalila Mountains, and forms the boundary between Tanzania and Malawi. The Kiwira River drains the east slope of the Umalila Mountains, south slope of the Poroto Mountains, and western slope of Mount Rungwe. The Lufilyo River drains the east slope of Mount Rungwe and the Livingstone Forest in Kitulo National Park. A number of smaller streams descend the steep western escarpment of the Kipengere Range and western Matengo Highlands. The Ruhuhu River drains the southern portion of the Kipengere Range and northern Matengo Highlands.
The eastern slopes of the Matengo Highlands drain into the Ruvuma River.


Climate​


Ecology​


Transport​


References​


Bibliography​


Last edited 2 years ago by JJMC89 bot III




Maandishi halisi

Kadiria tafsiri hii
Maoni yako yatatumika kusaidia kuboresha huduma ya Tafsiri ya Google
 
Hayataki tu
 
Basi kama ni hivyo: Arusha iende Kenya, Nyasa iende Malawi, Kigoma iende Burundi na Rwanda. Kagera iende Uganda.
 
Ukiachana na mambo ya bandari, mkuu ametoa hoja ya maana sana.
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kama ni hivyo basi Tabora ilipaswa kuhamishiwa kanda ya kati kiutawala maana ina sifa hizo ulizoainisha zaidi hata ya Iringa.
 
Kama ni hivyo basi Tabora ilipaswa kuhamishiwa kanda ya kati kiutawala maana ina sifa hizo ulizoainisha zaidi hata ya Iringa.
Sifa zipi? Kutoka Tabora Hadi Dom ni zaidi ya km 400 tofauti na kutoka Tabora kwenda Kigoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…