Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

Nahisi kitu kinachofanya life span ya watu mkoa wa Kilimanjaro kuwa juu ni life style hasa katika ulaji sababu ya ubahili mfano mpare chakula yake ni makande na mchaga ni ndizi wanakula kitu original na wakienda kusaga mahindi hawakoboi ,alafu kwenye mambo ya mboga wengi sababu ya ubahili wanaunga Kwa mafuta kidogo na kadhalika hata sukari wanatumia kidogo kwenye chai Ili isiishe. Alafu kule Kilimanjaro maeneo ya milimani Ile panda shuka tu ni zoezi tosha .Alafu katika maswala ya Imani wengi hawana Imani potofu .
 
Hii ina ukweli kwa kiasi kikubwa.
Vijana wa Rombo walioko kijijini wanapiga banana kuanzia asubuhi na mapema mpaka giza linaingia..😅
Pombe imewaharibu sura kabisa.
unakuta nyuso zinang'aa kama jaba jipya huku nywele zikiwa za singasinga na mashavu yamejaa kama wanapuliza moto kila saa
 
Takwimu hizi za Mkoa wa Kilimanjaro zinabebwa na Wapare. Wanaisho muda mrefu kwa kuishi simple life huko milimani
 
..ni sawa ni kwa sababu wamekakamaa mno sana sababu ya kupanda milima! kila siku ni kupanda shuka huoni hata dada zao hawana shepu?
 
Article inazungumzia percentage ya wazee.

Kama kuna vijana 90 na wazee 10 basi wazee ni asilimia 10.wakiongezeka vijana 900 na wazee wa kabaki wale wale 10 basi asilimia ya wazee ina drop hadi 1%
 
wewe ndio hujaelewa, vijana wangekuwa wengi asilimia ingeshuka toka 7.3 kuja figure ndogo zaidi, unamsema mwenzako la nne wakati na wewe hesabu inakupiga chenga
Hiv mnasomaga mnachoandika kweli? Kwa huo utafiti ulitaka kujua idadi ya watu au ni jamii gan watu wake wanaishi umri mrefu kwa idadi
 
Hataki kwenu mkoa huo hata makaburi ni mengi .Mimi sijaiba mitihani ndio maana nyie hamna ugunduzi nje ya kuajiriwa na kutumiwa na wazungu kweny kampuni zao ...
 
Hii ina ukweli kwa kiasi kikubwa.
Vijana wa Rombo walioko kijijini wanapiga banana kuanzia asubuhi na mapema mpaka giza linaingia..😅
Pombe imewaharibu sura kabisa.
Hao vijana wa rombo wengini age 35-40 wanaonekana kama wazeee , tafuta picha zao utaona 90% ni wazee wengine wamaisha kwa pombe hata iwe jua kali wamevaa makoti .
 
Article inazungumzia percentage ya wazee.

Kama kuna vijana 90 na wazee 10 basi wazee ni asilimia 10.wakiongezeka vijana 900 na wazee wa kabaki wale wale 10 basi asilimia ya wazee ina drop hadi 1%
Sio kweli wewe ni ngumbaru huelewi parameters huwa zinakuje.
 
Hao vijana wa rombo wengini age 35-40 wanaonekana kama wazeee , tafuta picha zao utaona 90% ni wazee wengine wamaisha kwa pombe hata iwe jua kali wamevaa makoti .
Hawaangalii muonekano kinacho angaliwa na umri. Wewe elimu yako ni ya chini ya mti sio
 
Samahani ndugu mleta takwimu, huu utafiti waliufanya hadi 'Palestina'?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…