The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
- Thread starter
-
- #61
Sehemu zote zenye baridi huwa productive,watu active na intelligent tofauti na huko kwenu kwenye joto Kazi yenu ni kupigana miti na kuuana kugombea vibanda vya urithi.Na baridi pia mnayo kama ya kwa putin
"what else"
Mzee una shida pahala kwani mimi nimeponda huo mkoa wa mbeya, ulisoma comment ya mtu niliyemreply!? πββοΈSehemu zote zenye baridi huwa productive,watu active na intelligent tofauti na huko kwenu kwenye joto Kazi yenu ni kupigana miti na kuuana kugombea vibanda vya urithi.
Mjumbe hauwawi akikazia.Mzee una shida pahala kwani mimi nimeponda huo mkoa wa mbeya, ulisoma comment ya mtu niliyemreply!? πββοΈ
π π
Inategemea ujumbe unapeleka kwa nani kama ni kwa jambazi (billy drago) CARLOS wa lufufu jiandae kuuwawa.Mjumbe hauwawi akikazia.
Mfumuko wa bei unaongeza rates za ushuru uliopangwa?ππ sina cha kukujibu kutokana na imani yako. Ungefuatilia vizuri huenda zingefika hata makusanyo ya 150% kutokana na mfumko mkali wa bei. Hapo bado makusanyo ni ya chini sana.
Kwa hiyo unasemaje ? Huko Mbeya wafanyakazi wamepewa nyongeza kubwa kuliko sehemu zingine ? Unapoteza muda wako kusifia makusanyo ambayo wanaofaidika ni wachache. Pole sana.Nawasalimu kwa jina la JMT, natumai Kazi zinaendelea.
Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa was Mbeya Juma Homela kwa Waandishi wa Habari na kuzipongeza Halmashauri za Mkoa huo pamoja na Sektetatieti ya Mkoa ikiongizwa na RAS wa Mbeya.
Kila Halmashauri imevuka malengo waliyopangiwa na Serikali hivyo kuziwezesha kutoa huduma na kutekelezwa Kwa miradi iliyopangwa kwa asilimia 100.
My Take:
Hii ndio maana Halisi Sasa ya Kufungua Nchi na Sasa matunda yanaonekana baada ya biashara mpya kuzidi kufunguliwa.
Hongera sana kwa serikali ya Rais Samia.[emoji116]
Safi SanaNawasalimu kwa jina la JMT, natumai Kazi zinaendelea.
Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa was Mbeya Juma Homela kwa Waandishi wa Habari na kuzipongeza Halmashauri za Mkoa huo pamoja na Sektetatieti ya Mkoa ikiongizwa na RAS wa Mbeya.
Kila Halmashauri imevuka malengo waliyopangiwa na Serikali hivyo kuziwezesha kutoa huduma na kutekelezwa Kwa miradi iliyopangwa kwa asilimia 100.
My Take:
Hii ndio maana Halisi Sasa ya Kufungua Nchi na Sasa matunda yanaonekana baada ya biashara mpya kuzidi kufunguliwa.
Hongera sana kwa serikali ya Rais Samia.π
Halafu kwa mwaka? Au kwa mwezi?Lengo la Mkoa mzima ndio tsh 45 bil tu?
Miaka yote mapato ya Mbeya walikuwa wanayapeleka Chato. Marehemu alisema pesa haitapelekwa Jimbo Ambalo linaongozwa na upinzani.Japo kuwa Mbeya tunatengwa sana na serikali lakini tumekubali kujiendesha wenyewe na watakoma.
Haiwezekani eti Mbeya nzima hakuna fly over pale Mafiat na Uyole (hayo maeneo ni lazima fly over ziwepo mpaka mbalizi kule wajenge fly over).
Eti leo hii dodoma ni kuzuri kuliko Mbeya si ni matusi haya?
Kwa asilimia kubwa majengo yote makubwa unayoyaona Mbeya tumeyajenga raia wenyewe bila mkono wa serikali(Ndiyo si wametutenga?)
Huku Tukuyu tukigoma kuleta ndizi, Maparachichi, Mchele sijui huko wanakuita mjini watashindia madafu au vipi..!!!
Huko kwenye mafly over hakika nawaambia watakusanya kodi kwenye hizo hizo fly over zao (Maana wanavyopita juu kule eti wanapiga na picha)
Tuna ziwa letu Matema Beach pale tunakula samaki wa kila aina "What else?"
Ganja tunavuta ya Mlima Rungwe na malawi hatuhitaji ya mikoani "What else?"
Na tuna mpango wa kuanzisha serikali yetu tusiingiliane na mkoa wowote ule tanzania maana kila kitu tunacho "What else?"
MBEYA CITY STAND UP.
Pesa zote kuijenga DodomaIwe majimbo tu tuone nani ni nani pesa zinakusanywa wanakotafuta kwa bidii kwenye raslimari zinaenda kugawanywa kwa wavivu na wasio na chchte inauma mkoa wetu upo nyuma sana
Kafulila kapigwa chini yuko wapii sasaaa? Kekele miiingiiiNawasalimu kwa jina la JMT, natumai Kazi zinaendelea.
