Mkoa wa Mbeya Wavunja rekodi ya Makusanyo ya Mapato kwa asilimia 105% Mwaka 2021/2022

,[emoji16][emoji16][emoji23]we jamaa kweli ni kipofu hata kuona ulijokunya huoni basi hata harufu husikiii...soma screenshot shot yako hii .angalia low na column ya mwanza na mbeya
Tulia andika vizuri..

Hii hapa top 5👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220723-165258.png
    Screenshot_20220723-165258.png
    26.5 KB · Views: 9
Mwanza mkashindane na maskini wenzenu sio Mbeya [emoji116]
Siku ukielewa tofauti ya GDP ,GNP, per capital income,NNI, purchasing power parity,inflation, demand and supply , investment,fiscal policy, monetary policy, na labour economics nitag tubishane ..Ila sasa kalime mchele Kyela huko
 
Ukitaka kujua idadi ya maskini unatumia parameter ipi? Tuanzie hapo kwanza.
 
Saizi tuko kwenye Bil.45 tumeshavuka hiyo robo ya 3 na ndio maana nimeanzisha Uzi huu..

Katafute ya kwenu ,mtakuwa mumepigwa za USO ndio maana RC wenu anaona Soo kutoka na Takwimu hadharani.
Huna hoja ,, kwanza topic ya thread yako haiko proffesional ,,unaleta mawazo ya mtu , hotuba ya mkuu wa mkoa ...badala ya kutuletea data za tamisemi zilizo kwenye figures au NBS unaleta hotuba ya mkuu wako wa mkoa ... tunaamini vip anasema kweli ,,, huoni thread yako ni ya mchongo
 
Mawazo ya mtu yanakuja na figures za Halmashauri au? Unatapatapa sasa 😬😬..

Usitafute pa kutokea,kalete mapato ya Mwanza,Tumeona ya Mbeya na Simiyu..

Hata ukiruka ruka Waziri wa Tamisemi atayatoa tuu na ntanyoka na nyie..

Kesho mtanikuta nawapa nyundo kwenye Uzi wa Dodoma vs Mwanza,Nina Mawe ya kutosha.
 
GDP per Capita Income [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3]we ni chizi kweli ..aliyekuambia GDP per capital income ni exact and valid measure ya umasikini ni nani .hata NBS wanapopima umaskini wa kaya hawatumii GDP per capital ,,, wanatumia consumption measurement....
Kama ni hivyo china yenye GDP per capital ya USD 1000 ni taifa maskini ukilinganisha na Oman yenye GDP per capital USD 40000....
per capital inapima mgawanyo wa uchumi kwa kila mtu aliyepo nchini ..unachukua pato la mkoa unagawanya kwa idadi ya watu ndo unapata per capital [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..
 
I mean china ni USD 10000
 
Nini maana ya huo mgawanyo wa uchumi kwa kila mtu?

Weka hapa GDP ya China na GDP per Capita yake maana naona unaropoka na kutunga Takwimu za kindezi..

Nataka niione hiyo 1000 unayosema ni GDP per capita ya China..Weka data.
 
Mawazo ya mtu yanakuja na figures za Halmashauri au? Unatapatapa sasa [emoji51][emoji51]..

Usitafute pa kutokea,kalete mapato ya Mwanza,Tumeona ya Mbeya na Simiyu..

Hata ukiruka ruka Waziri wa Tamisemi atayatoa tuu na ntanyoka na nyie..

Kesho mtanikuta nawapa nyundo kwenye Uzi wa Dodoma vs Mwanza,Nina Mawe ya kutosha.
Huna mawe ww nzi wa uyole ....kazi kuruka ruka kuokoteleza ..huna hoja wala fact ... Hamna Sehemu utaenda kupotosha nisije kusafisha...nitapangua uongo wako wote .
 
Back
Top Bottom