Mkoa wa Kilimanjaro kinara watu wake kuishi umri mrefu Zaidi Kitaifa

Mkuu kwa mfano wewe upo mkoa tofauti na mkoa wenu kwani lazima ukizeeka urudi mkoani kwenu?
Inategemea kila mtu ana mipango yake ...Kama wale mishe zao zipo town fresh anabaki .
 
Ina mambo mengi lakini kwa Kilimanjaro Bado
Kilimanjaro ilipata exposure Tangu enzi ya mkoloni wakati huo MWANZA na ukerewe unayosema inajitafuta
Kumbuka wasomi wengi uchagan walisomeshwa na kahawa, ukiachilia mbali scholarship
Chama chá ushirika chá kahawa KNCU kilikuwa na fedha nyingi mno Hadi Léo maghorofa kadhaa pale Moshi mjini yanamikikiwa na KNCU,KNCU ilijenga mashule na ma baarabara kabla hâta ya uhuru ndio MAANA Nyerere akaogopa akafuta utawala WA machifu MAANA Kilimanjaro ilkuwa mbele kuliko eneo lolote tz,imagine miaka ya 1960 lami tayari ilikuwepo machame,kibosho NK
imagine Kilimanjaro na wilaya zake umeme upo Tangu miaka ya 1980
 
Soma uelewe kwamba population ya wazee ni kubwa kwa asilimia kadhaa sio uwingi wa wazee. 😀 😀 ile asilimia 7 ni kwa idadi ya watu wa kilimanjaro , je asilimia 3 ya wa Dar unajua ni ngapi ? Sehemu yenye watu milion 5 .
Umekimbia Mada Yako? Hebu soma ulicho reply na nilichoandika😄😄
Umesema Wachaga wamekalia kuajiriwa Ktk Makampuni na kwamba hawana ubunifu nimekupa facts hapo za Makampuni ya Wachaga,na kuongoza kwa biashara vipi unasemaje
 
Pia mabinti zao wanaongoza sana kuolewa huko Daslamu, ukitembelea kumbi mbalimbali Jumamosi utagundua 80% wanaoolewa ni watu wa Kilimanjaro.
 
Umekimbia Mada Yako? Hebu soma ulicho reply na nilichoandika😄😄
Umesema Wachaga wamekalia kuajiriwa Ktk Makampuni na kwamba hawana ubunifu nimekupa facts hapo za Makampuni ya Wachaga,na kuongoza kwa biashara vipi unasemaje
Makampuni yapi ? Mbona hamna ugunduzi kama wachina ....Matajiri hapa bongo top ten hamna mchaga ....Nyie ni vibaraka wa watakatishaji fedha , hamna maajabu .

Kmapuni zipi hizo ? Sio unaleta bars hapa unasema kampuni ?
 
Sasa jaman huko mwanza usukumani wazee si wanauwawa kwa kusinguziwa uchawi, vijana maisha yakiwachapa wanauwa wazee kisa uchawi
 
Wew jamaa rudi shule, statistics inakusumbua,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…