greater than
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 1,653
- 3,060
Ni wazo zuri lakini kuna maswali yamenijia kichwani...Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala.
Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini.
Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na kuihamishia Kanda ya Kati Kwa sababu zifuatazo
1.Sababu za Kijiografia.
Mkoa wa Iringa u ko jirani na Dodoma Makao Makuu ya Nchi na Kanda ya Kati kuliko Mbeya(Makao Makuu ya Nyanda za Juu Kusini).
Kutoka Iringa Hadi Dodoma ni km 260 vs Iringa Mbeya km 350.As we speak Iringa na Dodoma Ina Muingiliano mkubwa wa Watu via usafiri kuliko Iringa na Mbeya,so ni sahihi Kwa Iringa kuwa included Central Zone.
2.Sababu za Kijamii(Muingiliano wa Kikabila)
Kabila la Wagogo ambao ndio kabila kuu la Mkoa wa Dodoma pia linapatikana Kwa Baadhi ya maeneo ya Iringa hasa Wilaya ya Iringa hivyo Muingiliano wa Kijamii na Kitamaduni ni mkubwa baina ya Iringa na Dodoma kuliko Iringa na Mbeya..Aidha Kabila la Wahehe pia wapo Dodoma..
3.Sababu za Kimazingira.
Iringa Ina Haki ya hewa ya semi -Arid (Nusu jangwa) sawa sawa kabisa na hali ya Dodoma au Kanda ya Kati kiukumla.
Ukitoa Wilaya ya Mufindi na Baadhi ya maeneo ya Kilolo ,Iringa yote ni Semi Arid..
4.Sababu ya Kiuchumi/Biashara na Kijamii.
Mkoa wa Iringa unategemea Huduma zake nyingi kutoka Dodoma na Dar lakini sio Mbeya kutokana na kuwa jirani na Dodoma..
Sasa Kwa sababu hizo ni Wazi Iringa inafaa iwe Kanda ya Kati badala ya kuwa Nyanda za Juu.
Kwenye Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ni Iringa Pekee ambako unaweza Kuta nyumba za udongo na nyasi ambazo zinapatikana Kwa wingi Dodoma,Singida na maeneo ya Kanda ya Ziwa na Pwani huko..View attachment 2657397
1.Kwani hizi Kanda 7,zimeundwa kwa kuangalia makabila au Jiografia...
2.Je,nayo Manyara iwe Kanda ya kati,mana warangi na Wadatooga na Wairaki wameingiliana sana.kuliko warangi na wagogo.
-.Vipi napo Morogoro ,Gairo nayo ni kame kama Dodoma,na makabila yameingiliana pale.
-.Vipi kuhusu Ruvuma,makabila ya Tunduru mengi yameingiliana na Lindi na Morogoro, hadi shughuli za biashara ni nyingi wanafanya.
-Wayao,Wangido wengi wapo Morogoro pia.
-.Je ,na kuhusu jibaba Tabora....iende kanda ya Ziwa.Mana ina wasukuma kibao, ambao vitu vingi wanaenda chukua Mwanza.
2.Je,ulitaka mahitaji Kutoka Dar kwenda Mbeya kupitia barabara za Iringa, yakachukuliwe Mbeya kisha kurudishwa tena Iringa.
3.Iringa unategemea Huduma za biashara kutoka Dodoma,hebu tujuze ni biashara zipi hizo?