Mkoa wa Iringa utolewe Nyanda za Juu Kusini na kupelekwa Kanda ya Kati iwe Pamoja na Dodoma na Singida

Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala.

Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.

Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na kuihamishia Kanda ya Kati Kwa sababu zifuatazo

1.Sababu za Kijiografia.

Mkoa wa Iringa u ko jirani na Dodoma Makao Makuu ya Nchi na Kanda ya Kati kuliko Mbeya(Makao Makuu ya Nyanda za Juu Kusini).

Kutoka Iringa Hadi Dodoma ni km 260 vs Iringa Mbeya km 350.As we speak Iringa na Dodoma Ina Muingiliano mkubwa wa Watu via usafiri kuliko Iringa na Mbeya,so ni sahihi Kwa Iringa kuwa included Central Zone.

2.Sababu za Kijamii(Muingiliano wa Kikabila)

Kabila la Wagogo ambao ndio kabila kuu la Mkoa wa Dodoma pia linapatikana Kwa Baadhi ya maeneo ya Iringa hasa Wilaya ya Iringa hivyo Muingiliano wa Kijamii na Kitamaduni ni mkubwa baina ya Iringa na Dodoma kuliko Iringa na Mbeya..Aidha Kabila la Wahehe pia wapo Dodoma..

3.Sababu za Kimazingira.

Iringa Ina Haki ya hewa ya semi -Arid (Nusu jangwa) sawa sawa kabisa na hali ya Dodoma au Kanda ya Kati kiukumla.
Ukitoa Wilaya ya Mufindi na Baadhi ya maeneo ya Kilolo ,Iringa yote ni Semi Arid..

4.Sababu ya Kiuchumi/Biashara na Kijamii.

Mkoa wa Iringa unategemea Huduma zake nyingi kutoka Dodoma na Dar lakini sio Mbeya kutokana na kuwa jirani na Dodoma..

Sasa Kwa sababu hizo ni Wazi Iringa inafaa iwe Kanda ya Kati badala ya kuwa Nyanda za Juu.

Kwenye Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ni Iringa Pekee ambako unaweza Kuta nyumba za udongo na nyasi ambazo zinapatikana Kwa wingi Dodoma,Singida na maeneo ya Kanda ya Ziwa na Pwani huko..View attachment 2657397
Ni wazo zuri lakini kuna maswali yamenijia kichwani...
1.Kwani hizi Kanda 7,zimeundwa kwa kuangalia makabila au Jiografia...

2.Je,nayo Manyara iwe Kanda ya kati,mana warangi na Wadatooga na Wairaki wameingiliana sana.kuliko warangi na wagogo.

-.Vipi napo Morogoro ,Gairo nayo ni kame kama Dodoma,na makabila yameingiliana pale.

-.Vipi kuhusu Ruvuma,makabila ya Tunduru mengi yameingiliana na Lindi na Morogoro, hadi shughuli za biashara ni nyingi wanafanya.
-Wayao,Wangido wengi wapo Morogoro pia.

-.Je ,na kuhusu jibaba Tabora....iende kanda ya Ziwa.Mana ina wasukuma kibao, ambao vitu vingi wanaenda chukua Mwanza.

2.Je,ulitaka mahitaji Kutoka Dar kwenda Mbeya kupitia barabara za Iringa, yakachukuliwe Mbeya kisha kurudishwa tena Iringa.

3.Iringa unategemea Huduma za biashara kutoka Dodoma,hebu tujuze ni biashara zipi hizo?
 
Vipi itapunguza umaskini?
 
…na Mtwara ihamishiwe Kaskazini
 
Vipi itapunguza umaskini?
Iringa itanufaika na kuwa jirani na Mji Mkuu kwenye nyanja mbalimbali hususani miundombinu maana kwenye Mpango kabambe wa Dodoma HQ wanaangazia na Mikoa inayopakana iendane na hadhi ya Mji Mkuu.

Ukiwa jirani na waridi naweza unukie hivyo hivyo
 
Ni wazo zuri lakini kuna maswali yamenijia kichwani...
1.Kwani hizi Kanda 7,zimeundwa kwa kuangalia makabila au Jiografia...

2.Je,nayo Manyara iwe Kanda ya kati,mana warangi na Wadatooga na Wairaki wameingiliana sana.kuliko warangi na wagogo.

