Kugawanywa mikoa Tanzania, haipeleki huduma yoyote karibu na wananchi. Secretariat za mikoa hazina kazi kivile. Wananchi hupata huduma nyingi katika ngazi ya halmashauri na kidoogo kwa DC.
Hatuhitaji tawala za mikoa Tanzania. Ni matumizi mabaya ya Rasilimali fedha na watu. Tugawanye halmashauri kadri ya uwezo wetu lakini siyo mikoa. Hata kwa watoa huduma wakubwa Kama polisi, Tanesco na TRA, wanaweza kujiorganize kiwilaya pia.
Watuache na Mboka yetu.Hakuna haja.
1 makao makuu ya mikoa na wilaya zake yanafikika vizuri bila shida.
2 bado haujaimarika kimiundo mbinu kuweza kugawanywa.
Tuachieni Tabora yetu tunaipenda hivyo hivyo
Naifahamu Tabora yote boss nje ndani.
Nilishawahi pia kuishi kaliua kipindi cha miaka 2 iliyopita; kuna vijiji kama mwendakulima, bunyahyulu (barabara ya 13), imalanguzu, mwamnange n.k
Ninachokijua kuna idadi ya watu ni wengi japo sio sana.
Ila maeneo yote ya Tabora kwa asilimia kubwa ni mapori brother kwa uhalisia.
Wilaya iko kaskazini kwenye mpaka na Nzega na sehemu kubwa ya eneo ni mashariki na kusini kidogo ya Tabora.Angeshauri kuigawa wilaya ya Uyui ningemwelewa sana ile wilaya ni kubwa kibaya zaidi kufika makao makuu ya wilaya kuna baadhi ya kata lazima uvuke makao makuu ya mkoa.
Naifahamu Tabora yote boss nje ndani.
Nilishawahi pia kuishi kaliua kipindi cha miaka 2 iliyopita; kuna vijiji kama mwendakulima, bunyahyulu (barabara ya 13), imalanguzu, mwamnange n.k
Ninachokijua kuna idadi ya watu ni wengi japo sio sana.
Ila maeneo yote ya Tabora kwa asilimia kubwa ni mapori brother kwa uhalisia.
Watuache na Mboka yetu.
Wilaya iko kaskazini kwenye mpaka na Nzega na sehemu kubwa ya eneo ni mashariki na kusini kidogo ya Tabora.
Takwimu ambazo mara nyingi hupewa kipao mbele cha chini ni ardhi iliyotengwa kwa hifadhi ya misitu na wanyamapori. Sehemu kubwa ya mkoa ni hifadhi za misitu ( national forest reserves) na wanyamapori (game reserves and Ugallla national park). Michango ya maeneo haya kwa uchumi na maendeleo ya mkoa yanahitaji kuboreshwa)
Wizard. Well saidKwani uongo bwana? Asilimia kubwa ya mkoa wa tabora ni hifadhi ya misitu, haya kuanzia hapo itigi, kupitia tura, hadi tabora vijiji viko vingapi, kulinganisha na mapoli?, anzia tabora kwenda kahama kupitia, mwambani, bukene, anzia tabora kwenda katavi, kupitia ipole, ipole kwenda mbeya kupitia chunya, bado urambo kwenda kigoma?!!!
Kiukweli Tanzania ina mapori mengi yaani sehemu kubwa ya nchi ni mapori tu.Kimsingi ukikuta watu wanapoishi kuna misitu ya kutosha jua jamii hiyo imeelimika vya kutosha sana katika uhifadhi wa mazingira.
Nioneshe sehemu ambayo wamewekeza serious toka tz ipate uhuru.Nzega kuna machimbo ya madini, Igunga, uyui, urambo kuna kilimo cha pamba na Tumbaku, kama hivi vikiwekezwa kwa uhakika kuna kitu kitafanyika
Brother Chato ni wilaya yenye population kubwa achana na masimulizi ya humu mitandaoni. Ndio maana mnaambiwa tembeeni mjue, kuna faida ukiwa mzururaji ktk nchi hiiMinashauri wagawe tu, alafu kipande kipelekwe kule mkoani Geita kwa madhumuni ya kwamba Geita ikikuwa Big, kisha tutaigawanya ili tupate mkoa wa Chato... Kisha Deal inakuwa ime Done
Ungetaka uone tija gani kwa hiyo mikoa mipya mkuu,,,,,kama vile hauko serious!!!!!Kwa maana ya Jiografia, mikoa ya Tabora, Morogoro, Ruvuma na Lindi inastahili kugawanywa. Lakini tunaweza kufanya makosa kama yaliyofanyika kugawa mikoa ya Rukwa na Iringa.
Mikoa mipya ya Njombe na Katavi zimeshindwa kuleta tija kiuchumi na kijamii. Na hii ni kwa sababu ya nature ya tawala za mikoa Tanzania. Utawala wa Tanzania tunahitaji kuwa na Halmshauri siyo mikoa wala wilaya.
Ni kweli, ni juhudi tu na uwezo wa kufanya kazi bila kuwa mvivuKama wewe ni kijana na unataka kupata pesa mzee ingia Tabora utameki haijalishi mfukoni una nauli tu nenda Tabora baada ya miezi 3 utakuja hapa kutoa ushuhuda wa ajabu maana ni wewe tu na uwezo wako kijana.
"Mboka for life"
mboka iwe na maendeleo sasa kulingana na rasilimali ilizonazoWatuache na Mboka yetu.