Mkoa wa Mbeya umevunja rekodi ya Makusanyo yake ya mapato ya ndani Kwa Halmashauri zake 7 Kwa kukusanya bil.45 sawa na zaidi ya asilimia 105.6% ya malengo.
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa was Mbeya Juma Homela kwa Waandishi wa Habari na kuzipongeza Halmashauri za Mkoa huo pamoja na Sektetatieti ya Mkoa ikiongizwa na RAS wa Mbeya.
Kila Halmashauri imevuka malengo waliyopangiwa na Serikali hivyo kuziwezesha kutoa huduma na kutekelezwa Kwa miradi iliyopangwa kwa asilimia 100.
My Take:
Hii ndio maana Halisi Sasa ya Kufungua Nchi na Sasa matunda yanaonekana baada ya biashara mpya kuzidi kufunguliwa.
Hongera sana kwa serikali ya Rais Samia.π
Kapigwa Chini na nani? Kawa nani?Kafulila kapigwa chini yuko wapii sasaaa? Kekele miiingiii
Tanzania sio ya wafanyakazi pekee,kama vipi acha Kazi kama una jeuri.Kwa hiyo unasemaje ? Huko Mbeya wafanyakazi wamepewa nyongeza kubwa kuliko sehemu zingine ? Unapoteza muda wako kusifia makusanyo ambayo wanaofaidika ni wachache. Pole sana.
Tulia weweeKapigwa Chini na nani? Kawa nani?
Bora yenu nyie mbeya mmejengewa vyuo vingi tu vya serikali vipo Mbeya je Mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla kuna chuo kikuu cha serikali ata kimoja? Sisi wana Mwanza tulishachukua hatua zamani tu za kujitegemea wenyewe na kuwa wazalendo kwa mji wetu na tutaujenga.Japo kuwa Mbeya tunatengwa sana na serikali lakini tumekubali kujiendesha wenyewe na watakoma.
Haiwezekani eti Mbeya nzima hakuna fly over pale Mafiat na Uyole (hayo maeneo ni lazima fly over ziwepo mpaka mbalizi kule wajenge fly over).
Eti leo hii dodoma ni kuzuri kuliko Mbeya si ni matusi haya?
Kwa asilimia kubwa majengo yote makubwa unayoyaona Mbeya tumeyajenga raia wenyewe bila mkono wa serikali(Ndiyo si wametutenga?)
Huku Tukuyu tukigoma kuleta ndizi, Maparachichi, Mchele sijui huko wanakuita mjini watashindia madafu au vipi..!!!
Huko kwenye mafly over hakika nawaambia watakusanya kodi kwenye hizo hizo fly over zao (Maana wanavyopita juu kule eti wanapiga na picha)
Tuna ziwa letu Matema Beach pale tunakula samaki wa kila aina "What else?"
Ganja tunavuta ya Mlima Rungwe na malawi hatuhitaji ya mikoani "What else?"
Na tuna mpango wa kuanzisha serikali yetu tusiingiliane na mkoa wowote ule tanzania maana kila kitu tunacho "What else?"
MBEYA CITY STAND UP.
Vyuo gani tumejengewa wewe pimbiBora yenu nyie mbeya mmejengewa vyuo vingi tu vya serikali vipo Mbeya je Mwanza na kanda ya ziwa kwa ujumla kuna chuo kikuu cha serikali ata kimoja? Sisi wana Mwanza tulishachukua hatua zamani tu za kujitegemea wenyewe na kuwa wazalendo kwa mji wetu na tutaujenga.
Mkiwa na mawazo ya kukimbilia Dar ni sawa na kudumaza miji yenuπππ
Unataka kusema mbeya hakuna vyuo vikuu vya serikali na sasa mnajengewa chuo kingine campus ya udsm. Upumbavu wako utaisha lini? Nataka uniambie kanda ya ziwa nzima kuna chuo kikuu ata kimoja cha serikali???Vyuo gani tumejengewa wewe pimbi
Vyuo vikuu ndio vinafungua fursa ya kilimo na biashara wewe fala?Unataka kusema mbeya hakuna vyuo vikuu vya serikali na sasa mnajengewa chuo kingine campus ya udsm. Upumbavu wako utaisha lini? Nataka uniambie kanda ya ziwa nzima kuna chuo kikuu ata kimoja cha serikali???
Leo ndio nimejua kwanini una chuki na Mwanza pamoja na hayati magufuliππππVyuo vikuu ndio vinafungua fursa ya kilimo na biashara wewe fala?
Nani kakwambia Mbeya wanahitaji vyuo Vikuu? Kwa nini tusibadilishane nyie ambao mnaongiza kwa ujinga mjengewe vyuo vikuu na sisi tujengewe miundombinu harafu baada yaiaka 5 tuje kufanya tathmni yupi kafaidika..
Stupid kabisa,vyuo vikuu vitalingana na daraja moja la bil.700 wewe kima?