-.Vipi napo Morogoro ,Gairo nayo ni kame kama Dodoma,na makabila yameingiliana pale.

-.Vipi kuhusu Ruvuma,makabila ya Tunduru mengi yameingiliana na Lindi na Morogoro, hadi shughuli za biashara ni nyingi wanafanya.
-Wayao,Wangido wengi wapo Morogoro pia.

-.Je ,na kuhusu jibaba Tabora....iende kanda ya Ziwa.Mana ina wasukuma kibao, ambao vitu vingi wanaenda chukua Mwanza.

2.Je,ulitaka mahitaji Kutoka Dar kwenda Mbeya kupitia barabara za Iringa, yakachukuliwe Mbeya kisha kurudishwa tena Iringa.

3.Iringa unategemea Huduma za biashara kutoka Dodoma,hebu tujuze ni biashara zipi hizo?
Mahitaji ya biashara Iringa inategemea dar pekee hakuna cha dodoma wala mbeya
 
Mwenye hii thread ni kilaza na hajui lolote kuhusu

Nyanda za juu kusini na haya ndo madhara ya elimu bure'
nenda kasome Geography afu uje ufute huu ujinga
 
Mahitaji ya biashara Iringa inategemea dar pekee hakuna cha dodoma wala mbeya
Waki kamilisha plan ya bandari kavu mkoa wa njombe utasidia Sana mikoa ya iringa na ruvuma itakuwa rahisi kufata mizigo yao na kusafirisha mizigo yao kupitia reli ya TAZARA
 
FmfkrrFWQAE9n_s~2.jpg
1712852551696.jpg
 
Iringa kuitwa nyanda za juu Ni kutoka na Hali yake ya hewa huwez kunganisha semi desert na plateu
 
Kuhusu hali ya hewa iringa imegawanyika,kuna upande ni nusu jangwa kama dodoma tu,sehemu kama isiman,pawaga,idodi,huko kuna joto kali kabisaaa tofauti na watu wanaozan iringa ina baridi,ila upande wa mufindi na kilolo tu ndio kuna barid na hali ya mvua mvua
 
Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala.

Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.

Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na kuihamishia Kanda ya Kati Kwa sababu zifuatazo

1.Sababu za Kijiografia.

Mkoa wa Iringa u ko jirani na Dodoma Makao Makuu ya Nchi na Kanda ya Kati kuliko Mbeya(Makao Makuu ya Nyanda za Juu Kusini).

Kutoka Iringa Hadi Dodoma ni km 260 vs Iringa Mbeya km 350.As we speak Iringa na Dodoma Ina Muingiliano mkubwa wa Watu via usafiri kuliko Iringa na Mbeya,so ni sahihi Kwa Iringa kuwa included Central Zone.

2.Sababu za Kijamii(Muingiliano wa Kikabila)

Kabila la Wagogo ambao ndio kabila kuu la Mkoa wa Dodoma pia linapatikana Kwa Baadhi ya maeneo ya Iringa hasa Wilaya ya Iringa hivyo Muingiliano wa Kijamii na Kitamaduni ni mkubwa baina ya Iringa na Dodoma kuliko Iringa na Mbeya..Aidha Kabila la Wahehe pia wapo Dodoma..

3.Sababu za Kimazingira.

Iringa Ina Haki ya hewa ya semi -Arid (Nusu jangwa) sawa sawa kabisa na hali ya Dodoma au Kanda ya Kati kiukumla.
Ukitoa Wilaya ya Mufindi na Baadhi ya maeneo ya Kilolo ,Iringa yote ni Semi Arid..

4.Sababu ya Kiuchumi/Biashara na Kijamii.

Mkoa wa Iringa unategemea Huduma zake nyingi kutoka Dodoma na Dar lakini sio Mbeya kutokana na kuwa jirani na Dodoma..

Sasa Kwa sababu hizo ni Wazi Iringa inafaa iwe Kanda ya Kati badala ya kuwa Nyanda za Juu.

