Mkono wa vita ya China na US unanukia

Hivi Vita kama hii inakuwaje ni kati ya USA na CHINA ili hali hawapakani?.

Kwa hiyo China atamtwanga Taiwan kama Muwakilishi wa Marekani? sasa hapo atakayeumia ni Marekani au Taiwan?.

Hapa ujinga utakaoendelea ni kuwaumiza tu Jirani zao, na sanasana ni Jirani wa Uchina.
 
Hivi mnaposema China atapigika,mnatumia vigezo gani?
wenzio USA wana enda strategic areas ambazo China tyr ana migogoro nazo mf India na China wana ugomv wa mpk pili upande huo huo kuna jimbo linanyanyaswa na China plus upande wa pili Taiwan anapigana so USA anaeza asitumie watu wake sana ila akatumia silaha tu na trainers wachache ila fronts wanaenda kuwa hao wenyej
 
... mchezo umeuelewa vizuri sana Mkuu.
 
Mchina hana base ya jeshi marekani ila hawa super power wana base almost dunia nzima. Na lengo ni hilo wao kwenye vita hawaguswi nyumbani labda utume missile.
 
Pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…