The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #41
Kwani mapato yanakusanywa na kutumiwa mkoani/Halmashauri au Tamisemi Taifa?Ahahaa! Yeye mkuu wa mkoa katoa wapi wakati takwimu nzima haijatoka?
Mikoa inajinadi sana. Simiyu 108% sa hv mbeya 105% n.k wengine nao watakuja na records zao. Unawakadiria mapato kwenye ushuru wa bidhaa zikiwa bei ya chini. Bei inapaa kodi automatically itapaa then unajipga kifua eti tumevunja records.Kwani mapato yanakusanywa na kutumiwa mkoani/Halmashauri au Tamisemi Taifa?
Ametoa mapato yaliyokusanywa na Mkoa wake kama Simiyu walivyotoa nk..
Kazi ya Bashungwa ni kutoa majumuisho na kuja na taarifa ya Nchi nzima.
Failures huwa mnavisingizio Sana.Sasa kwani hayo makadirio yalikuwa kidogo?Mikoa inajinadi sana. Simiyu 108% sa hv mbeya 105% n.k wengine nao watakuja na records zao. Unawakadiria mapato kwenye ushuru wa bidhaa zikiwa bei ya chini. Bei inapaa kodi automatically itapaa then unajipga kifua eti tumevunja records.
😀😀 sina cha kukujibu kutokana na imani yako. Ungefuatilia vizuri huenda zingefika hata makusanyo ya 150% kutokana na mfumko mkali wa bei. Hapo bado makusanyo ni ya chini sana.Failures huwa mnavisingizio Sana.Sasa kwani hayo makadirio yalikuwa kidogo?
Miaka iliyopita kwa nini hamkufikisha wakati makadirio yaliendana na bei unazozitaja na yalikuwa kiduchu kuliko mwaka ulioisha?
Mfano Mwaka huu wanatakiwa wakusanye Til.1 kutoka bil.840 ya mwaka ulioisha ambayo wameivuka kwa.zaidi ya asilimia 100..
Nchi nzima kila mkoa una Makisio yake na watavuka kama kawaida maana SSH amedhibiti uvujaji wa mapato.
Hahahaa we jamaa.Kuna mapato ya aina nyingi Sana ila kwa kuwa wewe ni mjinga ndio maana unauliza hivyo,ngoja nikutoe ujinga Kwa kukupa elimu.
Hayo ni mapato ya ndani ya Halmashauri,kuna mapato ya TRA na Wizara na Idara na Taasisi mbalimbali za serikali.
Ukijumlisha hayo Kwa pamoja Unapata mapato ya Mkoa Kitaifa na yakiwekwa kwenye monetary terms ndio huitwa GDP ya Mkoa ambako Mbeya ni namba 3 Kitaifa inachangia Til.8 plus.
Umeongea kwa hisia sana chief wametutenga sana kisa tunajitambua cjui maana haiwezekani barabara iwe Moja ukienda mbalizi ukafunga ple hkna njia ingine ya kutoka Wala kuingiaJapo kuwa Mbeya tunatengwa sana na serikali lakini tumekubali kujiendesha wenyewe na watakoma.
Haiwezekani eti Mbeya nzima hakuna fly over pale Mafiat na Uyole (hayo maeneo ni lazima fly over ziwepo mpaka mbalizi kule wajenge fly over).
Eti leo hii dodoma ni kuzuri kuliko Mbeya si ni matusi haya?
Kwa asilimia kubwa majengo yote makubwa unayoyaona Mbeya tumeyajenga raia wenyewe bila mkono wa serikali(Ndiyo si wametutenga?)
Huku Tukuyu tukigoma kuleta ndizi, Maparachichi, Mchele sijui huko wanakuita mjini watashindia madafu au vipi..!!!
Huko kwenye mafly over hakika nawaambia watakusanya kodi kwenye hizo hizo fly over zao (Maana wanavyopita juu kule eti wanapiga na picha)
Tuna ziwa letu Matema Beach pale tunakula samaki wa kila aina "What else?"
Ganja tunavuta ya Mlima Rungwe na malawi hatuhitaji ya mikoani "What else?"
Na tuna mpango wa kuanzisha serikali yetu tusiingiliane na mkoa wowote ule tanzania maana kila kitu tunacho "What else?"
MBEYA CITY STAND UP.
Zee lilikuwa jinga sana lile ila Jehova fundi sanaMagufuli aliharibu sana taswira ya mkoa wa Mbeya. Aliharibu biashara na mifumo ya uchumi ya mkoa wa Mbeya.
Magufuli aliwaambia Wana M eya wasipoichagua CCM hatowapelekea maendeleo.