Kwenye Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ni Iringa Pekee ambako unaweza Kuta nyumba za udongo na nyasi ambazo zinapatikana Kwa wingi Dodoma,Singida na maeneo ya Kanda ya Ziwa na Pwani huko..View attachment 2657397
It won't save any purpose
 
Haya Sasa MKOA wa njombe wanaenda kujenga uwanja wa ndege Wa kikanda ambao sawa na WA songwe mbeya ko huu utahudumia mikoa ya njombe ,ruvuma , iringa na eneo la kilombero ambako mbelen kilombero itakuwa mkoa bado soko la Kanda linajengwa mkoa wa njombe na matank ya kusuply mafuta njombe ko tayari Serikali imeshaona kuwa Kuna ulazima mikoa ya ruvuma ,njombe, iringa na kilombero ikaunda Kanda Kanda ya nyanda za juu kUsini ni kubwa mno sawa na Kanda ya ZIWA na vitu vingi wame locate makambako hapo ni rahisi kwa haya maeneo kufikika na Kanda ya ZIWA naona nao vitu vingi wameanza ku locate kahama Hawa watahudumia shinyanga ,simiyu,mkoa mpya nzega na sehemu ya geita MBEYA ihudumie songwe na rukwa
The-Southern-Highlands-of-Tanzania-illustrating-the-mixed-land-use-occurring-in-this.jpg
Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mhe. Anthony Mtaka Juni 04, 2024 ametembelewa ofisini kwake na Timu ya Wataalamu kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) waliokuja kwa lengo la kutoa taarifa ya eneo la mradi wa Upembuzi yakinifu na Usanifu wa Kina ya Ujenzi wa Uwanja wa ndege Mkoani Njombe.

Kiwanja cha Ndege Mkoa wa Njombe kinakwenda kujengwa kwa hadhi ya Kiwanja cha Ndege cha Kikanda (Daraja 4E) na Mtaalamu Muelekezi (Consultant) kutoka Kampuni ya Intercontinental Consultants and Technocrats Pvt.Ltd ya nchini India.

Mradi huu ni wa miezi 10 unatarajiwa kukamilika mnamo mwezi Oktoba,2024 na kisha taratibu za manunuzi ya kandarasi ya ujenzi itaanza.

Aidha, Bi. Diana Munubi ambaye ni miongoni mwa wataalama hao amemweleza Mkuu wa Mkoa kuwa, "Mhe. Mkuu wa Mkoa tumefikiria kupata eneo mbadala kwaajili ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Njombe, kama tulivyofanya Msalato na Mwada, Maeneo hayo tumeyapata kwa kushirikiana na Ofisi ya Kamishina ya Ardhi Mkoa wa Njombe hivyo tutaleta mrejesho kamili pindi tutakapo ona yafaa". Amesema Bi. Diana Munubi"ENEO LA SOKO LA KIMATAIFA MAKAMBAKO LATENGWA - YouTube"
View: https://m.youtube.com/watch?v=MoIM90i1t7U
 
KAHAMA MC 👇👇👇👇👇Overview of Investment Opportunities relating to Kahama Business Hub
and Logistics Centre (KBHLC)
Key features
nterested parties
are encouraged
to invest in KBHLC
under pubic
private partnership
(PPP) arrangement
Kahama Town s
centraly aocated
along the neighbouring regions of Geita, Tabora, and Simiyu.
Aso, it s connected to the Great Lakes countres (Rwanda,
Burundi, DRC, Uganda and South Sudan). Recognisng
this potental, Shinyanga Region through Kahama Town
Counc, has surveyed and allocated land as folows:
 69.2 hectares at Nyashimbi for a logistics centre and a
dry port
 1,029 hectares at Zongomea for establishing an
ndustral park 245 hectares have been allocated for
smallscale industries and 784 hectares for medium
and heavyscae ndustres
 83.3 hectares for establishing Buzwagi Logstics Centre
at Mwendakulima Ward
 24.5 hectares for estabishing Chapuwa ndustral Park
The aforementoned piece of and can be used for
establishng KBHLC and does not require compensation
When fully implemented, KBHLC wi reduce transport costs,
attract business, generate natonal and regiona revenues
and empoyment
The proposed hub and ogistics centre is a unique
opportunity for companes seeking to invest in heavy and
ght industries, ogstics and distribution and access hgh
vaue markets in Tanzania and neghbourng coun
FB_IMG_16769576241954978.jpg
 
Back
Top Bottom