Nasema Asante Mungu kwa ukuu wako
Wanaitenga Mbeya na kubeba baadhi ya Mikoa hususani Kanda ya Ziwa na Kaskazini kwa sababu za kisiasa..Umeongea kwa hisia sana chief wametutenga sana kisa tunajitambua cjui maana haiwezekani barabara iwe Moja ukienda mbalizi ukafunga ple hkna njia ingine ya kutoka Wala kuingia
Iwe majimbo tu tuone nani ni nani pesa zinakusanywa wanakotafuta kwa bidii kwenye raslimari zinaenda kugawanywa kwa wavivu na wasio na chchte inauma mkoa wetu upo nyuma sanaWanaitenga Mbeya na kubeba baadhi ya Mikoa hususani Kanda ya Ziwa na Kaskazini kwa sababu za kisiasa..
Pili Mbeya ina rasilimali nyingi na iko eneo zuri la kimkakati na biashara hivyo wakiweka nguvu sawa watapitwa haraka Sana..
Ndio maana niliwahi pendekeza tutumie kanuni ya Marekani kugawana keki ya Taifa .
Sio 45bln ilikuwa 42bln ,soma hii attachment 👇
Leta mada hebu tuliza mzuka, Makisio yalikuwa 42 Billion, Makusanyo 32 Billion. Sasa hapo wamevukaje malengo?Nani aliwawekea makadirio
Mzee uwe unaelewa,hiyo attachment ya jedwali niliweka kumjibu aliyetaka kujua Makisio na taarifa iloyoko kwenye jedwali ni makusanyo ya robo ya tatu..Leta mada hebu tuliza mzuka, Makisio yalikuwa 42 Billion, Makusanyo 32 Billion. Sasa hapo wamevukaje malengo?
Shida ya Mbeya ni udongo wao ule hauko compatible kabisa na teknolojia ya barabara inayotumika sasa.
Yaani ukijenga tuu haichukui round lazima iharibike.
Weka ukweli basiUONGO MKUBWA.
Weka ukweli basi
Pamoja na yote hayo kufanyika ila barabara za Mbeya huwa hazichukui round zinaharibika labda waanze kujenga kwa zege au kwa viwango vya asphalt nzito kama ya barabara kuu.Kila mahali barabara ya lami inapojengwa udongo unapimwa, hali ya hewa inataliwa maanani na uzito wa magari unakadiriwa na mambo mengine mengi. Ukiona mahali barabara imejengwa ikaharabika bila kutumika muda mrefu sana basi ni kwamba imejengwa chini ya kiwango kwa makusudi, uzembe au kwa sababu mkandarasi hana uwezo unaostahili.
Mbeya magari makubwa Ni mengi Sana, ukijenga barabara hizi za kichina uchukui round, mbona mkeka wa iringa makambako uko poa tuPamoja na yote hayo kufanyika ila barabara za Mbeya huwa hazichukui round zinaharibika labda waanze kujenga kwa zege au kwa viwango vya asphalt nzito kama ya barabara kuu.
Yaani Mbeya iizidi Arusha au mwanza? Unaota endelea kukaa kwenye kijiji kikubwa!Wanaitenga Mbeya na kubeba baadhi ya Mikoa hususani Kanda ya Ziwa na Kaskazini kwa sababu za kisiasa..
Pili Mbeya ina rasilimali nyingi na iko eneo zuri la kimkakati na biashara hivyo wakiweka nguvu sawa watapitwa haraka Sana..
Ndio maana niliwahi pendekeza tutumie kanuni ya Marekani kugawana keki ya Taifa .
Hiyo mikoa yenu ni takataka tuu ,imejaa maskini huko,Dodoma ilipowachapa zama zile za giza za mfalme Wa Chato si mliishia kubisha na kusema wamepika data sasa since then to date mwendo wa kuporomoka ni ule ule.Yaani Mbeya iizidi Arusha au mwanza? Unaota endelea kukaa kwenye kijiji kikubwa!
Na baridi pia mnayo kama ya kwa putinJapo kuwa Mbeya tunatengwa sana na serikali lakini tumekubali kujiendesha wenyewe na watakoma.
Haiwezekani eti Mbeya nzima hakuna fly over pale Mafiat na Uyole (hayo maeneo ni lazima fly over ziwepo mpaka mbalizi kule wajenge fly over).
Eti leo hii dodoma ni kuzuri kuliko Mbeya si ni matusi haya?
Kwa asilimia kubwa majengo yote makubwa unayoyaona Mbeya tumeyajenga raia wenyewe bila mkono wa serikali(Ndiyo si wametutenga?)
Huku Tukuyu tukigoma kuleta ndizi, Maparachichi, Mchele sijui huko wanakuita mjini watashindia madafu au vipi..!!!
Huko kwenye mafly over hakika nawaambia watakusanya kodi kwenye hizo hizo fly over zao (Maana wanavyopita juu kule eti wanapiga na picha)
Tuna ziwa letu Matema Beach pale tunakula samaki wa kila aina "What else?"
Ganja tunavuta ya Mlima Rungwe na malawi hatuhitaji ya mikoani "What else?"
Na tuna mpango wa kuanzisha serikali yetu tusiingiliane na mkoa wowote ule tanzania maana kila kitu tunacho "What else?"
MBEYA CITY STAND UP.